• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
KAGERA REGIONAL WEBSITE

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government KAGERA REGIONAL WEBSITE

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Sections/Units
      • Sections
        • Management Monitoring and Ispection
        • Infrastructure
        • Education
          • Primary Education
          • Secondary Education
          • Adult Education
          • Higher Education
          • Sports
          • Youth
        • Health
          • Health
          • social welfare
        • Administration And HR
        • Planning & Coordination
          • Planning
          • Statistics
          • Community Development
          • TASAF
        • Economic and Production
          • Irrigation Farming
          • Commerce and Industries
          • Fishing
          • Livestock
          • Natural Resources, Tourism & Environment
          • Co operative
          • Agriculture
        • Investment Indusrty and Trade
      • Units
        • ICT
        • Legal Unit
        • Finance and Accounts
        • Internal Audit Unit
        • Procurement Unit
        • Government Communication
  • Districts
    • Bukoba
      • Bukoba Leaders
    • Biharamulo
      • Biharamulo Leaders
    • Karagwe
      • Karagwe Leaders
    • Kyerwa
      • Kyerwa Leaders
    • Missenyi
      • Missenyi Leaders
    • Muleba
      • Muleba Leaders
    • Ngara
      • Ngara Leaders
  • District Councils
    • Bukoba Municipal Council
    • Bukoba District Council
    • Biharamulo District Council
    • Karagwe District Council
    • Kyerwa District Council
    • Missenyi District Council
    • Muleba District Council
    • Ngara District Council
  • Investment Opportunities
    • Tourism Attractions
    • Farming Opportunities
    • Agricultural Opportunities
  • Services
    • Health Services
    • Education Services
    • Water Services
    • Agricultural Services
    • Farming Services
  • Publications
    • By Laws
    • Client Service Charter
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Forms
    • Guidelines
    • News Letter
  • Media Center
    • Videos
    • Press Release
    • Speeches
    • Photo Gallery

Huduma za Uvuvi

Mkoa wa Kagera una eneo la maji lenye ukubwa wa kilomita za mraba 10,655 sawa na asilimia 27, jiografia nzuri, maeneo chepechepe yenye udongo unaotunza maji na vyanzo vingi vya maji (water bodies) kama vile mto Kagera, Mto ngono, mto Ruvuvu, mto Kanoni, Ziwa Victoria na maziwa mengine madogo madogo 15. Mkoa huu wa Kagera unasifika na kuwa Mkoa wa kwanza nchini Tanzania na wa pekee wenye maziwa madogo madogo (Satellite Lake) mengi yanayofikia 15 kama yafuatayo.

Ziwa Burigi Ziwa Burigi linapakana na Wilaya tatu ambazo ni Muleba, Karagwe na Biharamulo Mkoa wa Kagera. Ziwa hili lina samaki wengi aina ya Sato (Oreochromis esculentus), Furu (Haprochromis), Kamongo (Protopterus) na Kambale (Clarius gariepinus). Baadhi ya changamoto zinazolikumba Ziwa hili ni Uvuvi usioendelevu, uharibifu wa mazingira kutokana na shughuli za kiuchumi na magugu maji.

Ziwa Rwakajunju Ziwa Rwakajunju linapatikana Wilaya ya Karagwe Mkoa wa Kagera. Ziwa hili lina ukubwa wa km2 27.72. Baadhi ya samaki waliomo ni pamoja na Furu (Haprochromis), Sato (Oreochromis esculentus na Variabilis), Kamongo (Protopterus) na Kambale (Clarius gariepinus). Baadhi ya changamoto zinazolikumba Ziwa hili ni pamoja na Uvuvi usioendelevu, uharibifu wa mazingira kutokana na shughuli za kiuchumi na magugu maji.

Ziwa Kamakala Ziwa kamakala linapatikana Wilaya ya Karagwe Mkoa wa Kagera. Ziwa hili linasifika kwa kuwa na samaki wengi aina Sato (Oreochromis esculentus), Furu (Haprochromis), Kamongo (Protopterus) na Kambale (Clarius gariepinus). Baadhi ya changamoto zinazolikumba Ziwa hili ni Uvuvi usioendelevu, uharibifu wa mazingira kutokana na shughuli za kiuchumi na magugu maji.

Ziwa Ikimba Ziwa Ikimba linalinapatikana Wilaya ya Bukoba Mkoa wa Kagera. Ziwa hili lina ukubwa wa km2 38.09. Baadhi ya samaki waliomo ni pamoja na Furu (Haplochromines), Sato (Oreochromis esculentus), Kamongo (Protopterus catastoma) na Kambale (Clarius gariepinus). Ziwa hili linapatikana Bukoba Vijijini Mkoa wa Kagera. Baadhi ya changamoto zilizopo Uvuvi usioendelevu, uharibifu wa mazingira kutokana na shughuli za kiuchumi na magugu maji.

Ziwa Rushwa Ziwa Rushwa linapatikana Wilaya ya Kyerwa Mkoa wa Kagera. Ziwa hili lina ukubwa wa km2 10.08. Baadhi ya samaki waliomo ni pamoja na Sato (Oreochromis esculentus, leocosticus, niloticus, variabilis na Tilapia zilii), Kamongo (Protopterus aethhiopicus) na Kambale (Clarius gariepinus). Baadhi ya changamoto zinazolikumba Ziwa hili ni pamoja na Uvuvi usioendelevu, uharibifu wa mazingira kutokana na shughuli za kiuchumi na magugu maji.

Ziwa Melula Ziwa Melule liko Wilaya ya Kyerwa Mkoa wa Kagera. Ziwa hili lina ukubwa wa km2 15.21. Samaki waliomo ni pamoja na Sato (Oreochromis esculentus na niloticus), Furu (Haplochromines) na Kambale (Clarius gariepinus). Baadhi ya changamoto zinazolikumba Ziwa hili ni pamoja na Uvuvi usioendelevu, uharibifu wa mazingira kutokana na shughuli za kiuchumi na magugu maji.

Ziwa Katwe  Ziwa katwe linapatikana Wilaya ya Kyerwa Mkoa wa Kagera. Ziwa hili lina ukubwa wa km2 2.23. Ziwa hili lina aina 6 za samaki ambao ni pamoja na Sato (Oreochromis leocostictus), Furu (Haprochromines), Kamongo (Protopterus aethiopicus), Kambale (Clarius gariepinus), (Momyrus) na Gogogo (S.afrofischeri). Baadhi ya changamoto zinazolikumba Ziwa hili ni Uvuvi usioendelevu, uharibifu wa mazingira kutokana na shughuli za kiuchumi na magugu maji.

Ziwa Luko Ziwa Luko linapatikana Wilaya ya Kyerwa Mkoa wa Kagera. Ziwa hili lina samaki wengi aina nyingi ya Sato (Oreochromis esculentus), Kamongo (Protopterus) na Kambale (Clarius gariepinus). Baadhi ya changamoto zinazolikumba Ziwa hili ni pamoja na Uvuvi usioendelevu, uharibifu wa mazingira kutokana na shughuli za kiuchumi na magugu maji.

Ziwa Kalenge Ziwa Karenge linapatikana Wilaya ya Kyerwa Mkoa wa Kagera. Ziwa lina aina 9 za samaki ambao ni Sato (O.leocostictus, niloticus na variabilis), Furu (Haplochromines), B.profundus na B.sadleri, Kambale (Clarius gariepinus na C.alluaudi) na Gogogo (S.afrofischeri). Ziwa hili linakumbwa na changamoto ya Uvuvi usioendelevu, uharibifu wa mazingira kutokana na shughuli za kiuchumu na magugu maji.

 Ziwa Mitoma Ziwa Mitoma linapatikana Wilaya ya Kyerwa Mkoa wa Kagera. Kuna aina 5 za samaki ambao ni (B.sadleri), Kambale (Clarius gariepinus), Furu (Haplochromines), Kamongo (Protopterus aethiopicus) na Gogogo (Synodontis afrofischeri).

Ziwa Kaburi Ziwa Kaburi linapatikana Wilaya ya Karagwe Mkoa wa Kagera. Ziwa hili linasifika kuwa na samaki wengi aina Sato (Oreochromis esculentus), Kamongo (Protopterus aethiopicus) na Kambale (Clarius gariepinus). Baadhi ya changamoto zilinazopo ni Uvuvi usioendelevu, uharibifu wa mazingira kutokana na kilimo na magugu maji.

Ziwa Kitete, Ziwa Kitete linapatikana Wilaya ya Karagwe Mkoa wa Kagera. Ziwa hili linasifika kwa kuwa na samaki wengi aina Sato (Oreochromis esculentus), Furu (Haplochromines), Kamongo (Protopterus) na Kambale (Clarius gariepinus). Ziwa hili Baadhi ya changamoto zinazolikumba Ziwa hili ni pamoja na Uvuvi usioendelevu, uharibifu wa mazingira kutokana na shughuli za kiuchumi na magugu maji.

Ziwa Kabindi Ziwa Kabindi linapatikana Wilaya ya Karagwe Mkoa wa Kagera. Ziwa hili linasifika kwa kuwa na samaki wengi aina Sato (Oreochromis esculentus), Furu (Haplochromines), Kamongo (Protopterus) na Kambale (Clarius gariepinus). Ziwa hili Baadhi ya changamoto zinazolikumba Ziwa hili ni pamoja na Uvuvi usioendelevu, uharibifu wa mazingira kutokana na shughuli za kiuchumi na magugu maji.

Ziwa Ngoma Ziwa Ngoma linapatikana Wilaya ya Karagwe Mkoa wa Kagera. Ziwa hili linasifika kwa kuwa na samaki wengi aina Sato (Oreochromis esculentus), Furu (Haplochromines), Kamongo (Protopterus) na Kambale (Clarius gariepinus). Baadhi ya changamoto zinazolikumba Ziwa hili ni pamoja na Uvuvi usioendelevu, uharibifu wa mazingira kutokana na shughuli za kiuchumi na magugu maji.

Ziwa Rumanyika Ziwa Rumanyika linapatikana katika hifadhi ya rumanyika Wilaya ya Kyerwa. Ziwa hili linasifika kwa kuwa na samaki aina Sato (Oreochromis esculentus), Furu (Haplochromines), Kamongo (Protopterus) na Kambale (Clarius gariepinus).

Announcements

  • No records found
  • View All

Latest News

  • Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Kagera Yaridhia Jimbo la Uchaguzi la Nkenge Kuitwa Jimbo la Uchaguzi Missenyi

    March 17, 2025
  • Mkuu wa Mkoa wa Mwassa Awashukuru Wabunge Kupitisha Fedha za Miradi ya Mapinduzi ya Kiuchumi Kagera

    March 14, 2025
  • Viongozi wa Dini Wahimizwa Kudumisha Mshikamano Ili Kukuza Uchumi wa Mkoa wa Kagera – RC Mwassa

    March 14, 2025
  • TULIPE KODI-RC MWASSA

    October 07, 2023
  • View All

Video

KAGERA REGION DOCUMENTARY
More Videos

Quick Links

  • Taratibu za biashara ya ndani
  • Barabara Kuu na ndogo za Mkoa
  • Radio Stations in Kagera Region
  • Kagera Regional Commissioners Since Independence 1961
  • Matokeo ya Darasa la VII 2018, Wanafunzi 10 Bora, Shule 10 Bora, Watakaojiunga Kidato cha I, 2019
  • Kitabu cha Mwongozo wa Uwekezaji Kagera 2019
  • FOMU YA USAJILI WA WAFANYABIASAHARA NA WADAU WA MKOA WA KAGERA, ZIARA YA KUTEMBELEA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI NA KATI KWA LENGO LA KUTAFUTA FURSA ZA BIASHARA NA UWEKEZAJI NOVEMBER, 2019.

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • National Bureau of Statistics (NBS)
  • Government of Tanzania Website
  • Open Data Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kagera

    Postal Address: S.L.P 299 BUKOBA

    Telephone: 255 28 2220215/17

    Mobile:

    Email: ras.kagera@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service
    • Hakimiliki

Copyright ©2017 GWF . All rights reserved.