- Home
- About Us
- Administration
- Districts
- District Councils
- Investment Opportunities
- Services
- Publications
- Media Center
|
|
|
|
Col. Hamis M. Maiga
|
|
|
Mkuu wa Wilaya ya Missenyi
|
|
|
|
|
|
|
|
|
Katibu Tawala wa Wilaya ya Missenyi
|
|
HISTORIA YA WILAYA YA KARAGWE
|
UTANGULIZI
|
Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi ni Halmashauri moja kati Halmashauri nane za Mkoa wa Kagera iliyoanzishwa mwaka 2007 kutokana na maeneo ya Wilaya ya Bukoba Vijijini. Wilaya hii imepakana na nchi ya Uganda upande wa Kaskazini, Ziwa Viktoria upande wa Mashariki na Wilaya ya Karagwe, Mkoa wa Kagera uko upande wa kusini. Eneo la Wilaya liko upande wa Magharibi ya Ziwa Viktoria.
MAENEO YA KIUTAWALA
|
Kiutawala Wilaya ya Missenyi imegawanyika katika Tarafa Mbili (Missenyi na Kiziba) , Vijiji 77, na Vitongoji 356.
Maeneo ya Wilaya hupokea mvua mara mbili kwa mwaka; Kwenye mwambao wa Ziwa Viktoria mvua hufikia hadi Milimita 1,400 na 2,000 kwa mwaka, kwenye Nyanda za Juu Kati ya 1,000 na 1,400mm; upande wa Magharibi kiwango hushuka hadi 600 na 1,000mm kwa mwaka.
IDADI YA WATU
|
Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 202,632. Eneo la wilaya ni 2709 km².
ORODHA YA WAKUU WA WILAYA YA MISSENYI TANGU MWAKA 2006 HADI SASA |
NA.
|
JINA KAMILI
|
MWAKA WA KUINGIA
|
MWAKA WA KUTOKA
|
07.
|
MHE. COL. HAMISI M. MAIGA
|
2
|
|
06.
|
MHE.COL.WILSON CHRISTIAN SAKULO
|
2021
|
- |
05.
|
MHE. COL. DENIS FILANGALI MWILA
|
2016 |
2021 |
04.
|
MHE. FESTO S. KISWAGA
|
2015 |
2016 |
03. |
MHE. FADHIL E. NKURLU
|
2015 |
2015 |
02.
|
MHE. COL (MST) ISSA S. NJIKU
|
2009 |
2015 |
01.
|
MHE. E.K. MAARUGU
|
2006 |
2009 |
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kagera
Postal Address: S.L.P 299 BUKOBA
Telephone: 255 28 2220215/17
Mobile:
Email: ras.kagera@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 GWF . All rights reserved.