Waziri Jenista Muhagama Mkoani Kagera Akikagua Miradi ya Tetemeko 17.03.2017
March 21st, 2017
Waziri Jenista Muhagama Alitembelea Kabyaile Missenyi, Kiilima Kwa Wazee, Shule za Sekondari Nyakato,Ihungo na Omumwani na Kufanya Kikao cha Majumuisho Katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kagera