• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
KAGERA REGIONAL WEBSITE

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na SerikaliI za Mitaa Mkoa wa Kagera

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Sehemu/Vitengo
      • Sehemu
        • Usimamizi Ufuatiliaji na Ukaguzi
        • Miundombinu
        • Elimu
          • Elimu ya Msingi
          • Elimu ya Sekondari
          • Elimu ya Watu Wazima
          • Elimu ya Juu
          • Michezo
          • Vijana
        • Afya
          • Afya
          • Ustawi wa Jamii
        • Utawala na Rasilimali Watu
        • Mipango na Uratibu
          • Mipango
          • Takwimu
          • Maendeleo ya Jamii
          • TASAF
        • Uchumi na Uzalishaji
          • Kilimo cha Umwagiliaji
          • Viwanda na Biashara
          • Uvuvi
          • Mifugo
          • Maliasili, Utalii na Mazingira
          • Ushirika
          • Kilimo
        • Uwekezaji Viwanda na Biashara
      • Vitengo
        • TEHAMA
        • Sheria
        • Fedha na Uhasibu
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Ugavi
        • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
  • Wilaya
    • Bukoba
      • Viongozi wa Bukoba
    • Biharamulo
      • Viongozi wa Biharamulo
    • Karagwe
      • Viongozi wa Karagwe
    • Kyerwa
      • Viongozi wa Kyerwa
    • Missenyi
      • Viongozi wa Missenyi
    • Muleba
      • Viongozi wa Muleba
    • Ngara
      • Viongozi wa Ngara
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Misseny
    • Halmashauri ya Wilaya ya Muleba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Ngara
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Fursa za Ufugaji
    • Fursa za Kilimo
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Ufugaji
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
    • Jarida
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali

Elimu ya Sekondari

Mkoa unazo shule za Sekondari 288, ambapo shule za Serikali ni 220 na shule binafsi ni 68. Aidha, shule hizo zote zina jumla ya wanafunzi wa kidato cha I hadi IV 109,432 na wanafunzi wa kidato cha V na VI ni 12,143 kama ilivyo katika jedwali Na. 53

  Idadi ya Shule za Sekondari na Wanafunzi

Halmashauri


Idadi ya Wanafunzi

Idadi ya Shule

Kidato cha V na VI

Kidato cha Kwanza - Nne

Jumla Kuu

Serikali

Binafsi

Jumla

Wav

Was

Jumla

Wav

Was

Jumla

 Biharamulo

20

02

22

1698

1594

3292

6135

5125

11260

14552

 Bukoba DC

33

09

42

544

0

544

8826

8355

17181

17725

 Bukoba MC

20

14

34

2066

1642

3708

5478

6458

11936

15644

 Karagwe

26

8

34

248

126

374

1318

1522

2840

3214

 Kyerwa

23

8

31

71

69

140

6145

6321

12466

12606

 Misenyi

22

5

27

141

241

382

5371

5882

11253

11635

 Muleba

51

16

67

1460

779

2239

14609

17017

31626

33865

 Ngara

25

6

31

858

606

1464

5259

5611

10870

12334

Jumla

220

68

288

7086

5057

12143

53141

56291

109432

121575


Mapokezi ya Kidato cha Kwanza 2022

Mwaka 2021/2022, Mkoa wa Kagera ulikuwa na jumla ya wanafunzi 50,520 waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza, 2022. Kati yao wavulana ni 24,841 na wasichana 25,679 Hadi kufikia tarehe 31 Machi 2022, wanafunzi 46,497 wamesharipoti ikiwa wavulana ni 22,658 na wasichana ni 23,839 sawa na asilimia 92% Wanafunzi bado wanaendelea kuripoti.

Jedwali Na. 63: Mapokezi ya Kidato cha Kwanza 2022.


Halmashauri

Waliochaguliwa

Walioripoti (wasio wa mahitaji maalum)

Walioripoti (mahitaji maalum)

Waliokwenda private

Jumla walioripoti

Asilimia ya walioripoti

Wav

Was

Jml

Wav

Was

Jml

Wav

Was

Jml

Wav

Was

Jml

Wav

Was

Jml

Wav

Was

Jml

 BUKOBA DC
 3,502
 3,654
 7,156
3466
3699
 7,165
6
3
9
216
296
512
3688
3998
7686
105.31
109.41
107.40
 MISSENYI
 2,229
 2,290
 4,519
 1,719
 1,736
 3,455
0
 1
 1
233
249
482
1952
1986
3938
87.55
86.72
87.14
 BIHARAMULO
3201
2855
 6,056
2,359
2,204
4,563
3
1
4
94
100
194
2456
2305
4761
76.72
80.73
78.61
 BUKOBA MC
 1,458
 1,660
 3,118
 1,170
 1,286
 2,456
0
 22
 22
275
324
599
1445
1632
3077
99.10
98.31
98.68
 KYERWA
 2,868
 3,047
 5,915
 2,229
2398
 4,627
41
0
41
162
188
350
2432
2586
5018
84.7
84.87
84.83
 KARAGWE
2963
3129
 6,092
2367
2483
4850
0
 14
 14
391
377
768
2758
2874
5632
93.08
91.85
92.44
 MULEBA
 6,508
 6,852
 13,360
5302
5742
11044
0
0
0
691
686
1377
5993
6428
12421
92.08
93.81
92.97
 NGARA
2112
2192
4304
1869
1959
3828
0
0
0
65
71
136
1934
2030
3964
91.57
92.60
92.10

JUMLA KUU

24,841

25,679

50,520

20481

21507

41,988

50

41

91

2127

2291

4418

22658

23839

46497

91.28

92.29

91.77


Elimu ya Sekondari

Mahitaji ya Miundombinu kwa shule za Sekondari Mkoa wa Kagera ni kama yanavyoonekana katika jedwali hapa chini:-

Mahitaji ya Miundombinu na Samani za Sekondari.

Halmashauri

Madarasa

Mabweni

Nyumba

Matundu ya vyoo

Maabara

Mahit

Yaliopo

Upung.

Mahit

Yaliopo

Upung

Mahit

Yaliopo

Upung.

Mahit

Yaliopo

Upung.

Mahit

Yaliopo

Upung.

 Bukoba DC

444

438

6

24

10

14

508

77

431

797

517

280

93

30

63

 Ngara

497

353

138

97

58

44

437

93

339

734

512

266

93

44

62

 Missenyi

331

331

0

8

5

3

404

57

347

492

391

101

66

59

7

 Biharamulo

347

239

78

24

15

9

487

101

386

621

312

309

60

28

32

 Kyerwa

302

229

73

2

2

0

332

58

274

551

220

331

69

63

6

 Muleba

645

675

-30

18

15

3

699

104

595

1350

669

681

120

44

76

 Karagwe

358

253

105

118

20

98

459

69

390

596

299

297

66

27

39

 Bukoba MC

301

253

48

24

16

8

584

87

497

602

440

162

60

43

17

Jumla

3225

2771

418

315

141

179

3910

646

3259

5743

3360

2427

627

338

302

 

Mahitaji ya Walimu wa Elimu ya Msingi na Sekondari 

Mkoa wa Kagera unahitaji walimu 16,846 kwa shule za Msingi waliopo ni walimu 9,239 upungufu ni walimu 7,607. Kwa upande wa shule za Sekondari, Mkoa unahitaji walimu 5,240 waliopo ni walimu 3,910 pungufu ni walimu 1,330. Aidha, Mwezi Julai 2022, Mkoa umepokea walimu wapya 640 kati yao 351ni wa shule za Msingi na 289 wa shule za Sekondari. Mchanganuo wa mahitaji ya walimu kwa kila Halmashari ni kama ifuatavyo:-

 Mahitaji ya Walimu wa Msingi na Sekondari

Na

Hamashauri

Elimu Msingi

Walimu Sekondari

Mahitaji

Waliopo

Pungufu

Mahitaji

Waliopo

Pungufu

1

Biharamulo

2182

1168

1014

705

457

248

2

Bukoba Dc

2334

1129

1205

689

476

213

3

Bukoba Mc

609

471

138

562

503

59

4

Missenyi

1266

710

556

424

352

72

5

Muleba

3823

2203

1620

920

594

326

6

Karagwe

2297

1276

510

510

462

48

7

Kyerwa

2361

1104

1257

533

324

209

8

Ngara

1974

1178

796

588

414

174

Jumla

16,846

9,239

7,607

4931

3582

1349


Walimu Ajira Mpya Walioripoti Januari, 2021

Halmashauri

Msingi Waliopangwa

Sekondari Walipangwa

Jumla Waliopangwa

Msingi Wasioripoti

Sekondari Wasioripoti

Jumla Wasioripoti

 Biharamulo

35

24

59

0

0

0

 Bukoba DC

28

26

54

1

0

1

 Bukoba MC

2

5

7

0

0

0

 Missenyi

22

24

46

0

4

4

 Muleba

49

41

90

0

0

0

 Karagwe

20

19

39

0

0

0

 Kyerwa

25

12

37

0

0

0

 Ngara

32

24

56

0

0

0

Jumla

213

175

388

1

4

5

 

Jedwali Na. 68: Walimu Ajira Mpya Walioripoti Julai,           2021

Halmashauri

Msingi waliopangwa

Sekondari walipangwa

Jumla waliopangwa

Msingi wasioripoti

Sekondari wasioripoti

Jumla wasioripoti

Biharamulo

3

28

31

1

-

1

Bukoba DC

23

23

46

--

-

-

Bukoba MC

0

9

9

-

-

-

Missenyi

31

29

60

4

1

5

Muleba

27

80

107

-

1

1

Karagwe

11

15

26

1

-

1

Kyerwa

10

19

29

-

1

1

Ngara

24

20

44

2

-

2

Jumla

129

223

352

8

3

11

 

4.1.5 Hali ya Taaluma Elimu ya Msingi na Sekondari

Hali ya Taaluma na ufaulu wa wanafunzi katika Mitihani ya Kitaifa ni ya kuridhisha. Viwango vya ufaulu vimekuwa vikiongezeka, isipokuwa kwa matokeo ya Upimaji wa Darasa la Nne mwaka 2020, matokeo yake yameshuka kwa 1.5% ikilinganishwa na ufaulu wa Mwaka 2019. Mwaka 2019 ufaulu wa wanafunzi wa Darasa la Nne Ulikuwa ni 97.97% ambapo Mkoa ulishika nafasi ya pili kitaifa, Mwaka 2020 ufaulu ulikuwa ni 95.42% na mwaka 2021 ufaulu ulikuwa 87.8%.

Mkoa, umeongeza jitihada za ufuatiliaji na usimamizi madhubuti ili kuinua ufaulu wa wanafunzi wa darasa la nne ambao matokeo ya mwaka uliopita yalishuka kwa 2.55% kutoka 97.97% ya mwaka 2019 hadi 95.42% mwaka 2020. Kwa matokeo ya darasa la saba kiwango cha ufaulu wa wanafunzi kimeongezeka mwaka 2020 ilinganishwa na ufaulu wa mwaka 2019. Mwaka 2019 ufaulu wa wanafunzi hao ulikuwa ni 88% ambapo mwaka 2020 ufaulu ulikuwa ni 88.28% hivyo kuwepo kwa ongezeko la 0.28% za ufaulu zaidi ya Mwaka 2019. Kwa mwaka 2021 ufaulu ulikuwa 82.74%

Kwa upande wa matokeo ya kidato cha pili, kidato cha nne na sita, ufaulu umeongezeka mwaka 2020 ikilinganishwa na kiwango cha ufaulu mwaka 2019. Hivyo, kuwepo kwa ongezeko la ufaulu wa wanafunzi kwa 3% zaidi ikilinganishwa na ufaulu wa 89% mwaka 2019. Katika matokeo hayo, Halmashauri ya Ngara ilishika nafasi ya tatu kitaifa. 

Matokeo ya Kidato cha nne mwaka 2020 nayo kiwango chake cha ufaulu kimeongezeka kutoka 88.27% hadi 90.33 hivyo kuwepo kwa ongezeko la ufaulu kwa 2.06%.

Mtihani wa kuhitimu kidato cha sita, ufaulu wa wanafunzi katika mitihani hiyo ni cha kuridhisha upo kwa kiwango cha 99% kila mwaka.  Kwa mwaka 2021 ufaulu ulikuwa 99.67% na Mwaka huu 2020 ufaulu ni 100%.

4.1.6     Malengo ya Kitaaluma

Miongoni mwa malengo ambayo Mkoa na Halmashauri imejiwekea kwa mwaka huu wa 2022/2023 ni pamoja na haya yafuatayo: -

Kuhakikisha kuwa Mitihani/ Upimaji wa darasa la nne, darasa la saba na kidato cha pili, wanafunzi (Watahiniwa) watakaosajiliwa kufanya Mitihani hiyo wote wanafaulu kwa 100%.

Kuhakikisha kuwa watahiniwa wa kidato cha nne wanafaulu kwa kiwango cha daraja la I-III kwa 80%.

Kuhakikisha wanafunzi wa kidato cha sita wote wanafaulu kwa 100% kwa kiwango cha daraja la I – III

 

4.1.7     Mikakati ya Kuinua Taaluma kwa Mwaka 2021/2022

Mkoa unahimiza uwajibikaji kwa walimu na watendaji wa elimu katika ngazi zote za shule/ Kata na Halmashauri.(Mihtasari ya masomo).

Mkoa unaendelea kukisisitiza walimu kukamilisha mada za masomo kwa wakati na kufanya mrejeo wa mada ngumu kwa wanafunzi.

Kufanya mazoezi na majaribio ya mara kwa mara kwa wanafunzi. Majaribio ya kishule, Kata, Halmashauri na majaribio ya Kimkoa kwa lengo la kujenga umahiri kwa wanafunzi.

Uhimizaji wa walimu kuzingatia miongozo ya utunzi wa mitihani inayotelewa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) wakati wa kuandaa majaribio ya kishule, kata, Halmashauri na Mkoa.

Kuzishauri shule, na Halmashauri kutoa motisha kwa shule, walimu na wanafunzi wanaofanya vizuri.

Kuhimiza wazazi kuchangia chakula cha wanafunzi katika shule za msingi na sekondari.

Kuhakikisha malengo ya kitaaluma ya mkoa yanatekelezwa katika ngazi zote, kwa walimu wa masomo, ngazi ya shule, Kata, Halmashauri na Mkoa.







Matangazo

  • No records found
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Kagera Yaridhia Jimbo la Uchaguzi la Nkenge Kuitwa Jimbo la Uchaguzi Missenyi

    March 17, 2025
  • Mkuu wa Mkoa wa Mwassa Awashukuru Wabunge Kupitisha Fedha za Miradi ya Mapinduzi ya Kiuchumi Kagera

    March 14, 2025
  • Viongozi wa Dini Wahimizwa Kudumisha Mshikamano Ili Kukuza Uchumi wa Mkoa wa Kagera – RC Mwassa

    March 14, 2025
  • TULIPE KODI-RC MWASSA

    October 07, 2023
  • Tazama zote

Video

KAGERA REGION DOCUMENTARY
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Taratibu za biashara ya ndani
  • Barabara Kuu na ndogo za Mkoa
  • Vituo vya Redio Katika Mkoa wa Kagera
  • Wakuu wa Mkoa wa Kagera Tangu Uhuru Mwaka 1961
  • Matokeo ya Darasa la VII 2018, Wanafunzi 10 Bora, Shule 10 Bora, Watakaojiunga Kidato cha I, 2019
  • Kitabu cha Mwongozo wa Uwekezaji Kagera 2019
  • FOMU YA USAJILI WA WAFANYABIASAHARA NA WADAU WA MKOA WA KAGERA, ZIARA YA KUTEMBELEA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI NA KATI KWA LENGO LA KUTAFUTA FURSA ZA BIASHARA NA UWEKEZAJI NOVEMBER, 2019.

Tovuti Mashuhuri

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Takwimu Huria

Wafuatiliaji Kimataifa

world map hits counter

Kaunta ya Wageni

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kagera

    Anwani: S.L.P 299 BUKOBA

    Simu ya Mezani: 255 28 2220215/17

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras.kagera@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma Zetu
    • Hakimiliki

Haki zote zimehifadhiwa