- Mwanzo
- Kuhusu Sisi
- Utawala
- Wilaya
- Halmashauri
- Fursa za Uwekezaji
- Huduma
- Machapisho
- Kituo cha Habari
KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI
GOVERNMENT COMMUNICATION UNITY- (GCU)
Kitengo cha Mawasiliano Serikalini (GCU) katika Sekretarieti za Mikoa kilianzishwa rasmi baada ya marekebisho ya muundo mpya wa Sekretarieti za mikoa ulioidhinishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Januari 29, 2022 na kuanza kutumika rasmi Julai, 2022.
Kitengo cha Mawasiliano Serikalini (GCU) majukumu yake kwa kuzingatia Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977 Sura ya Kwanza Sehemu ya tatu ibara ya 18 (d) inayosema:
“Kila mtu anayo haki ya kupewa taarifa wakati wote kuhusu matukio mbalimbali muhimu kwa maisha na shughuli za wananchi na pia kuhusu masuala muhim kwa jamii”.
MUUNDO:
Kimuundo, katika Sekretarieti ya Mkoa, kitengo hiki kinahitaji kuwa na watumishi watatu (3) wa taaluma ya Habari na kinatakiwa kuongozwa na Afisa mwenye cheo cha Afisa Habari Mkuu.
Lengo la Kitengo: Lengo kuu la kitengo ni kushauri kitaalamu Wajumbe wa Sekretarieti ya Mkoa (Menejimenti) kuhusu masuala yote yanayohusu Habari na Mawasiliano.
Majukumu ya Kitengo:
Kaimu Mkuu wa Kitengo:
Bw. Sylvester M. Raphael,
Afisa Habari Mwandamizi,
Sekretarieti ya Mkoa wa Kagera,
S. L. P 299 Bukoba – Tanzania.
Mobile: +255784350588/0767350588
E-Mail: Sylvester.raphael@kagera.go.tz
Website: www.kagera.go.tz
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kagera
Anwani: S.L.P 299 BUKOBA
Simu ya Mezani: 255 28 2220215/17
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ras.kagera@tamisemi.go.tz
Haki zote zimehifadhiwa