- Mwanzo
- Kuhusu Sisi
- Utawala
- Wilaya
- Halmashauri
- Fursa za Uwekezaji
- Huduma
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Wananchi Wote Mnatangaziwa Kujitokeza Kuupokea Mwenge wa Uhuru Mkoani Kagera Kuazia Aprili 8, 2018. Wananchi tunahamasishwa kujitokeza kwa wingi kuushangilia, kuupokea na kuufurahia Mwenge wa Uhuru Katika Mkoa wetu wa Kagera Utakapokuwa unapita kutuzindulia Miradi Mbalimbali ya Maendeleo. Mwenge wa Uhuru utawasili Mkoani kwetu Tarehe 8 Aprili, 2018 Wilayani Muleba Ukitokea Mkoani Geita na Utaendelea Katika Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba, Bukoba Vijijini, Missenyi, Kyerwa, Karagwe, Ngara, na Biharamulo.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kagera
Anwani: S.L.P 299 BUKOBA
Simu ya Mezani: 255 28 2220215/17
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ras.kagera@tamisemi.go.tz
Haki zote zimehifadhiwa