- Home
- About Us
- Administration
- Districts
- District Councils
- Investment Opportunities
- Services
- Publications
- Media Center
Mkoa wa Kagera una Vyuo vya Ualimu 6, ambapo kati ya vyuo hivyo cha Serikali ni 1 na visivyo vya Serikali ni 5. Pia zipo Taasisi za Elimu - Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima, Vyuo vya Ufundi 30, kati ya hivyo vya Serikali ni 7 na visivyo vya Serikali ni 23 na vyuo vikuu 3 kati hivyo, Chuo Kikuu Huria cha Tanzania 1, Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino Tawi la Bukoba, na Chuo Kikuu Kishiriki cha Josia Kibila.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kagera
Postal Address: S.L.P 299 BUKOBA
Telephone: 255 28 2220215/17
Mobile:
Email: ras.kagera@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 GWF . All rights reserved.