• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
KAGERA REGIONAL WEBSITE

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government KAGERA REGIONAL WEBSITE

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Sections/Units
      • Sections
        • Management Monitoring and Ispection
        • Infrastructure
        • Education
          • Primary Education
          • Secondary Education
          • Adult Education
          • Higher Education
          • Sports
          • Youth
        • Health
          • Health
          • social welfare
        • Administration And HR
        • Planning & Coordination
          • Planning
          • Statistics
          • Community Development
          • TASAF
        • Economic and Production
          • Irrigation Farming
          • Commerce and Industries
          • Fishing
          • Livestock
          • Natural Resources, Tourism & Environment
          • Co operative
          • Agriculture
        • Investment Indusrty and Trade
      • Units
        • ICT
        • Legal Unit
        • Finance and Accounts
        • Internal Audit Unit
        • Procurement Unit
        • Government Communication
  • Districts
    • Bukoba
      • Bukoba Leaders
    • Biharamulo
      • Biharamulo Leaders
    • Karagwe
      • Karagwe Leaders
    • Kyerwa
      • Kyerwa Leaders
    • Missenyi
      • Missenyi Leaders
    • Muleba
      • Muleba Leaders
    • Ngara
      • Ngara Leaders
  • District Councils
    • Bukoba Municipal Council
    • Bukoba District Council
    • Biharamulo District Council
    • Karagwe District Council
    • Kyerwa District Council
    • Missenyi District Council
    • Muleba District Council
    • Ngara District Council
  • Investment Opportunities
    • Tourism Attractions
    • Farming Opportunities
    • Agricultural Opportunities
  • Services
    • Health Services
    • Education Services
    • Water Services
    • Agricultural Services
    • Farming Services
  • Publications
    • By Laws
    • Client Service Charter
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Forms
    • Guidelines
    • News Letter
  • Media Center
    • Videos
    • Press Release
    • Speeches
    • Photo Gallery

Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Kagera Yaridhia Jimbo la Uchaguzi la Nkenge Kuitwa Jimbo la Uchaguzi Missenyi

Posted on: March 17th, 2025

Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Kagera (RCC) katika kikao cha dharura imepitisha kwa kauli moja mapendekezo ya Kamati ya ushauri ya Wilaya ya Missenyi ya kubadili jina la Jimbo la uchaguzi la Nkenge ili liitwe Jimbo la Missenyi jina litakalowagusa wananchi wote katika Wilaya hiyo yenye Jimbo la uchaguzi moja.

Kikao hichokilichofanyika Machi 17, 2025 katika ukumbi wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kagera na  kuongozwa na Mwenyekiti wake ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Hajjat Fatma Mwassa kilikuwa na ajenda kuu moja ya kugawa Majimbo na kubadili majina ya majimbo ya uchaguzi katika Mkoa wa Kagera.

Kati ya Majimbo tisa ya uchaguzi yaliyopo mkoani Kagera ni Jimbo moja la Nkenge linalopatikana Wilayani Missenyi lilipendekezwa kubadilishwa jina na kuitwa Jimbo la Missenyi na mapendekezo hayo yaliungwa mkono na wajumbe wote wa kikao cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa kama ilivyopendekezwa na kamati ya Ushauri ya Wilaya ya Missenyi.

Wakitaja sababu kuu ya kupendekeza kubadilisha jina la Jimbo la uchaguzi la Nkenge  Kamati ya Ushauri ya Wilaya ya Missenyi walisema kuwa jina la Nkenge limekuwa likitumika tu kwa Jimbo lakini hakuna taasisi yoyote ya Serikali au binafsi inatumia jina hilo la Nkenge, lakini pia mawasiliano yote ya Kiserikali yamekuwa yakitumia jina la Missenyi na siyo Nkenge.

Aidha, Katika hoja ya kugawa Majimbo ya uchaguzi  yaliwasilishwa mapendekezo ya kugawanywa kwa Majimbo ya Uchaguzi ya Biharamulo Magharibi na Jimbo la Ngara lakini kutokana na kutokukidhi vigezo vya kugawanywa Majimbo hayo Wajumbe wa kikao walikubaliana baada kupiga kura mara mbili kuwa mchakato wa kuyagawanywa majimbo hayo usitishwe hadi hapo baadae kwa sababu ya kutokidhi vigezo vilivyo wekwa na Tume Huru ya Uchaguzi.

Akifafanua vigezo hivyo Mkuu wa Mkoa Hajjat Fatma Mwassa Mwenyekiti wa kikao alisema kuwa vigezo vikuu ni uchumi mkubwa wa Jimbo la Uchaguzi linalotakiwa kugawanywa, Wingi wa watu wasiopungua 400,000 lakini kati ya majimbo hayo  mawili ya uchaguzi ya Biharamulo na Ngara yaliyopendekezwa kugawanywa hayakizi vigezo hivyo.

Mkoa wa Kagera unayo Majimbo ya uchaguzi jumla Tisa ya Uchguzi ya Bukoba Mjini, Bukoba Vijijini, Muleba Kasikazini, Muleba Kusini, Biharamulo Magharibi, Ngara, Karagwe, Kyerwa na Jimbo la Nkenge linalopendekezwa kubadilishwa jina na kuwa Jimbo la Uchaguzi Missenyi

Announcements

  • No records found
  • View All

Latest News

  • Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Kagera Yaridhia Jimbo la Uchaguzi la Nkenge Kuitwa Jimbo la Uchaguzi Missenyi

    March 17, 2025
  • Mkuu wa Mkoa wa Mwassa Awashukuru Wabunge Kupitisha Fedha za Miradi ya Mapinduzi ya Kiuchumi Kagera

    March 14, 2025
  • Viongozi wa Dini Wahimizwa Kudumisha Mshikamano Ili Kukuza Uchumi wa Mkoa wa Kagera – RC Mwassa

    March 14, 2025
  • TULIPE KODI-RC MWASSA

    October 07, 2023
  • View All

Video

KAGERA REGION DOCUMENTARY
More Videos

Quick Links

  • Taratibu za biashara ya ndani
  • Barabara Kuu na ndogo za Mkoa
  • Radio Stations in Kagera Region
  • Kagera Regional Commissioners Since Independence 1961
  • Matokeo ya Darasa la VII 2018, Wanafunzi 10 Bora, Shule 10 Bora, Watakaojiunga Kidato cha I, 2019
  • Kitabu cha Mwongozo wa Uwekezaji Kagera 2019
  • FOMU YA USAJILI WA WAFANYABIASAHARA NA WADAU WA MKOA WA KAGERA, ZIARA YA KUTEMBELEA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI NA KATI KWA LENGO LA KUTAFUTA FURSA ZA BIASHARA NA UWEKEZAJI NOVEMBER, 2019.

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • National Bureau of Statistics (NBS)
  • Government of Tanzania Website
  • Open Data Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kagera

    Postal Address: S.L.P 299 BUKOBA

    Telephone: 255 28 2220215/17

    Mobile:

    Email: ras.kagera@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service
    • Hakimiliki

Copyright ©2017 GWF . All rights reserved.