• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
KAGERA REGIONAL WEBSITE

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government KAGERA REGIONAL WEBSITE

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Sections/Units
      • Sections
        • Management Monitoring and Ispection
        • Infrastructure
        • Education
          • Primary Education
          • Secondary Education
          • Adult Education
          • Higher Education
          • Sports
          • Youth
        • Health
          • Health
          • social welfare
        • Administration And HR
        • Planning & Coordination
          • Planning
          • Statistics
          • Community Development
          • TASAF
        • Economic and Production
          • Irrigation Farming
          • Commerce and Industries
          • Fishing
          • Livestock
          • Natural Resources, Tourism & Environment
          • Co operative
          • Agriculture
        • Investment Indusrty and Trade
      • Units
        • ICT
        • Legal Unit
        • Finance and Accounts
        • Internal Audit Unit
        • Procurement Unit
        • Government Communication
  • Districts
    • Bukoba
      • Bukoba Leaders
    • Biharamulo
      • Biharamulo Leaders
    • Karagwe
      • Karagwe Leaders
    • Kyerwa
      • Kyerwa Leaders
    • Missenyi
      • Missenyi Leaders
    • Muleba
      • Muleba Leaders
    • Ngara
      • Ngara Leaders
  • District Councils
    • Bukoba Municipal Council
    • Bukoba District Council
    • Biharamulo District Council
    • Karagwe District Council
    • Kyerwa District Council
    • Missenyi District Council
    • Muleba District Council
    • Ngara District Council
  • Investment Opportunities
    • Tourism Attractions
    • Farming Opportunities
    • Agricultural Opportunities
  • Services
    • Health Services
    • Education Services
    • Water Services
    • Agricultural Services
    • Farming Services
  • Publications
    • By Laws
    • Client Service Charter
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Forms
    • Guidelines
    • News Letter
  • Media Center
    • Videos
    • Press Release
    • Speeches
    • Photo Gallery

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa Kufanya Ziara ya Siku Nne Mkoani Kagera Oktoba 06 - 09, 2018

Posted on: October 5th, 2018

Mkuu wa Mkoa wa Brigedia Jenerali Marco E. Gaguti anawataarifu  Wananchi wote wa Mkoa wa Kagera kuwa Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa (MB) Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania atafanya ziara ya Siku nne hapa Mkoani kwetu Kagera kuanzia tarehe 6 Oktoba, 2018 hadi tarehe 9 Oktoba, 2018.

Mhe. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anatarajia kuwasili Mkoani kwetu tarehe 06/10/2018 siku ya Jumamosi saa 7:00 Mchana katika Uwanja wa Ndege wa Bukoba.  Mhe. Waziri Mkuu mara baada ya kuwasili Mkoani atapokea taarifa ya Mkoa na mara baada ya kupokea taarifa hiyo ataanza ziara yake katika Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba na atatembelea Kituo cha Utafiti wa Kilimo Maruku, atatembelea pia Kiwanda cha kukoboa kahawa cha BUKOP LTD na Kiwanda cha TANICA katika Manispaa ya Bukoba na ataongea na wadau mbalimbali wa Kahawa pamoja na Viongozi wa Vyama vya Ushirika Mkoani Kagera katika Ukumbi wa Hoteli ya ELCT Bukoba. Tarehe 07/10/2018 Mhe. Waziri Mkuu ataendelea na ziara yake Wilayani Kyerwa kwa kutembelea AMCOS ya Nkwenda baada ya hapo ataelekea Wilayani Karagwe ambapo atatembelea Kituo cha Afya Kayanga, Kuzindua Kiwanda cha Kukoboa Kahawa cha KADERES na kuongea na wananchi katika Mkutano wa Hadhara Uwanja wa Changarawe Kayanga. 


Mhe. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ataendelea na ziara yake Mkoani Kagera tarehe 08/10/2018 Wilayani Muleba na Biharamulo ambako atetembelea Shamba bora la Kahawa, Kituo cha Afya Kimeya na kuongea na Watumishi na Wananchi. Aidha, Mhe. Waziri Mkuu ataelekea Biharamulo ambako atatembelea Mgodi wa STAMIGOLD na kuongea Wananchi katika Mkutano wa Hadhara Nyakanazi.


Mhe.  Waziri Mkuu atahitimisha ziara yake Mkoani Kagera tarehe 9 Oktoba, 2018 atakapopokea Vyumba vya Madarasa Katika Shule ya Msingi Nyakato na Kashozi vilivyojengwa kwa msaada wa Ubalozi wa nchi ya Japan baada ya kuathiriwa na Tetemeko la Ardhi mwaka 2016. Pia atetembelea kiwanda cha Kahawa cha Amir Amza na kuongea na Wananchi wa Manispaa ya Bukoba na Viunga vyake Katika Uwanja wa Uhuru (Mayunga).


Mkuu wa Mkoa Mhe. Gaguti anawaomba wananchi wote wa Mkoa wa Kagera kuonesha ushirikiano, bashasha na ukarimu kwa Mhe. Waziri Mkuu kwa kufika kwa wingi katika maeneo yaliyotajwa kumpokea na kumkaribisha katika Mkoa wetu wa Kagera. Pia Wilayani ambako Mhe. Waziri Mkuu atatembelea wananchi wanahamasishwa kufika kwa wingi kumsikiliza kwa muda utakaokuwa umepangwa kuongea na wananchi katika Mikutano ya Hadhara.


Aidha, Mkuu wa Mkoa Gaguti anatoa wito kwa wananchi kudumisha umoja, amani na mshikamano wakati wote wa ziara ya Mhe. Waziri Mkuu na kutojihusisha na vitendo vya uhalifu kwa kuwa Vyombo vya Ulinzi na Usalaama vipo tayari muda wote kushughulika na wananchi wasiopenda amani. Aidha, kama ilivyo kawaida ya wananchi wa Mkoa wa Kagera kudumisha usafi wa mazingira tunaomba kudumisha utamaduni huo  ili kuweka maeneo yetu katika hali ya usafi.

Announcements

  • No records found
  • View All

Latest News

  • Mwenge wa Uhuru Mwaka 2025 Kupitia Miradi Yenye Thamani ya Shilingi Bilioni 23.8

    September 07, 2025
  • Mwenge wa Uhuru Mwaka 2025 Kupitia Miradi Yenye Thamani ya Shilingi Bilioni 23.8

    September 07, 2025
  • Mamlaka ya Mapato Tanzania Mkoa wa Kagera Yafungu Dawati Maalu la Uwezeshaji Wafanyabiashara

    September 03, 2025
  • Nsekela Stadium Yazinduliwa Rasmi Kyerwa - Kagera

    August 29, 2025
  • View All

Video

KAGERA REGION DOCUMENTARY
More Videos

Quick Links

  • Taratibu za biashara ya ndani
  • Barabara Kuu na ndogo za Mkoa
  • Radio Stations in Kagera Region
  • Kagera Regional Commissioners Since Independence 1961
  • Matokeo ya Darasa la VII 2018, Wanafunzi 10 Bora, Shule 10 Bora, Watakaojiunga Kidato cha I, 2019
  • Kitabu cha Mwongozo wa Uwekezaji Kagera 2019
  • FOMU YA USAJILI WA WAFANYABIASAHARA NA WADAU WA MKOA WA KAGERA, ZIARA YA KUTEMBELEA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI NA KATI KWA LENGO LA KUTAFUTA FURSA ZA BIASHARA NA UWEKEZAJI NOVEMBER, 2019.

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • National Bureau of Statistics (NBS)
  • Government of Tanzania Website
  • Open Data Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kagera

    Postal Address: S.L.P 299 BUKOBA

    Telephone: 255 28 2220215/17

    Mobile:

    Email: ras.kagera@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service
    • Hakimiliki

Copyright ©2017 GWF . All rights reserved.