• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
KAGERA REGIONAL WEBSITE

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government KAGERA REGIONAL WEBSITE

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Sections/Units
      • Sections
        • Management Monitoring and Ispection
        • Infrastructure
        • Education
          • Primary Education
          • Secondary Education
          • Adult Education
          • Higher Education
          • Sports
          • Youth
        • Health
          • Health
          • social welfare
        • Administration And HR
        • Planning & Coordination
          • Planning
          • Statistics
          • Community Development
          • TASAF
        • Economic and Production
          • Irrigation Farming
          • Commerce and Industries
          • Fishing
          • Livestock
          • Natural Resources, Tourism & Environment
          • Co operative
          • Agriculture
        • Investment Indusrty and Trade
      • Units
        • ICT
        • Legal Unit
        • Finance and Accounts
        • Internal Audit Unit
        • Procurement Unit
        • Government Communication
  • Districts
    • Bukoba
      • Bukoba Leaders
    • Biharamulo
      • Biharamulo Leaders
    • Karagwe
      • Karagwe Leaders
    • Kyerwa
      • Kyerwa Leaders
    • Missenyi
      • Missenyi Leaders
    • Muleba
      • Muleba Leaders
    • Ngara
      • Ngara Leaders
  • District Councils
    • Bukoba Municipal Council
    • Bukoba District Council
    • Biharamulo District Council
    • Karagwe District Council
    • Kyerwa District Council
    • Missenyi District Council
    • Muleba District Council
    • Ngara District Council
  • Investment Opportunities
    • Tourism Attractions
    • Farming Opportunities
    • Agricultural Opportunities
  • Services
    • Health Services
    • Education Services
    • Water Services
    • Agricultural Services
    • Farming Services
  • Publications
    • By Laws
    • Client Service Charter
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Forms
    • Guidelines
    • News Letter
  • Media Center
    • Videos
    • Press Release
    • Speeches
    • Photo Gallery

Mining Extractions

MADINI

Madini Yapatikanayo Mkoani Kagera

Mkoa wa Kagera una madini yafuatayo kama yalivyo tofautishwa kutokana na Sheria ya Madini ya Mwaka 2010:

  • Madini aina ya chuma: dhahabu, bati ghafi, wolframite (WO3), Nickel, Manganese n.k.
  • Madini ya viwandani: Kaolini, Silica Sand na diatomite.
  • Madini ya ujenzi: Mchanga, mawe, moram, udongo mfinyanzi, mawe ya vigae
  • Madini mengine yanaendelea kugundulika kadri taarifa za utafiti zinavyoendelea kutolewa.


Utafiti wa Madini Katika Mkoa

Baada ya Serikali kupitisha Sheria ya Madini ya Mwaka 2010 na Kanuni zake za mwaka 2010, ndipo Watanzania wengi waliona fursa ya uwekezaji katika madini Mkoani Kagera. Mkoa wa Kagera kuna jumla ya lesseni 56, zilizo tolewa hadi kufikia mwezi Septemba 2017.

Leseni za Madini Zilizopo Katika Mkoa

Aina za leseni za uchimbaji zilizopo Mkoani Kagera ni kama ifuatavyo:-

SML (Special Mining Licence) Leseni hii kubwa ya uchimbaji wa madini inamilikiwa na Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) kupitia kampuni yake tanzu ya STAMIGOLD Leseni hiyo yenye namba SML 157/2003 ipo Wilayani Bihalamulo.

PL (Prospecting Licence) Hizi ni leseni kubwa za utafiti nz leseni hai za utafiti zilizopo katika Mkoa huu ni 56 ambazo ni hai. Leseni hizi hizi zinafanya utafiti wa madini ya aina mbalimbali katika Mkoa wa Kagera.

PML (Primary Mining Licence) Leseni hizi ni za utafiti na uchimbaji mdogo wa madini,katika a Mkoa huu kuna jumla ya leseni 467 za utafiti na uchimbaji mdogo wa madini ya aina mbalimbali zikiwemo,Bati, Dhahabu,Madini ujenzi na Kaolin. 

Retention Licence (RL) Leseni hii ipo moja na inamilikiwa na Kampuni ya Kabanga Nickel. Leseni hii yenye namba RL 0001/2009 inashikilia eneo ambalo limefanyiwa utafiti wa madini ya nickel katika Wilaya ya Ngara. Hadi sasa tayari wamemaliza miaka mitano ya kipindi cha kwanza na wameomba na kupewa kwa upya kipindi kingine cha miaka mitano hadi 2019. Bado kampuni hii haijaanza shuguri za uzalishaji na Sababu kuu ni kushuka kwa bei ya madini ya Nickel katika soko la Dunia.Na chagamoto ya Miudombinu, ikiwemo umeme wa uhakika.

Uchimbaji na Uzalishaji wa Madini Mkoani

Madini yanayochimbwa na mchimbaji mkubwa ni dhahabu. Madini haya yanachimbwa na kampuni ya Stamigold Company Ltd Gold Mine huko Biharamulo.  Madini mengine yana chimbwa na wachimbaji wadogo ni pamoja na Bati, Kaolin na madini ujenzi (mchanga, kokoto).

Uzalishaji wa Dhahabu

Uzalishaji wa dhahabu katika Mkoa wa Kagera, umekuwa ukifanyika katika leseni namba SML 157/2003. Leseni hii ilikuwa inamilikiwa na kampuni ya Barrick Tulawaka Mine na sasa inamilikiwa na Shirika la Umma STAMICO kupitia kampuni yake ya STAMIGOLD Company Ltd .Madini ya dhahabu yanachimbwa pia na wachimbaji wadogo maeneo ya Busini, Mavota na Kalukwete Wilayani Biharamulo.

Uzalishaji wa Bati Ghafi (Tin)

Hadi sasa hakuna mchimbaji mkubwa wa madini haya. Hivyo madini haya yanachimbwa na wachimbaji wadogo wadogo Wilayani Kyerwa katika Mkoa huu wa Kagera.  Katika kipindi cha mwaka 2011/12 hadi 2016/ 2017 jumla ya tani 590.65 za bati ghafi zenye thamani ya shilingi 6,552,647,500 zilizalishwa na kulipiwa mapato ya serikali (mrabaha) wa jumla ya shilingi 256,140,673 na Marahaba shilingi 95,095,347.

Uzalishaji wa Madini ya Kaolin

Katika Mkoa wa Kagera, madini haya yanazalishwa katika Wilaya ya Biharamulo pekee na mchimbaji mdogo. Uzalishaji wa madini haya unategemea uhitaji wake sokoni kwani hadi sasa yamekuwa yakitumika katika shughuli za ujenzi wa nyumba tu.  Katika kipindi cha mwaka 2012/13 hadi 2016/17 jumla ya tani 9,138.49 za Kaolin zenye thamani ya shilingi 575,152,666.67/= zilizalishwa na kuchangia pato la serikali (Mrahaba) wa Tsh. 17,254,580/=

Uzalishaji wa Madini ya Ujenzi

Uzalishaji wa madini ujenzi umekuwa ukiathiriwa na msimu wa mvua. Kwa takwimu zilizopo, misimu ya mvua uzalishaji hupungua kwani watu wengi wanakuwa hawafanyi shughuli za ujenzi hivyo kupelekea madini haya kuwa na uhitaji mdogo ukilinganisha na kipindi cha kiangazi. Katika kipindi cha mwaka 2012/13 hadi 2016/17 jumla ya tani 145,878.5 za madini ya ujenzi (Kokoto, Mchanga, Morum) zenye thamani ya Tsh. 1,491,070,000 zilizalishwa na kuchangia mapato (Mrahaba) Tsh. 44,732,100.

Biashara ya Madini

Leseni za biashara ya Madini zilizotolewa Mkoa wa Kagera ni;-

Leseni ndogo ya ununuzi na uuzaji madini (Brokers Licence). 

Leseni hizi hutolewa kwa Watanzania tu, na inamtaka mhusika kununua madini kutoka kwa mchimbaji mwenye leseni ya uchimbaji na kumuuzia mwenye leseni kubwa ya ununuzi (Dealer licence). Hadi kufikia sasa, Ofisi ya Madini imepokea jumla ya maombi 27 ya leseni hizi.

Leseni kubwa ya ununuzi na uuzaji wa madini (Dealer Licence). 

Leseni hii hutolewa kwa Mtanzania au raia wa kigeni mwenye ubia na Mtanzania. Katika ubia huo, Mtanzania anatakiwa awe na ubia usiopungua 25%. Hadi sasa kuna jumla ya maombi manne (5) ya leseni hizi yaliyowasilishwa. Leseni hii humuwezesha mmiliki kuuza madini yaliyonunuliwa nje ya nchi.

Announcements

  • No records found
  • View All

Latest News

  • Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Kagera Yaridhia Jimbo la Uchaguzi la Nkenge Kuitwa Jimbo la Uchaguzi Missenyi

    March 17, 2025
  • Mkuu wa Mkoa wa Mwassa Awashukuru Wabunge Kupitisha Fedha za Miradi ya Mapinduzi ya Kiuchumi Kagera

    March 14, 2025
  • Viongozi wa Dini Wahimizwa Kudumisha Mshikamano Ili Kukuza Uchumi wa Mkoa wa Kagera – RC Mwassa

    March 14, 2025
  • TULIPE KODI-RC MWASSA

    October 07, 2023
  • View All

Video

KAGERA REGION DOCUMENTARY
More Videos

Quick Links

  • Taratibu za biashara ya ndani
  • Barabara Kuu na ndogo za Mkoa
  • Radio Stations in Kagera Region
  • Kagera Regional Commissioners Since Independence 1961
  • Matokeo ya Darasa la VII 2018, Wanafunzi 10 Bora, Shule 10 Bora, Watakaojiunga Kidato cha I, 2019
  • Kitabu cha Mwongozo wa Uwekezaji Kagera 2019
  • FOMU YA USAJILI WA WAFANYABIASAHARA NA WADAU WA MKOA WA KAGERA, ZIARA YA KUTEMBELEA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI NA KATI KWA LENGO LA KUTAFUTA FURSA ZA BIASHARA NA UWEKEZAJI NOVEMBER, 2019.

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • National Bureau of Statistics (NBS)
  • Government of Tanzania Website
  • Open Data Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kagera

    Postal Address: S.L.P 299 BUKOBA

    Telephone: 255 28 2220215/17

    Mobile:

    Email: ras.kagera@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service
    • Hakimiliki

Copyright ©2017 GWF . All rights reserved.