• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
KAGERA REGIONAL WEBSITE

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government KAGERA REGIONAL WEBSITE

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Sections/Units
      • Sections
        • Management Monitoring and Ispection
        • Infrastructure
        • Education
          • Primary Education
          • Secondary Education
          • Adult Education
          • Higher Education
          • Sports
          • Youth
        • Health
          • Health
          • social welfare
        • Administration And HR
        • Planning & Coordination
          • Planning
          • Statistics
          • Community Development
          • TASAF
        • Economic and Production
          • Irrigation Farming
          • Commerce and Industries
          • Fishing
          • Livestock
          • Natural Resources, Tourism & Environment
          • Co operative
          • Agriculture
        • Investment Indusrty and Trade
      • Units
        • ICT
        • Legal Unit
        • Finance and Accounts
        • Internal Audit Unit
        • Procurement Unit
        • Government Communication
  • Districts
    • Bukoba
      • Bukoba Leaders
    • Biharamulo
      • Biharamulo Leaders
    • Karagwe
      • Karagwe Leaders
    • Kyerwa
      • Kyerwa Leaders
    • Missenyi
      • Missenyi Leaders
    • Muleba
      • Muleba Leaders
    • Ngara
      • Ngara Leaders
  • District Councils
    • Bukoba Municipal Council
    • Bukoba District Council
    • Biharamulo District Council
    • Karagwe District Council
    • Kyerwa District Council
    • Missenyi District Council
    • Muleba District Council
    • Ngara District Council
  • Investment Opportunities
    • Tourism Attractions
    • Farming Opportunities
    • Agricultural Opportunities
  • Services
    • Health Services
    • Education Services
    • Water Services
    • Agricultural Services
    • Farming Services
  • Publications
    • By Laws
    • Client Service Charter
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Forms
    • Guidelines
    • News Letter
  • Media Center
    • Videos
    • Press Release
    • Speeches
    • Photo Gallery

Operesheshi Mkoani Kagera yanasa Mifugo 3053, Watuhumiwa 19, Watano watiwa Hatiani

Posted on: April 3rd, 2017

Operesheni ya Kunusuru Hifadhi za Misitu na Mapori ya Akiba Kagera Yanasa Mifugo 3053 na Kuwatia Hatiani Watuhumiwa Watano

Operesheni ya kuondoa wavamizi na waharibifu wa Mapori ya Akiba, Hifadhi za Misitu, Mapori Tengefu na Maeneo ya vyanzo vya maji Mkoani Kagera tayari imekamata jumla ya mifugo 3,053 na kukuwakamata watuhumiwa 19 ambao tayari wamefikishwa katika Mahakama  ya Wilaya ya Biharamulo April 3, 2017

Operationi ya kunusuru Misitu ya Hifadhi na Mapori ya Akiba Mkoani Kagera imeanza rasmi Machi 30, 2017 mara baada ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Mstaafu Salum M. Kijuu  kutoa muda wa siku tatu kuanzia Machi 18-21, 2017 kwa wavamizi wote kuondoka na kuondoa mifugo yao kwa hiari  katika hifadhi hizo.

Mara baada ya muda wa kuondoka na kuondoa kwa hiari mifugo kuisha na operesheni kuanza,  Mifugo iliyokamatwa kwenye Hifadhi za Misitu na Mapori ya Akiba Mkoani Kagera ni Pamoja na Ng’ombe 2905, Mbuzi 113, na Kondoo 35 ambapo kazi inaendelea kufanyika kuhakikisha hakuna mvamizi yeyote atakayebaki katika Hifadhi hizo.

Hatua Zilizochukuliwa

Watuhumiwa 19 tayari wamekamatwa na kufikishwa Makamani kwa makosa mbalimbali ya kuendesha shughuli za kibinadamu katika Misitu ya Hifadhi na Mapori ya Akiba ambapo akitoa ufafanuzi mara baada ya kutoka Mahakamani Wakili wa Serikali Mwandamizi Athumani Matuma Kirati akiambatana na Mawakili wenzake wawili wa Serikali Erastus Anosisye na Haruna Shomari alisema;

“Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali kufikia April 2, 2017 ilikuwa imepokea mafaili 12 yanayohusiana na makosa mbalimbali katika Hifadhi za Wanyamapori na Hifadhi za Misitu ambapo watuhumiwa 19 wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya kwa makosa ya kuingia bila kibali katika hifadhi, kuchunga mifugo katika hifadhi za Misitu na Wanyamapori, kukutwa na mazao ya Misitu bila kibali na kukutwa na zana za kuvunia mazao ya misitu kama misumeno na shoka.” Alifafanua Wakili Matuma.

Makosa mengine ni kukutwa na vifaa vya kusafirishia mazao ya misitu kama baiskeli,  na kuvuna mazao ya misitu (Kambapori) bila kibali au idhini ya mamlaka husika. Katika kesi hizo 12 zilizofikishwa mahakamani kesi tatu tofauti zilimalizika kwa watuhumiwa watano kukiri makosa yao na kutozwa faini ya shilingi 100,000/= (laki moja) hadi shilingi 500,000/= (laki tano) au kifungo cha mwaka mmoja kwa kila kosa.

Pia Wakili Mwandamizi Matuma alisema ofisi ya Mwanansheria Mkuu wa Serikali inaendelea kupokea mafaili mengine ya kesi na mara baada ya kuyapitia na kukaridhika na vielelezo  vya ushahidi watawasilisha kesi hizo Mahakamani. Kesi tatu zilizokamilika na kutolewa hukumu na Mahakama ni Kesi namba 83, 85, 79 za mwaka 2017 ambapo jumla ya watuhumiwa watano walikiri makosa yao na kuhukumiwa kamailivyotajwa hapo juu.

Kuhusu mifugo iliyokamatwa Wakili Mwandamizi wa Serikali Bw. Matuma alisema kuwa Mahakama itatoa uamuzi mara baada ya kutembelea maeneo ya mifugo ilikokamatiwa na kuhifadhiwa katika hifadhi ili kujionea na kukubali kiwe kielelezo cha ushahidi. Kesi zote 12 ziliskilizwa na tatu kutolewa uamuzi na  Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya ya Biharamulo Niku Mwakatobe.

Announcements

  • No records found
  • View All

Latest News

  • Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Kagera Yaridhia Jimbo la Uchaguzi la Nkenge Kuitwa Jimbo la Uchaguzi Missenyi

    March 17, 2025
  • Mkuu wa Mkoa wa Mwassa Awashukuru Wabunge Kupitisha Fedha za Miradi ya Mapinduzi ya Kiuchumi Kagera

    March 14, 2025
  • Viongozi wa Dini Wahimizwa Kudumisha Mshikamano Ili Kukuza Uchumi wa Mkoa wa Kagera – RC Mwassa

    March 14, 2025
  • TULIPE KODI-RC MWASSA

    October 07, 2023
  • View All

Video

KAGERA REGION DOCUMENTARY
More Videos

Quick Links

  • Taratibu za biashara ya ndani
  • Barabara Kuu na ndogo za Mkoa
  • Radio Stations in Kagera Region
  • Kagera Regional Commissioners Since Independence 1961
  • Matokeo ya Darasa la VII 2018, Wanafunzi 10 Bora, Shule 10 Bora, Watakaojiunga Kidato cha I, 2019
  • Kitabu cha Mwongozo wa Uwekezaji Kagera 2019
  • FOMU YA USAJILI WA WAFANYABIASAHARA NA WADAU WA MKOA WA KAGERA, ZIARA YA KUTEMBELEA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI NA KATI KWA LENGO LA KUTAFUTA FURSA ZA BIASHARA NA UWEKEZAJI NOVEMBER, 2019.

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • National Bureau of Statistics (NBS)
  • Government of Tanzania Website
  • Open Data Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kagera

    Postal Address: S.L.P 299 BUKOBA

    Telephone: 255 28 2220215/17

    Mobile:

    Email: ras.kagera@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service
    • Hakimiliki

Copyright ©2017 GWF . All rights reserved.