• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
KAGERA REGIONAL WEBSITE

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na SerikaliI za Mitaa Mkoa wa Kagera

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Sehemu/Vitengo
      • Sehemu
        • Mamlaka za Serikali za Mitaa
        • Miundombinu
        • Elimu
          • Elimu ya Msingi
          • Elimu ya Sekondari
          • Elimu ya Watu Wazima
          • Elimu ya Juu
          • Michezo
          • Vijana
        • Afya
          • Afya
          • Ustawi wa Jamii
        • Utawala na Rasilimali Watu
        • Mipango na Uratibu
          • Mipango
          • Takwimu
          • Maendeleo ya Jamii
          • TASAF
        • Uchumi na Uzalishaji
          • Kilimo cha Umwagiliaji
          • Viwanda na Biashara
          • Uvuvi
          • Mifugo
          • Maliasili, Utalii na Mazingira
          • Ushirika
          • Kilimo
        • Maji
      • Vitengo
        • TEHAMA
        • Sheria
        • Fedha na Uhasibu
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Ugavi
        • Kitengo cha Mawasiliano
  • Wilaya
    • Bukoba
      • Viongozi wa Bukoba
    • Biharamulo
      • Viongozi wa Biharamulo
    • Karagwe
      • Viongozi wa Karagwe
    • Kyerwa
      • Viongozi wa Kyerwa
    • Missenyi
      • Viongozi wa Missenyi
    • Muleba
      • Viongozi wa Muleba
    • Ngara
      • Viongozi wa Ngara
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Misseny
    • Halmashauri ya Wilaya ya Muleba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Ngara
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Fursa za Ufugaji
    • Fursa za Kilimo
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Ufugaji
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
    • Jarida
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali

Shiriki Kutokomeza Ugonjwa wa Malaria kwa Manufaa ya Jamii ya Wananchi wa Mkoa wa Kagera

Imewekwa : April 26th, 2017

Mkoa wa Kagera waadhimisha siku ya Malaria Duniani kwa kuhamasisha wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi  kushiriki katika kupunguza kiwango kikubwa cha ugonjwa wa Malaria hasa kwa watoto wa Shule za Msingi kwa kuzingatia usafi na kuharibu mazalia ya mbu na kuzingatia kanuni za afya.

Katika hotuba yake Mkuu wa Mkoa wa Kagera aliyekuwa mgeni rasmi na kuwakilishwa na Katibu Tawala wa Wilaya ya Missenyi Bw. Abdalla Mayombo aliwasisitiza wananchi woe wa Mkoa wa Kagera kusafisha mazingira yaliyo karibu na makazi yao kama vile vichaka na  madimbwi ili kuua mazalia ya umbu.

Pia katika hotuba hiyo Mkuu wa mkoa aliwasisitiza wananchi kushirikiana na wadau ambao wanausaidia mkoa katka mapambano ya kupunguza maambukizi ya ugonjwa wa Malaria kwa kuruhusu nyumba zao kunyunyiziwa dawa ya ukoko , kuhakikisha wanapokea vyandarua ambavyo vinagawiwa katika vituo vya afya.

Kwa utafiti wa kitaifa wa maambukizi ya malaria uliofanyika mwaka 2015/2016 kwa watoto wenye umri chini miaka mitano mkoa wa Kagera maambukizi yalikuwa asilimia 41% , asilimia hiyo ilipanda sana ukilinganisha na utafiti uliofanyika mwaka 2010/2011 maambukizi yalikuwa ni asilimia 8.5%

Aidha, kwa mwaka 2016 utafiti wa vimelea vya Malaria kitaifa kwa watoto wa Shule za Msingi ulionesha kuwa Mkoa wa Kagera ulikuwa na asilimia 30.2%  na Wilaya ya Missenyi ilikuwa na aasilimia 69% ambapo kiwango hicho kilikuwa juu ya kiwango cha taifa na mkoa kwa ujumla.

Akisistiza katika hotuba ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera Bw. Abdalla Mayombo alisema kwa umoja na kushirikiana na wadau mbalimbali kiwango hicho cha vimelea kinatakiwa kushushwa ili kukomesha maambukizi ya malaria katika Mkoa wa Kagera .

Kaulimbiu ya Siku ya malaria mwaka huu 2017 ambayo huadhimishwa kila mwaka Aprili 25 inasema, “Shiriki kutokomeza ugonjwa wa Malaria kwa manufaa ya jamii” Aidha wadau mbalimbali wanaoshirikiana na Mkoa wa Kagera katika kutokomeza Malaria ni ABT Associates, John Hopkins University, na Shirika la Redcross Tanzania.

Matangazo

  • Online Content - inception report for CSA training programme in Kagera region August 19, 2022
  • Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru Kuhitimishwa Mkoani Kagera Oktoba 14, 2022 August 23, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Mkoa wa Kagera Wapokea Magari Matano Kusaidi Kufanikisha Zoezi la Sensa ya Watu na Makazi

    August 24, 2022
  • Mkuu wa Mkoa Chamila Akagua Miradi na Kuongea na Makarani Wa Sensa ya Watu na Makazi Kagera

    August 23, 2022
  • Wanakagera Wakumbushwa Kuendelea Kuilinda Amani ya Tanzania Ili Kufikia Miaka 100 ya Uhuru

    December 08, 2021
  • Wanakagera Wakumbushwa Kuendelea Kuilinda Amani ya Tanzania Ili Kufikia Miaka 100 ya Uhuru

    December 08, 2021
  • Tazama zote

Video

Kijue Chuo Kipya cha Kisasa cha Ufundi Stadi VETA Mkoani Kagera Kazi Inaendelea.....
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Taratibu za biashara ya ndani
  • Barabara Kuu na ndogo za Mkoa
  • Vituo vya Redio Katika Mkoa wa Kagera
  • Wakuu wa Mkoa wa Kagera Tangu Uhuru Mwaka 1961
  • Matokeo ya Darasa la VII 2018, Wanafunzi 10 Bora, Shule 10 Bora, Watakaojiunga Kidato cha I, 2019
  • Kitabu cha Mwongozo wa Uwekezaji Kagera 2019
  • FOMU YA USAJILI WA WAFANYABIASAHARA NA WADAU WA MKOA WA KAGERA, ZIARA YA KUTEMBELEA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI NA KATI KWA LENGO LA KUTAFUTA FURSA ZA BIASHARA NA UWEKEZAJI NOVEMBER, 2019.

Tovuti Mashuhuri

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Takwimu Huria

Wafuatiliaji Kimataifa

world map hits counter

Kaunta ya Wageni

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kagera

    Anwani: S.L.P 299 BUKOBA

    Simu ya Mezani: 255 28 2220215/17

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras.kagera@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma Zetu
    • Hakimiliki

Haki zote zimehifadhiwa