• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
KAGERA REGIONAL WEBSITE

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government KAGERA REGIONAL WEBSITE

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Sections/Units
      • Sections
        • Management Monitoring and Ispection
        • Infrastructure
        • Education
          • Primary Education
          • Secondary Education
          • Adult Education
          • Higher Education
          • Sports
          • Youth
        • Health
          • Health
          • social welfare
        • Administration And HR
        • Planning & Coordination
          • Planning
          • Statistics
          • Community Development
          • TASAF
        • Economic and Production
          • Irrigation Farming
          • Commerce and Industries
          • Fishing
          • Livestock
          • Natural Resources, Tourism & Environment
          • Co operative
          • Agriculture
        • Investment Indusrty and Trade
      • Units
        • ICT
        • Legal Unit
        • Finance and Accounts
        • Internal Audit Unit
        • Procurement Unit
        • Government Communication
  • Districts
    • Bukoba
      • Bukoba Leaders
    • Biharamulo
      • Biharamulo Leaders
    • Karagwe
      • Karagwe Leaders
    • Kyerwa
      • Kyerwa Leaders
    • Missenyi
      • Missenyi Leaders
    • Muleba
      • Muleba Leaders
    • Ngara
      • Ngara Leaders
  • District Councils
    • Bukoba Municipal Council
    • Bukoba District Council
    • Biharamulo District Council
    • Karagwe District Council
    • Kyerwa District Council
    • Missenyi District Council
    • Muleba District Council
    • Ngara District Council
  • Investment Opportunities
    • Tourism Attractions
    • Farming Opportunities
    • Agricultural Opportunities
  • Services
    • Health Services
    • Education Services
    • Water Services
    • Agricultural Services
    • Farming Services
  • Publications
    • By Laws
    • Client Service Charter
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Forms
    • Guidelines
    • News Letter
  • Media Center
    • Videos
    • Press Release
    • Speeches
    • Photo Gallery

Health Services



Katika kipindi cha kuanzia 2020 hadi Juni 2024, Mkoa wa Kagera umepokea jumla ya Shilingi Bilioni 54.4 kutoka vyanzo mbalilmbali kwa ajili ya Ujenzi, Ukarabati wa Miundombinu ya huduma za afya na ununuzi wa vifaa tiba.  Ifuatayo ni miradi ya ujenzi iliyotekelezwa:
  • Ujenzi wa Hospitali 8 za Halmashauri,
  • Ujenzi/upanuzi wa vituo vya afya 24,
  • Ujenzi wa zahanati 40
  • Ujenzi wa majengo ua dharura kwenye Halmashauri na Hospitali ya Rufaa ya Mkoa,
  • Ujenzi wa nyumba tano (27) za watumishi



Ujenzi wa Hospitali za Wilaya

Ujenzi wa Hospitali za Wilaya Katika Halmashauri za Wilaya za Karagwe, Bukoba, Kyerwa, Ngara, Missenyi na Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba zimekamilika na zinatoa huduma. Aidha, ujenzi wa hospitali za Wilaya za Muleba na Biharamulo zipo hatua mbalimbali za ujenzi.

Vituo vya Afya: 

Ujenzi wa vituo vya afya vipya 24 umekamilika katika Halmashauri za Karagwe, Bukoba, Kyerwa, Ngara, Missenyi, Muleba, Biharamulo na Manispaa ya Bukoba umekamilika na vyote vinatoa huduma kwa wananchi wa Mkoa wa Kagera

Zahanati

Ujenzi wa zahanati mpya 40 katika Halmashauri za Karagwe, Bukoba, Kyerwa, Ngara, Missenyi, Muleba, Biharamulo na Manispaa ya Bukoba umekamilika na vyote vinatoa huduma kwa wananchi wa Mkoa wa Kagera. Aidha, kukamilika kwa vituo hivi kumeimasha utoa wa huduma za afya ikiwa ni pamoja na huduma ya upasuaji kwa akina mama wajawazito wanaohitaji huduma hiyo.

Mkakati wa Mkoa kukabiliana na magojwa ya mlipuko

Mkoa una mikakati ya kukabiliana magojwa ya mlipuko hasa ukizingatia Mkoa wetu upo mpakani. Kwa kipindi cha miaka minne Mkoa umejenga vituo kumi na mbili (12) (isolation wards) ya kuwahudumia wagonjwa wanaohisiwa kuwa na magonjwa hayo wakati uchunguzi ukufanyika. Adha, Mkoa umetoa mafunzo maalumu kwa watumishi 155 wa afya kwa ajili ya kutoa huduma pindi magonjwa ya mlipuko yanapotokea.

Mafanikio mengine ya Huduma za Afya ndani ya Mkoa kwa Kipindi miaka minne yaani kuanzaia 2020 hadi 2024 ni kama ifuatavyo.

  • Kuongezeka kwa vituo vya kutolea huduma za Afya kutoka 286 kwa mwaka 2020 hadi 340 kwa mwaka 2024
  • Kupunguza vifo vya akina mama vitokanavyo na uzazi kutoka vifo 55 mwaka 2020 hadi vifo 25 mwaka 2024. Hili linachangiwa na usimamizi wa utekelezaji wa miongozi inayotolewa na serikali, kuboresha huduma na mafunzo mbalimbali kwa watoa huduma
  • Kupunguza  vifo  vya  watoto  wachanga  kutoka  vifo  419 vya mwaka 2020 hadi vifo 220 kwa kwa mwaka 2024.
  • Mkoa umepokea Magari 09 kwa kipindi cha miaka minne na kufanya Mkoa kuwa na jumla ya magari 37 ya kubebea wagonjwa kutoka magari 28 mwaka 2020.
  • Upatikanaji wa dawa katika vituo vya kutolea huduma za afya umefikia asilimia 90



LENGO LA HUDUMA ZA AFYA MKOANI KAGERA

Lengo la Huduma za Afya Mkoani Kagera ni kuwezesha utoaji wa Afya ya Kinga, Tiba, Maendeleo ya Afya na Ustawi wa Jamii kwenye Mkoa. Aidha, Mkoa unafanya kazi ya kuratibu na kushauri juu utekelezaji wa Sera ya Afya kwenye Mkoa 






Announcements

  • No records found
  • View All

Latest News

  • Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Kagera Yaridhia Jimbo la Uchaguzi la Nkenge Kuitwa Jimbo la Uchaguzi Missenyi

    March 17, 2025
  • Mkuu wa Mkoa wa Mwassa Awashukuru Wabunge Kupitisha Fedha za Miradi ya Mapinduzi ya Kiuchumi Kagera

    March 14, 2025
  • Viongozi wa Dini Wahimizwa Kudumisha Mshikamano Ili Kukuza Uchumi wa Mkoa wa Kagera – RC Mwassa

    March 14, 2025
  • TULIPE KODI-RC MWASSA

    October 07, 2023
  • View All

Video

KAGERA REGION DOCUMENTARY
More Videos

Quick Links

  • Taratibu za biashara ya ndani
  • Barabara Kuu na ndogo za Mkoa
  • Radio Stations in Kagera Region
  • Kagera Regional Commissioners Since Independence 1961
  • Matokeo ya Darasa la VII 2018, Wanafunzi 10 Bora, Shule 10 Bora, Watakaojiunga Kidato cha I, 2019
  • Kitabu cha Mwongozo wa Uwekezaji Kagera 2019
  • FOMU YA USAJILI WA WAFANYABIASAHARA NA WADAU WA MKOA WA KAGERA, ZIARA YA KUTEMBELEA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI NA KATI KWA LENGO LA KUTAFUTA FURSA ZA BIASHARA NA UWEKEZAJI NOVEMBER, 2019.

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • National Bureau of Statistics (NBS)
  • Government of Tanzania Website
  • Open Data Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kagera

    Postal Address: S.L.P 299 BUKOBA

    Telephone: 255 28 2220215/17

    Mobile:

    Email: ras.kagera@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service
    • Hakimiliki

Copyright ©2017 GWF . All rights reserved.