Posted on: September 6th, 2018
Mkuu wa Mkoa Kagera Brigedia Jenerali Marco E. Gaguti aagiza Jeshi la Polisi na Kamanda wa wa TAKUKURU Mkoani Kagera kuvisimamia Vyama Vikuu vya Ushirika vya KCU 19...
Posted on: September 5th, 2018
Mkoa wa Kagera ukiwa mkoa mmoja wapo kati ya mikoa 26 ya Tanzania Bara ambapo wanafunzi wake wa Darasa la Saba Wavulana 22,129 na Wasichana 25,099 jumla 47,228 wanafanya mtihani wa kuhitim...
Posted on: September 3rd, 2018
Watuhumiwa wawili Mwalimu Respicius Patrick Mtazangira na Mwalimu Herieth Gerald wa mauji ya Mwanafunzi Sperius Eradius (13) aliyekuwa akisoma Shule ya Msingi Kibeta Manispaa ya Bukoba wamefikishwa Ma...