• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
KAGERA REGIONAL WEBSITE

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na SerikaliI za Mitaa Mkoa wa Kagera

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Sehemu/Vitengo
      • Sehemu
        • Usimamizi Ufuatiliaji na Ukaguzi
        • Miundombinu
        • Elimu
          • Elimu ya Msingi
          • Elimu ya Sekondari
          • Elimu ya Watu Wazima
          • Elimu ya Juu
          • Michezo
          • Vijana
        • Afya
          • Afya
          • Ustawi wa Jamii
        • Utawala na Rasilimali Watu
        • Mipango na Uratibu
          • Mipango
          • Takwimu
          • Maendeleo ya Jamii
          • TASAF
        • Uchumi na Uzalishaji
          • Kilimo cha Umwagiliaji
          • Viwanda na Biashara
          • Uvuvi
          • Mifugo
          • Maliasili, Utalii na Mazingira
          • Ushirika
          • Kilimo
        • Uwekezaji Viwanda na Biashara
      • Vitengo
        • TEHAMA
        • Sheria
        • Fedha na Uhasibu
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Ugavi
        • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
  • Wilaya
    • Bukoba
      • Viongozi wa Bukoba
    • Biharamulo
      • Viongozi wa Biharamulo
    • Karagwe
      • Viongozi wa Karagwe
    • Kyerwa
      • Viongozi wa Kyerwa
    • Missenyi
      • Viongozi wa Missenyi
    • Muleba
      • Viongozi wa Muleba
    • Ngara
      • Viongozi wa Ngara
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Misseny
    • Halmashauri ya Wilaya ya Muleba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Ngara
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Fursa za Ufugaji
    • Fursa za Kilimo
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Ufugaji
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
    • Jarida
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali

Mama Mjane Shemsha Rajab (Katikati) Akijaribu Mguu wake Bandia Aliokabidhiwa na Mkuu wa Mkoa wa Kagera Wakwanza Kushoto

Imewekwa : May 11th, 2017

Mama Mjane Mlemavu Apatiwa Mguu Bandia na Mkuu wa Mkoa Ili Kuendelea Kujikimu Kwa Kufanya Shughuli Zake

Kuwa kiongozi mzuri kwa mtu yeyote  ni lazima uwe na huruma, kuwajali watu waliokaribu na wewe na wasiokuwa karibu, kusikiliza kero za wananchi na kuzitafutia ufumbuzi, lakini jambo muhimu sana kutimiza ahadi unazozitoa mbele ya wale unaowaongoza na mwisho kuguswa na matatizo ya wenzako na kuwatia faraja.

Kwa hayo yaliyotajwa hapo juu ameyatimiza Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Mstaafu Salum M. Kijuu kwa mama mjane Shemsha Rajab kutoka Kata ya Kashai Mtaa wa Rwome Manispaa ya Bukoba ambaye ni mlemavu wa mguu (ana mguu mmoja na mguu wa pili umekatikia gotini) na anatumia mguu bandia.

Mkuu wa Mkoa Mhe. Kijuu kwa fedha zake takribani shilingi 700,000/= (laki saba) amemnunulia mguu bandia na kumkabidhi leo tarehe 11/05/2017 ofisini kwake. Akiongea kabla ya kumkabidhi mama huyo mguu bandia Mkuu wa Mkoa alisema kuwa alikuwa anatimiza ahadi yake  aliyoitoa mwaka jana Juni 27, 2017 kwa mama Shemsha alipotembelea Haospitali Teule ya Wilaya ya Missenyi  Mugana.

“Nilipotembelea Hospitali hiyo kwenda kukagua shughuli za upasuaji wa akina mama wenye tezi shingo ambao ulikuwa umefadhiliwa na  Hospitali Teule ya Mugana kwa kushirikaiana na Mzee Raza Fazar wa mjini Bukoba kupitia katika mradi wake wa matibabu (Izaas Medical Project) niliguswa na mama huyu kwani niliona jinsi anavyopata shida na nilimuhaidi kumpatia mguu bandia mpya.” Alieleza Mhe. Kijuu.

Mama mjane Shemsha Rajabu alimshukuru Mkuu huyo wa Mkoa na kusema kuwa anaguswa na matatizo ya wananchi wake. Pia alimshukuru sana Mzee Raza Fazar kwa huruma yake ya kuhakikisha anawahudumia wananchi wenye matatizo hasa wale wasiokuwa na uwezo kwa kuwapatia huduma za matibabu bure kupitia mradi wa matibabu wa Izaas.

Kutoa ni moyo usambe ni utajiri kama wahenga wa zamani walivyosema, kila mmoja wetu anatakiwa kumsaidia mwenzake mwenye matatizo ili wenye matatizo wajisikie kama binadamu wenzao. Mama Shemsha alisema kuwa mguu wake wa bandia wa kwanza aliupata mwaka 1997 lakini kwa sasa mguu huo ulikuwa hautumiki tena kwasababu unyayo wake ulikuwa umeharibika.

Matangazo

  • No records found
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Kagera Yaridhia Jimbo la Uchaguzi la Nkenge Kuitwa Jimbo la Uchaguzi Missenyi

    March 17, 2025
  • Mkuu wa Mkoa wa Mwassa Awashukuru Wabunge Kupitisha Fedha za Miradi ya Mapinduzi ya Kiuchumi Kagera

    March 14, 2025
  • Viongozi wa Dini Wahimizwa Kudumisha Mshikamano Ili Kukuza Uchumi wa Mkoa wa Kagera – RC Mwassa

    March 14, 2025
  • TULIPE KODI-RC MWASSA

    October 07, 2023
  • Tazama zote

Video

KAGERA REGION DOCUMENTARY
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Taratibu za biashara ya ndani
  • Barabara Kuu na ndogo za Mkoa
  • Vituo vya Redio Katika Mkoa wa Kagera
  • Wakuu wa Mkoa wa Kagera Tangu Uhuru Mwaka 1961
  • Matokeo ya Darasa la VII 2018, Wanafunzi 10 Bora, Shule 10 Bora, Watakaojiunga Kidato cha I, 2019
  • Kitabu cha Mwongozo wa Uwekezaji Kagera 2019
  • FOMU YA USAJILI WA WAFANYABIASAHARA NA WADAU WA MKOA WA KAGERA, ZIARA YA KUTEMBELEA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI NA KATI KWA LENGO LA KUTAFUTA FURSA ZA BIASHARA NA UWEKEZAJI NOVEMBER, 2019.

Tovuti Mashuhuri

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Takwimu Huria

Wafuatiliaji Kimataifa

world map hits counter

Kaunta ya Wageni

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kagera

    Anwani: S.L.P 299 BUKOBA

    Simu ya Mezani: 255 28 2220215/17

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras.kagera@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma Zetu
    • Hakimiliki

Haki zote zimehifadhiwa