• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
KAGERA REGIONAL WEBSITE

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government KAGERA REGIONAL WEBSITE

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Sections/Units
      • Sections
        • Management Monitoring and Ispection
        • Infrastructure
        • Education
          • Primary Education
          • Secondary Education
          • Adult Education
          • Higher Education
          • Sports
          • Youth
        • Health
          • Health
          • social welfare
        • Administration And HR
        • Planning & Coordination
          • Planning
          • Statistics
          • Community Development
          • TASAF
        • Economic and Production
          • Irrigation Farming
          • Commerce and Industries
          • Fishing
          • Livestock
          • Natural Resources, Tourism & Environment
          • Co operative
          • Agriculture
        • Investment Indusrty and Trade
      • Units
        • ICT
        • Legal Unit
        • Finance and Accounts
        • Internal Audit Unit
        • Procurement Unit
        • Government Communication
  • Districts
    • Bukoba
      • Bukoba Leaders
    • Biharamulo
      • Biharamulo Leaders
    • Karagwe
      • Karagwe Leaders
    • Kyerwa
      • Kyerwa Leaders
    • Missenyi
      • Missenyi Leaders
    • Muleba
      • Muleba Leaders
    • Ngara
      • Ngara Leaders
  • District Councils
    • Bukoba Municipal Council
    • Bukoba District Council
    • Biharamulo District Council
    • Karagwe District Council
    • Kyerwa District Council
    • Missenyi District Council
    • Muleba District Council
    • Ngara District Council
  • Investment Opportunities
    • Tourism Attractions
    • Farming Opportunities
    • Agricultural Opportunities
  • Services
    • Health Services
    • Education Services
    • Water Services
    • Agricultural Services
    • Farming Services
  • Publications
    • By Laws
    • Client Service Charter
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Forms
    • Guidelines
    • News Letter
  • Media Center
    • Videos
    • Press Release
    • Speeches
    • Photo Gallery

Fursa za Uwekezaji Kagera

Fursa za Uwekezaji Katika Sekta ya Utalii
  • Ujenzi na Usismamizi wa Mahoteli na Makambi ya Kitalii
  • Utamaduni na Utalii wa Picha 
  • Uwindaji 
  • Uanzishwaji wa Makampuni ya kitalii

Mkoa wa Kagera Umebarikiwa Kuwa na Vivutio Vingi vya Utalii Mfano, Maporomoko ya Maji ya Rusumo na Bugonzi, Maji ya Moto ya Mutagata, Misitu na Mapori ya Hifadhi, Michoro ya Mapango, Utalii wa Utamaduni, Kanisa la Kihistoria la Kyaka, Makaburi ya kumbukumbu (Heroes monuments) nyumba za wakama.

          Mkoa wa Kagera Umebarikiwa Kuwa na Vivutio Vingi vya Utalii Kama Ifuatavyo,Kanisa la Kihistoria la Kyaka Wilayani Missenyi


          Makaburi ya Kumbukumbu ya Mashujaa wa Vita ya Kagera (Heroes monuments)


           Utalii wa utamaduni Nyumba za Wakama (Chiefs) Waliotawala Katika Maeneo Mbalimbali Ndani ya Mkoa wa Kagera.


            Utalii wa Utamaduni Katika Himaya za Wakama Waliokuwa Wanatawala Sehemu Mbalimbali za Mkoa wa Kagera


           Utalii wa Utamaduni wa Ngoma za Kihaya na Mila za Kihaya na Makabila Mengine Katika Mkoa wa Kagera


            Uwanja wa Kisasa wa Ndege wa Bukoba Unaovutia Watalii na Wawekezaji Kuja Kagera Kutalii na Kuwekeza


           Maporomko ya Maji ya Rusumo Wilayani Ngara, Bugonzi Wilayani Muleba, Kyamunene Ndani ya Msitu wa Rubale Wilayani Bukoba.


            Mkoa wa Kagera unazo Hoteli za Kutosha za Kitalii za Kuwapokea Wageni Mbalimbali wa Kutoka Ndani na Nje ya Nchi


            Sanamu ya Mayunga Kama Kumbukumbu ya Uhuru Iliyopo Katikati ya Mji wa Bukoba Katika Kiwanja cha Uhuru. 


             Uwanja wa Kihistoria wa Michezo wa Kaitaba.


              Utalii wa Kiroho au Kuabudu Unaohusisha Makanisa ya Bukoba Cathedral, Bunena, Kashozi, Kanisa la Rutabo  
              Nyumbani kwa Cardinal Rugambwa na Makanisa Mengine Kama ya Askofu Kibira wa ELCT Pamoja na Misikiti  


               Utalii wa Mambo ya Kale Kama Michoro ya Mapangoni Iliyochorwa na Binadamu wa Kale Mkoani Kagera Wilayani Missenyi


               Minara ya Wajerumani Gymkhana Manispaa ya Bukoba


               Utalii wa Wanyama Katika Mapori ya Akiba na Misitu ya Hifadhi ya Biharamulo, Burigi na Kimisi (BBK), Ibanda na Rumanyika


FURSA UWEKEZAJI KATIKA VIWANDA

  • Usindikaji wa ndizi
  • Utengenezaji wa juisi aina mbalimbali
  • Usindikaji wa mihogo
  • Usindikaji wa Nyama
  • Usindikaji wa mazao ya misitu
  • Usindikaji wa ngozi
  • Usindikaji wa maharage
  • Usindikaji wa maziwa 
  • Uzalishaji wa Sukari
  • Usindikaji wa samaki
  • Utengenezaji wa vifaa vya ujenzi mfano vigae
  • Utengenezaji wa vifaa vya TEHAMA
  • Uchapishaji
  • Utengenezaji wa madawa ya binadamu


FURSA ZA BIASHARA ZA MIPAKANI

  • Ujenzi wa Masoko ya Kisasa Mipakani 
  • Ujenzi wa stoo (godowns) za kuhifadhia nafaka
  • Huduma mbalimbali za biashara za mipakani 

FURSA ZA UWEKEZAJI KATIKA MISITU

  • Uanzishwaji wa Misitu mikubwa ya miti kwa ajili ya biashara 
  • Uanzishwaji wa Mizinga ya nyuki ya kisasa
  • Ufugaji wa nyuki
  • Usindikaji wa asali

FURSA ZA UWEKEZAJI KATIKA SEKTA YA UVUVI

  • Uvuvi wa kutumia vizimba na mabwawa
  • Ujenzi wa Viwanda vya kusindika samaki
  • Uvuvi wa kisasa na kibiashara katika Ziwa Victoia na Maziwa mengine 15

UCHIMBAJI NA UONGEZAJI THAMANI MADINI

  • Uchimbaji na uongezaji thamani  Madini ya bati (tin)
  • Uchimbaji na uongezaji thamani madini nickel
  • Uchimbaji na uongezaji thamani madini ya dhahabu

UWEKEZAJI KATIKA HUDUMA ZA KIJAMII

  • Miundombinu ya Shule ( Elimu ya Awali, Msingi,Sekondari, Vyuo vya Ufundi, na Elimu ya Juu)
  • Huduma za afya
  • Huduma za kifedha
  • Usafiri na usafirishaji

Announcements

  • No records found
  • View All

Latest News

  • Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Kagera Yaridhia Jimbo la Uchaguzi la Nkenge Kuitwa Jimbo la Uchaguzi Missenyi

    March 17, 2025
  • Mkuu wa Mkoa wa Mwassa Awashukuru Wabunge Kupitisha Fedha za Miradi ya Mapinduzi ya Kiuchumi Kagera

    March 14, 2025
  • Viongozi wa Dini Wahimizwa Kudumisha Mshikamano Ili Kukuza Uchumi wa Mkoa wa Kagera – RC Mwassa

    March 14, 2025
  • TULIPE KODI-RC MWASSA

    October 07, 2023
  • View All

Video

KAGERA REGION DOCUMENTARY
More Videos

Quick Links

  • Taratibu za biashara ya ndani
  • Barabara Kuu na ndogo za Mkoa
  • Radio Stations in Kagera Region
  • Kagera Regional Commissioners Since Independence 1961
  • Matokeo ya Darasa la VII 2018, Wanafunzi 10 Bora, Shule 10 Bora, Watakaojiunga Kidato cha I, 2019
  • Kitabu cha Mwongozo wa Uwekezaji Kagera 2019
  • FOMU YA USAJILI WA WAFANYABIASAHARA NA WADAU WA MKOA WA KAGERA, ZIARA YA KUTEMBELEA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI NA KATI KWA LENGO LA KUTAFUTA FURSA ZA BIASHARA NA UWEKEZAJI NOVEMBER, 2019.

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • National Bureau of Statistics (NBS)
  • Government of Tanzania Website
  • Open Data Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kagera

    Postal Address: S.L.P 299 BUKOBA

    Telephone: 255 28 2220215/17

    Mobile:

    Email: ras.kagera@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service
    • Hakimiliki

Copyright ©2017 GWF . All rights reserved.