• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
KAGERA REGIONAL WEBSITE

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government KAGERA REGIONAL WEBSITE

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Sections/Units
      • Sections
        • Management Monitoring and Ispection
        • Infrastructure
        • Education
          • Primary Education
          • Secondary Education
          • Adult Education
          • Higher Education
          • Sports
          • Youth
        • Health
          • Health
          • social welfare
        • Administration And HR
        • Planning & Coordination
          • Planning
          • Statistics
          • Community Development
          • TASAF
        • Economic and Production
          • Irrigation Farming
          • Commerce and Industries
          • Fishing
          • Livestock
          • Natural Resources, Tourism & Environment
          • Co operative
          • Agriculture
        • Investment Indusrty and Trade
      • Units
        • ICT
        • Legal Unit
        • Finance and Accounts
        • Internal Audit Unit
        • Procurement Unit
        • Government Communication
  • Districts
    • Bukoba
      • Bukoba Leaders
    • Biharamulo
      • Biharamulo Leaders
    • Karagwe
      • Karagwe Leaders
    • Kyerwa
      • Kyerwa Leaders
    • Missenyi
      • Missenyi Leaders
    • Muleba
      • Muleba Leaders
    • Ngara
      • Ngara Leaders
  • District Councils
    • Bukoba Municipal Council
    • Bukoba District Council
    • Biharamulo District Council
    • Karagwe District Council
    • Kyerwa District Council
    • Missenyi District Council
    • Muleba District Council
    • Ngara District Council
  • Investment Opportunities
    • Tourism Attractions
    • Farming Opportunities
    • Agricultural Opportunities
  • Services
    • Health Services
    • Education Services
    • Water Services
    • Agricultural Services
    • Farming Services
  • Publications
    • By Laws
    • Client Service Charter
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Forms
    • Guidelines
    • News Letter
  • Media Center
    • Videos
    • Press Release
    • Speeches
    • Photo Gallery

Mkuu wa Mkoa Chamila Akagua Miradi na Kuongea na Makarani Wa Sensa ya Watu na Makazi Kagera

Posted on: August 23rd, 2022

Mkuu wa Mkoa Bw. Albert John Chalamila aendelea na  ziara ya kujitambulisha na kukagua miradi ya maendeleo, kutembelea na kuongea na Makarani wa Sensa katika Halmashauri za Wilaya za Ngara na Biharamulo Mkoani Kagera.


Mkuu wa mkoa Chalamila akiwa Wilayani Biharamulo Agosti 16, 2022 alitembelea mradi wa maegesho ya magari makubwa (Malori ya mizigo) Nyakanazi uliojengwa kwa gharama ya shilingi bilioni... na kuongea na wananchi wa eneo hilo ambapo amewahaidi wananchi hao kutatua changamoto ufinyu wa ardhi ili wapate maeneo ya kilimo na malisho ya mifugo yao.


Aidha, Mkuu wa Mkoa Chalamila alitembelea vituo vya mafunzo ya Makarani wa Sensa na kuongea na Makarani hao kwa kuwaasa kuzingatia mafunzo wanayopatiwa na wakufunzi ili  muda utakapofika Agosti 23, 2022 watekeleze jukumu lao kwa umakini, usiri na uzalendo wa hali ya juu ili kupata takwimu sahihi za sensa kwa kwa mkoa wa Kagera kwa ajili ya  maendeleo ya taifa la Tanzania.


Katika ziara hiyo pia Mkuu wa Mkoa Chalamila alikutana na kuongea na Madiwani na watumishi wa Halmashauri ya  Wilaya ya Biharamuo na kuwaasa kufanya kazi kwa ushirikiano hasa katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo kwa wananchi na watumishi kupendana na  kutunza siri za Serikali katika maeneo yao ya kazi.


"Mimi huwa nawashangaa baadhi ya Madiwani utasikia wanasema sisi hatumtaki mtumishi fulani au Mkurugenzi wa Halmashauri na wakati mwingine tunapokuwa na Viongozi wa kitaifa Diwani anasimamishwa badala ya kusemea maendeleo ya wananchi wake yeye anatumia muda kusema simtaki Mtendaji wa Kata, huo siyo uongozi bali uongozi ni kurekebishana sisi wenyewe ndani". Alisistiza  Mkuu wa mkoa Chalamila


Akihitimisha ziara yake Wilayani Biharamulo Mkuu wa Mkoa Chalamila alitembelea na kukagua mradi wa maji Biharamulo mjini uliofikia aslimia 98 ya utekelezwaji na uliojengwa kwa gharama ya shilingi milioni 450,234,0000 na Mkandarasi (Nakatech Construction Company Ltd) mbapo aliagiza mradi huo kukamilika kwa asilimia 100  kwa muda uliopangwa Septemba 15, 2022 na kuanza kutoa huduma ya maji kwa wananchi.



 

Announcements

  • No records found
  • View All

Latest News

  • Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Kagera Yaridhia Jimbo la Uchaguzi la Nkenge Kuitwa Jimbo la Uchaguzi Missenyi

    March 17, 2025
  • Mkuu wa Mkoa wa Mwassa Awashukuru Wabunge Kupitisha Fedha za Miradi ya Mapinduzi ya Kiuchumi Kagera

    March 14, 2025
  • Viongozi wa Dini Wahimizwa Kudumisha Mshikamano Ili Kukuza Uchumi wa Mkoa wa Kagera – RC Mwassa

    March 14, 2025
  • TULIPE KODI-RC MWASSA

    October 07, 2023
  • View All

Video

KAGERA REGION DOCUMENTARY
More Videos

Quick Links

  • Taratibu za biashara ya ndani
  • Barabara Kuu na ndogo za Mkoa
  • Radio Stations in Kagera Region
  • Kagera Regional Commissioners Since Independence 1961
  • Matokeo ya Darasa la VII 2018, Wanafunzi 10 Bora, Shule 10 Bora, Watakaojiunga Kidato cha I, 2019
  • Kitabu cha Mwongozo wa Uwekezaji Kagera 2019
  • FOMU YA USAJILI WA WAFANYABIASAHARA NA WADAU WA MKOA WA KAGERA, ZIARA YA KUTEMBELEA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI NA KATI KWA LENGO LA KUTAFUTA FURSA ZA BIASHARA NA UWEKEZAJI NOVEMBER, 2019.

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • National Bureau of Statistics (NBS)
  • Government of Tanzania Website
  • Open Data Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kagera

    Postal Address: S.L.P 299 BUKOBA

    Telephone: 255 28 2220215/17

    Mobile:

    Email: ras.kagera@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service
    • Hakimiliki

Copyright ©2017 GWF . All rights reserved.