• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
KAGERA REGIONAL WEBSITE

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government KAGERA REGIONAL WEBSITE

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Sections/Units
      • Sections
        • Management Monitoring and Ispection
        • Infrastructure
        • Education
          • Primary Education
          • Secondary Education
          • Adult Education
          • Higher Education
          • Sports
          • Youth
        • Health
          • Health
          • social welfare
        • Administration And HR
        • Planning & Coordination
          • Planning
          • Statistics
          • Community Development
          • TASAF
        • Economic and Production
          • Irrigation Farming
          • Commerce and Industries
          • Fishing
          • Livestock
          • Natural Resources, Tourism & Environment
          • Co operative
          • Agriculture
        • Investment Indusrty and Trade
      • Units
        • ICT
        • Legal Unit
        • Finance and Accounts
        • Internal Audit Unit
        • Procurement Unit
        • Government Communication
  • Districts
    • Bukoba
      • Bukoba Leaders
    • Biharamulo
      • Biharamulo Leaders
    • Karagwe
      • Karagwe Leaders
    • Kyerwa
      • Kyerwa Leaders
    • Missenyi
      • Missenyi Leaders
    • Muleba
      • Muleba Leaders
    • Ngara
      • Ngara Leaders
  • District Councils
    • Bukoba Municipal Council
    • Bukoba District Council
    • Biharamulo District Council
    • Karagwe District Council
    • Kyerwa District Council
    • Missenyi District Council
    • Muleba District Council
    • Ngara District Council
  • Investment Opportunities
    • Tourism Attractions
    • Farming Opportunities
    • Agricultural Opportunities
  • Services
    • Health Services
    • Education Services
    • Water Services
    • Agricultural Services
    • Farming Services
  • Publications
    • By Laws
    • Client Service Charter
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Forms
    • Guidelines
    • News Letter
  • Media Center
    • Videos
    • Press Release
    • Speeches
    • Photo Gallery

Wanafunzi wa Kidato cha Kwanza Katika Shule ya Sekondari Prof. Joyce Ndalichako Wilayani Muleba Wakiendelea na Masomo Darasani.

Posted on: April 5th, 2018

Mkoa wa Kagera Wavuka Lengo Katika Undikishaji wa Wanafunzi  Awali na Darasa La kwanza Mwaka 2018

Mkoa wa Kagera wavuka lengo la uandikishaji wa Wananfunzi katika madarasa ya awali na Darasa la kwanza kwa kipindi cha kuanzia mwezi Januari hadi Machi 2018 kipindi cha miezi mitatu na ni kipindi ambacho wanafunzi hupokelewa na kuandikishwa shuleni aidha, ifikapo Machi 31 uandikishwaji hukoma rasmi.

Mkoa wa Kagera kwa mwaka 2018 uliotea kuandikisha wanafunzi wa awali 85,553 wavulana wakiwa 42,678 na wasichana 42,875 lakini mkoa umefanikiwa kuvuka lengo kwa kuandikisha  wanafunzi wa Elimu ya Awali 88,343 wavulana wakiwa 44,66o na wasichana 43,683 sawa na asilimia (103.3%).

Elimu ya darasa la kwanza Mkoa wa Kagera ulilenga kuandikisha wanafunzi jumla 89,043 wavulana 44,686 na wasichana 44,357 ambapo mkoa umevuka lengo kwa kuandikisha jumla ya wananfunzi 96,539 wavulana wakiwa 48,244 na wasichana 48,295 sawa na asilimia (108.42%)

Aidha katika hatua nyingine Mkoa wa Kagera umefanikiwa kuandikisha wanafunzi wa kidato cha kwanza kwa asilimia 90.66 na tayari wanafunzi hao wameripoti shuleni na kuanza masomo yao ya sekondari.Wanafunzi waliofaulu na kuchaguliwa kujiunga na Elimu ya Sekondari wavulana walikuwa 17,191 na wasicha 17,971 jumla 35,161.

Wanafunzi walioripoti katika shule za Sekondari Mkoani Kagera hadi kufikia Machi 31, 2018 jumla ni 31,877  sawa na asilimia 90.66 wavulana wakiwa 14,814 sawa na asilimia 86.173 na wasichana 17,063 sawa na asilimia 94.953.

Mkoa unaendelea na juhudi za kuwafuatilia wanafunzi ambao bado hawajaripoti shuleni kuhakikisha wanaripoti mara moja ili kuendelea na masomo ya kidato cha kwanza. Aidha, uongozi wa Mkoa wa Kagera unatoa rai kwa wazazi na walezi wa wanafunzi ambao bado hawajaripoti shuleni kuhakikisha wanafunzi hao wanaripoti vinginevyo wazazi na walezi watauchukuliwa hatua za kisheria kwa kutowapeleka watoto wao shule.

Vilevile Mkoa wa Kagera unaendelea na juhudi za kuweka mazingira mazuri ya kujifunza na kujifunzia ili kutoa elimu bora kwa wanafunzi. Pia kuhakikisha mkoa unashika nafasi za juu katika mitihani ya kitaifa  na ufaulu wa maksi za juu kama ilivyo desturi ya Mkoa wa Kagera.

Announcements

  • No records found
  • View All

Latest News

  • Mwenge wa Uhuru Mwaka 2025 Kupitia Miradi Yenye Thamani ya Shilingi Bilioni 23.8

    September 07, 2025
  • Mwenge wa Uhuru Mwaka 2025 Kupitia Miradi Yenye Thamani ya Shilingi Bilioni 23.8

    September 07, 2025
  • Mamlaka ya Mapato Tanzania Mkoa wa Kagera Yafungu Dawati Maalu la Uwezeshaji Wafanyabiashara

    September 03, 2025
  • Nsekela Stadium Yazinduliwa Rasmi Kyerwa - Kagera

    August 29, 2025
  • View All

Video

KAGERA REGION DOCUMENTARY
More Videos

Quick Links

  • Taratibu za biashara ya ndani
  • Barabara Kuu na ndogo za Mkoa
  • Radio Stations in Kagera Region
  • Kagera Regional Commissioners Since Independence 1961
  • Matokeo ya Darasa la VII 2018, Wanafunzi 10 Bora, Shule 10 Bora, Watakaojiunga Kidato cha I, 2019
  • Kitabu cha Mwongozo wa Uwekezaji Kagera 2019
  • FOMU YA USAJILI WA WAFANYABIASAHARA NA WADAU WA MKOA WA KAGERA, ZIARA YA KUTEMBELEA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI NA KATI KWA LENGO LA KUTAFUTA FURSA ZA BIASHARA NA UWEKEZAJI NOVEMBER, 2019.

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • National Bureau of Statistics (NBS)
  • Government of Tanzania Website
  • Open Data Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kagera

    Postal Address: S.L.P 299 BUKOBA

    Telephone: 255 28 2220215/17

    Mobile:

    Email: ras.kagera@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service
    • Hakimiliki

Copyright ©2017 GWF . All rights reserved.