• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
KAGERA REGIONAL WEBSITE

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na SerikaliI za Mitaa Mkoa wa Kagera

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Sehemu/Vitengo
      • Sehemu
        • Usimamizi Ufuatiliaji na Ukaguzi
        • Miundombinu
        • Elimu
          • Elimu ya Msingi
          • Elimu ya Sekondari
          • Elimu ya Watu Wazima
          • Elimu ya Juu
          • Michezo
          • Vijana
        • Afya
          • Afya
          • Ustawi wa Jamii
        • Utawala na Rasilimali Watu
        • Mipango na Uratibu
          • Mipango
          • Takwimu
          • Maendeleo ya Jamii
          • TASAF
        • Uchumi na Uzalishaji
          • Kilimo cha Umwagiliaji
          • Viwanda na Biashara
          • Uvuvi
          • Mifugo
          • Maliasili, Utalii na Mazingira
          • Ushirika
          • Kilimo
        • Uwekezaji Viwanda na Biashara
      • Vitengo
        • TEHAMA
        • Sheria
        • Fedha na Uhasibu
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Ugavi
        • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
  • Wilaya
    • Bukoba
      • Viongozi wa Bukoba
    • Biharamulo
      • Viongozi wa Biharamulo
    • Karagwe
      • Viongozi wa Karagwe
    • Kyerwa
      • Viongozi wa Kyerwa
    • Missenyi
      • Viongozi wa Missenyi
    • Muleba
      • Viongozi wa Muleba
    • Ngara
      • Viongozi wa Ngara
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Misseny
    • Halmashauri ya Wilaya ya Muleba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Ngara
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Fursa za Ufugaji
    • Fursa za Kilimo
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Ufugaji
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
    • Jarida
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali

Viongozi wa Bukoba





Mhe. Erasto Yohana Sima


Mkuu wa Wilaya Bukoba










Katibu Tawala wa Wilaya ya Bukoba




HISTORIA YA WILAYA YA BUKOBA

1.0 UTANGULIZI

Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba ilianzishwa rasmi mwaka 1958, wakati huo zikiitwa “Native Authority” chini ya Utawala wa Kikoloni. Halmashauri ya Wilaya Bukoba ni miongoni mwa Halmashauri 8 zinazounda Mkoa wa Kagera. Halmashauri hii ni miongoni mwa Halmashauri kongwe nchini.

BARAZA LA BUHAYA (BUHAYA COUNCIL)

Baada ya Waingereza kuitawala Tanganyika, Sir Dornald Cameroon alizikuta tawala za WAKAMA, tawala hizi zilikuwa ndogo na maskini na zisizo na maendeleo. Sir Cameroon aliziambia tawala hizo kuanzisha shirikisho la pamoja. Hivyo basi watawala walikubali kuungana na kuwa pamoja na kuanzisha Halimashauri na kujadili pamoja na kufanya maamuzi juu ya tawala zao. Mfumo huu ulianzishwa kwa Mara ya kwanza kwenye Baraza la Sheria za jadi 1926. Ikumbukwe kuwa Sir Dornald Cameroon alikuwa Gavana wa pili wa kiingereza wa koloni la Tanganyika baada ya kutoka Sir Horace Byatt.

Hivyo basi, kwa wakati huo DC Mack Millan ndiye aliyekuwa “District Commissioner” wa Bukoba, na huyu ndiye aliyetilia mkazo kwa wakama wote wa BUHAYA kuweza kuungana na kuwa pamoja na kutengeneza jina la Buhaya Chiefdom na makao makuu yake yakawekwa Bukoba mjini pale “Chemba” Rwamishenye, na Omukama wa KIZIBA akapendekezwa kuwa Mkuu wa Halimashauri ya Buhaya na Omwami Exavery Felix Rwamugila akapendekezwa kuwa Katibu Mkuu wa Halimashauri ya Buhaya maana yeye alikuwa msomi katika Halimashauri hiyo akaitwa Omukama wa Mwenda.

Kabla ya 1924, tawala zote za Buhaya hazikuwa pamoja, bali kila tawala ilikuwa ikijiamulia mambo yake yenyewe. Tawala hizo ni; Kiziba kya bike, Karagwe ka nono, Ihangilo ka Nkumbya, Bugabo eya Kayoza, Kihanja Kya Kalemela, Kyamutwara kya Kaitaba, Bukara kya Bwogi, Bushubi, Biharamulo kya Kasusulana na Missenye kya Nyamukuuma.

Pia ikumbukwe kuwa, katika Buhaya, waliokuwa viongozi wa tawala sio wote walikuwa Wakama (sio kwamba wote walikuwa na cheo cha Obukama) bali wengine walikuwa ni ABAMI japokuwa waliitwa kwa cheo cha Obukama.


2.0 ENEO

Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba ina eneo la kilometa za mraba 2,844. Kati ya hizo kilometa za mraba 300 zimefunikwa na maji ya Ziwa Victoria na Ziwa Ikimba sawa na asilimia 10.5% Eneo linalofaa kwa kilimo ni kilometa za mraba 1,045 sawa na asilimia 37%. Eneo la kilometa za mraba 879 linatumika kama eneo la malisho ya mifugo sawa na asilimia 30.5% Eneo lililobaki kilometa za mraba 620 sawa na asilimia 22 ni miamba na misitu.


3.0 UTAWALA NA WAWAKILISHI WA WANANCHI

Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba ina Tarafa 4 Kata 29, Vijiji 92, Vitongoji 508. kama inavyojionesha kwenye jedwali Na.1.


4.0 IDADI YA WATU

Kufuatana na Sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012, Halmashauri ya Wilaya Bukoba ina jumla ya watu 289,697, na kiasi cha ongezeko la asilimia 1.1% kwa mwaka (Growth rate). Hali ya umaskini wa chakula ni 5.2% na umaskini wa mahitaji muhimu ni 19.2 (PHDR 2007).


Na.
Jina la Halmashauri

Tarafa

Kata

Vijiji

Vitongoji

Idadi ya Watu

Kaya

1.
Halmashauri ya Wilaya ya
Bukoba

4

29

92

508

289,697

54,803


5.0 RASILIMALI

Ardhi kama ilivyo katika maeneo mengi nchini, ndiyo raslimali kuu katika Halmashauri ya Wilaya Bukoba. Kupitia kilimo na ufugaji, ardhi imekuwa chanzo cha kuwawezesha wananchi kupata kipato na kuendesha maisha yao ya kila siku kwa kulima mazao ya chakula na biashara. Asilimia 10.5% ya Halmashauri imezungukwa na rasilimali ya maji katika Ziwa Victoria na Ikimba, maji haya yanasaidia sana jamii kwa shughuli za uvuvi, matumizi ya nyumbani, viwandani na kilimo cha umwagiliaji kwa sehemu ndogo. Misitu na miamba imechukua kiasi cha asilimia 30.5% ya ardhi yote ya Halmashauri, na hii inasaidia katika upatikanaji wa kuni kama nishati vijijini, mbao kwa ajili ya ujenzi wa makazi bora na inasaidia katika uhifadhi wa mazingira. Mpaka sasa hakuna udhibitisho wowote wa kitaalamu juu ya uwepo wa madini ya aina yoyote ndani ya Halmashauri ya Bukoba.


6.0 MATUMIZI YA ARDHI 

Ardhi kwa kilimo - 1,045 (37%)

Ardhi ya malisho - 620 (22%)

Misitu na majabali - 879 (30.5%)

Maji (Mito na maziwa) - 76-300 (10.5%)

Halmashauri ina Mabaraza ya ardhi katika Vijiji vyote 92 na Kata zote 29, ambayo yanasaidia sana kutatua migogoro ya ardhi inayojitokeza katika vijiji vyetu. Mabaraza ya Kata nayo hufanya maamuzi ambayo yameletwa toka Vijijini, hii imepunguza sana kesi zinazotokana na masuala ya ardhi. Hata hivyo kuna changamoto zinazotokana na uundwaji wa Mabaraza haya, hasa ukosefu wa fedha za kuyaendesha hivyo kusababisha mazingira ya rushwa katika kusimamia utoaji haki.

Pato la mwananchi wa Halmashauri ya Wilaya Bukoba linakadiriwa kuwa Tshs 450,000 kwa mwaka.


 ORODHA YA WAKUU WA WILAYA YA BUKOBA TANGU MWAKA 1961 HADI SASA


NA.

 JINA KAMILI

MWAKA WA KUINGIA 

MWAKA WA KUTOKA 

19.

NDUGU ERASTO YOHANA SIMA

2023
-

18.

 NDUDU MOSES JOSEPH MACHALI

2021

2023

17.
 NDUGU DEODATUS KINAWIRO

2016
2021

16.

 NDUGU JACKSON W. MSOME

2015

2016

15.

 NDUGU ZIPPORAH L. PANGANI

2012

2015

14.

 NDUGU SAMWEL J. KAMOTE

2009

2012

13.

 NDUGU ALBERT A. C. MNALI

2007

2009

12.

 NDUGU HAJJAT AMINA M. SAID

2007

2007

11.

 NDUGU ABEID MWINYI MUSSA

2006

2007

10.

 NDUGU ALHAJ AHAMED LUGUSHA


09.

 NDUGU JOHN G. TUPPA


08.

 NDUGU MOSHI MUSSA CHANGA


07.

 NDUGU PIUS MICHAEL MLOWE


06.

 NDUGU CHARLES CHEMO MTANI


05.

 NDUGU WILLIAM V. LUKUVI


04.

 NDUGU RHODA KAHATANO


03.

 NDUGU AMEIR ISSA JUMA


02.

 NDUGU MJULE JACOB

1980

1984

01.

 CAPTAIN BARONGO

1978

1979






Matangazo

  • No records found
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Kagera Yaridhia Jimbo la Uchaguzi la Nkenge Kuitwa Jimbo la Uchaguzi Missenyi

    March 17, 2025
  • Mkuu wa Mkoa wa Mwassa Awashukuru Wabunge Kupitisha Fedha za Miradi ya Mapinduzi ya Kiuchumi Kagera

    March 14, 2025
  • Viongozi wa Dini Wahimizwa Kudumisha Mshikamano Ili Kukuza Uchumi wa Mkoa wa Kagera – RC Mwassa

    March 14, 2025
  • TULIPE KODI-RC MWASSA

    October 07, 2023
  • Tazama zote

Video

KAGERA REGION DOCUMENTARY
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Taratibu za biashara ya ndani
  • Barabara Kuu na ndogo za Mkoa
  • Vituo vya Redio Katika Mkoa wa Kagera
  • Wakuu wa Mkoa wa Kagera Tangu Uhuru Mwaka 1961
  • Matokeo ya Darasa la VII 2018, Wanafunzi 10 Bora, Shule 10 Bora, Watakaojiunga Kidato cha I, 2019
  • Kitabu cha Mwongozo wa Uwekezaji Kagera 2019
  • FOMU YA USAJILI WA WAFANYABIASAHARA NA WADAU WA MKOA WA KAGERA, ZIARA YA KUTEMBELEA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI NA KATI KWA LENGO LA KUTAFUTA FURSA ZA BIASHARA NA UWEKEZAJI NOVEMBER, 2019.

Tovuti Mashuhuri

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Takwimu Huria

Wafuatiliaji Kimataifa

world map hits counter

Kaunta ya Wageni

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kagera

    Anwani: S.L.P 299 BUKOBA

    Simu ya Mezani: 255 28 2220215/17

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras.kagera@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma Zetu
    • Hakimiliki

Haki zote zimehifadhiwa