- Mwanzo
- Kuhusu Sisi
- Utawala
- Wilaya
- Halmashauri
- Fursa za Uwekezaji
- Huduma
- Machapisho
- Kituo cha Habari
TAASISI ZA ELIMU ZILIZOPO
Mkoa wa Kagera una jumla ya shule za msingi 1,030 kati ya hizo za serikali ni 938 na 92 ni shule zisizo za Serikali. Shule hizo zina jumla ya wanafunzi 712,602 wakiwemo wavulana 355,195 na wasichana 357,407 Aidha, yapo pia madarasa 927ya Elimu ya Awali yenye jumla ya wanafunzi 78,175 wakiwemo wavulana 39,616 na wasichana 38,559 kama ilivyo katika jedwali Na. 52
Idadi ya Shule za Msingi na Wanafunzi
Halmashauri |
Idadi ya Shule |
Idadi ya Wanafunzi Serikali |
Idadi ya Wanafunzi Binafsi |
||||||
Serikali |
Binafsi |
Jumla |
Wav |
Was |
Jumla |
Wav |
Was |
Jumla |
|
Biharamulo
|
99 |
6 |
105 |
50856 |
51936 |
102792 |
733 |
711 |
1444 |
Bukoba DC
|
141 |
13 |
154 |
40458 |
39193 |
79651 |
1551 |
1396 |
2947 |
Bukoba MC
|
27 |
20 |
47 |
11757 |
11641 |
23398 |
3074 |
3092 |
6166 |
Karagwe
|
114 |
10 |
124 |
40628 |
41138 |
81766 |
1152 |
1054 |
2206 |
Kyerwa
|
99 |
8 |
107 |
44792 |
46647 |
91439 |
661 |
540 |
1201 |
Misenyi
|
103 |
12 |
115 |
25648 |
25289 |
50937 |
1429 |
1261 |
2690 |
Muleba
|
235 |
15 |
250 |
85641 |
86353 |
171994 |
1583 |
1455 |
3038 |
Ngara
|
120 |
8 |
128 |
44322 |
44839 |
89161 |
910 |
862 |
1772 |
Jumla |
938 |
92 |
1030 |
344102 |
347036 |
691138 |
11093 |
10371 |
21464 |
HALI YA UANDIKISHAJI WANAFUNZI WA ELIMU YA AWALI NA MSINGI 2021/2022
Elimu ya Awali mwaka 2022
Uandikishaji wa wanafunzi wa Elimu ya Awali kwa mwaka 2021/2022, Mkoa umelenga kuandikisha jumla ya watoto 81,827 wakiwemo wavulana 40,973 na wasichana 40,854. Hadi kufikia tarehe 31 Machi, 2022 mkoa umeandikisha jumla ya watoto 95,177 sawa na 116.3% wakiwemo wavulana 48,388 na wasichana 46,789.
Uandikishaji Elimu ya Awali 2022
Halmashauri |
Maoteo |
Walioandikishwa (Wasio Wa Mahitaji Maalum) |
Walioandikishwa (Mahitaji Maalum) |
Jumla Walioandikishwa |
Asilimia ya Uandikishaji |
||||||||||
Wav |
Was |
Jumla |
Wav |
Was |
Jumla |
Wav |
Was |
Jml |
Wav |
Was |
Jumla |
Wv |
Ws |
Jml |
|
BUKOBA MC
|
2019
|
2008
|
4027
|
1650
|
1640
|
3290
|
11
|
9
|
20
|
1661
|
1649
|
3310
|
82.3
|
82.1
|
82.2
|
KYERWA
|
5,207
|
5,325
|
10,532
|
6,492
|
6,514
|
13,006
|
7
|
5
|
12
|
6,499
|
6,519
|
13,018
|
124.8
|
122.4
|
123.6
|
NGARA DC
|
5844
|
5735
|
11579
|
6746
|
6645
|
13391
|
3
|
5
|
8
|
6749
|
6650
|
13399
|
115.5
|
116.0
|
115.7
|
Bukoba
|
4,651
|
4,530
|
9,181
|
5,872
|
5,287
|
11,159
|
12
|
14
|
26
|
5,884
|
5,301
|
11,185
|
126.5
|
117.0
|
121.8
|
BIHARAMULO
|
6656
|
6753
|
13409
|
7806
|
7874
|
15680
|
56
|
35
|
91
|
7862
|
7909
|
15771
|
118.1
|
117.1
|
117.6
|
MISSENYI
|
3,235
|
3,229
|
6,464
|
3657
|
3578
|
7,235
|
1
|
3
|
4
|
3,658
|
3,581
|
7,239
|
113.1
|
110.9
|
112.0
|
MULEBA
|
9,834
|
9,800
|
19,634
|
10,656
|
9,917
|
20,573
|
9
|
6
|
15
|
10,665
|
9,923
|
20,588
|
108.5
|
101.3
|
104.9
|
KARAGWE
|
3,527
|
3,474
|
7,001
|
5,406
|
5,250
|
10,656
|
4
|
7
|
11
|
5,410
|
5,257
|
10,667
|
153.4
|
151.3
|
152.4
|
JUMLA KUU
|
40973
|
40854
|
81827
|
48285
|
46705
|
94990
|
103
|
84
|
187
|
48388
|
46789
|
95177
|
118.1
|
114.5
|
116.3
|
ELIMU YA MSINGI
Kwa Mwaka 2021/2022 Mkoa ulikuwa na malengo ya kuandikisha jumla ya watoto 82,606 wakiwemo wavulana 41,034na wasichana 41,572 kwa ajili ya kujiunga na darasa la kwanza mwaka 2022. Hadi kufikia 31 Machi, 2022 wanafunzi 89,388 sawa na 108.25%.
Uandikishaji Darasa la Kwanza 2022
Halmashauri
|
Maoteo 2022 |
Walioandikishwa (wasio wa mahitaji maalum) |
Walioandikishwa (mahitaji maalum) |
Jumla walioandikishwa |
Asilimia ya uandikishaji (%) |
||||||||||
Wav |
Was |
Jumla |
Wav |
Was |
Jumla |
Wav |
Was |
Jumla |
Wav |
Was |
Jumla |
Wav |
Was |
Juml |
|
BUKOBA MC
|
2100
|
2102
|
4202
|
2100
|
2165
|
4265
|
17
|
13
|
30
|
2117
|
2178
|
4295
|
100.8
|
103.6
|
102.21
|
KYERWA
|
5,567
|
5,373
|
10,940
|
5,940
|
5,967
|
11,907
|
12
|
5
|
17
|
5,952
|
5,972
|
11,924
|
106.9
|
111.1
|
108.99
|
NGARA DC
|
5422
|
5719
|
11141
|
5784
|
5914
|
11698
|
5
|
1
|
6
|
5792
|
5919
|
11710
|
106.8
|
103.5
|
105.10
|
Bukoba
|
4,194
|
4,059
|
8,253
|
4,601
|
4,605
|
9,206
|
16
|
11
|
27
|
4,617
|
4,616
|
9,233
|
110.1
|
113.7
|
111.87
|
BIHARAMULO
|
8218
|
8774
|
16992
|
9003
|
9014
|
18017
|
23
|
17
|
40
|
9026
|
9031
|
18057
|
109.8
|
102.9
|
106.29
|
MISSENYI
|
3,028
|
2,911
|
5,939
|
3,528
|
3,446
|
6,974
|
4
|
1
|
5
|
3,532
|
3,447
|
6,979
|
116.6
|
118.4
|
117.51
|
MULEBA
|
8,592
|
8,682
|
17,274
|
8366
|
8,578
|
16,850
|
8
|
9
|
17
|
8,374
|
8,587
|
16,961
|
97.5
|
98.9
|
98.18
|
KARAGWE
|
3,913
|
3,952
|
7,865
|
5,030
|
5,177
|
10,207
|
13
|
9
|
22
|
5,043
|
5,186
|
10,229
|
128.9
|
131.2
|
130.05
|
JUMLA KUU
|
41,034
|
41,572
|
82,606
|
44352
|
44866
|
89124
|
98
|
66
|
164
|
44453
|
44936
|
89388
|
108.3
|
108.1
|
108.25
|
HALI YA MIUNDOMBINU NA SAMANI KWA SHULE ZA MSINGI MWAKA 2022
Elimu Msingi
Kwa mwaka 2021 Mkoa wa Kagera unahitaji vyumba vya madarasa 15,840 kwa ajili ya wanafunzi wa shule za msingi. Vyumba vilivyopo ni 7,014 na upungufu ni vyumba 8,826.
Nyumba za walimu: Mkoa unahitaji jumla ya nyumba za walimu 14,822 ambapo nyumba zilizopo ni 1,982 na upungufu ni 12,840.
Madawati: Mkoa unahitaji madawati 215,113 yaliyopo ni 188,469 upungufu 26,644
Matundu ya vyoo: Mkoa unahitaji matundu ya vyoo 29,313 yaliyopo ni matundu 10,506 upungufu ni 18,807
Mahitaji ya Miundombinu na Samani za Msingi.
Halmashauri |
Madarasa |
Nyumba |
Vyoo |
Madawati |
||||||||
Mahitaji |
Vilivyopo |
Upungufu |
Mahitaji |
Vilivyopo |
Upungufu |
Mahitaji |
Vilivyopo |
Upungufu |
Mahitaji |
Vilivyopo |
Upungufu |
|
Biharamulo
|
2339 |
689 |
1650 |
1184 |
215 |
969 |
4326 |
1225 |
3101 |
29,530 |
15,519 |
14,011 |
Bukoba MC
|
545 |
251 |
294 |
407 |
21 |
386 |
948 |
459 |
489 |
33,361 |
29,699 |
3,662 |
Bukoba DC
|
2313 |
1080 |
1233 |
2313 |
238 |
2075 |
3578 |
1509 |
2069 |
8,527 |
8,126 |
612 |
Karagwe
|
1847 |
920 |
927 |
1781 |
277 |
1504 |
3277 |
1455 |
1822 |
24,050 |
22,355 |
1,695 |
Kyerwa
|
2223 |
741 |
1482 |
2157 |
181 |
1976 |
4265 |
1319 |
2946 |
26,897 |
24,392 |
2,405 |
Missenyi
|
1,197 |
759 |
438 |
1080 |
204 |
876 |
2467 |
1188 |
1279 |
16,750 |
19,632 |
2,882 |
Muleba
|
3,344 |
1642 |
1,702 |
4148 |
290 |
3858 |
6697 |
2051 |
4646 |
50,135 |
49,384 |
751 |
Ngara
|
2032 |
932 |
1100 |
1752 |
556 |
1496 |
3755 |
1300 |
2455 |
25,863 |
19,362 |
6,501 |
Jumla |
15,840 |
7014 |
8,826 |
14822 |
1982 |
13140 |
29313 |
10506 |
18807 |
215,113 |
188,469 |
26,755 |
Mahitaji ya Walimu wa Elimu ya Msingi na Sekondari
Mkoa wa Kagera unahitaji walimu 16,846 kwa shule za Msingi waliopo ni walimu 9,239 upungufu ni walimu 7,607. Kwa upande wa shule za Sekondari, Mkoa unahitaji walimu 5,240 waliopo ni walimu 3,910 pungufu ni walimu 1,330. Aidha, Mwezi Julai 2022, Mkoa umepokea walimu wapya 640 kati yao 351ni wa shule za Msingi na 289 wa shule za Sekondari. Mchanganuo wa mahitaji ya walimu kwa kila Halmashari ni kama ifuatavyo:-
Mahitaji ya Walimu wa Msingi na Sekondari
Na |
Hamashauri |
Elimu Msingi |
Walimu Sekondari |
||||
Mahitaji |
Waliopo |
Pungufu |
Mahitaji |
Waliopo |
Pungufu |
||
1 |
Biharamulo
|
2182 |
1168 |
1014 |
705 |
457 |
248 |
2 |
Bukoba Dc
|
2334 |
1129 |
1205 |
689 |
476 |
213 |
3 |
Bukoba Mc
|
609 |
471 |
138 |
562 |
503 |
59 |
4 |
Missenyi
|
1266 |
710 |
556 |
424 |
352 |
72 |
5 |
Muleba
|
3823 |
2203 |
1620 |
920 |
594 |
326 |
6 |
Karagwe
|
2297 |
1276 |
510 |
510 |
462 |
48 |
7 |
Kyerwa
|
2361 |
1104 |
1257 |
533 |
324 |
209 |
8 |
Ngara
|
1974 |
1178 |
796 |
588 |
414 |
174 |
Jumla |
16,846 |
9,239 |
7,607 |
4931 |
3582 |
1349 |
Walimu Ajira Mpya Walioripoti Januari, 2021
Halmashauri |
Msingi Waliopangwa |
Sekondari Walipangwa |
Jumla Waliopangwa |
Msingi Wasioripoti |
Sekondari Wasioripoti |
Jumla Wasioripoti |
Biharamulo
|
35 |
24 |
59 |
0 |
0 |
0 |
Bukoba DC
|
28 |
26 |
54 |
1 |
0 |
1 |
Bukoba MC
|
2 |
5 |
7 |
0 |
0 |
0 |
Missenyi
|
22 |
24 |
46 |
0 |
4 |
4 |
Muleba
|
49 |
41 |
90 |
0 |
0 |
0 |
Karagwe
|
20 |
19 |
39 |
0 |
0 |
0 |
Kyerwa
|
25 |
12 |
37 |
0 |
0 |
0 |
Ngara
|
32 |
24 |
56 |
0 |
0 |
0 |
Jumla |
213 |
175 |
388 |
1 |
4 |
5 |
Jedwali Na. 68: Walimu Ajira Mpya Walioripoti Julai, 2021
Halmashauri |
Msingi waliopangwa |
Sekondari walipangwa |
Jumla waliopangwa |
Msingi wasioripoti |
Sekondari wasioripoti |
Jumla wasioripoti |
Biharamulo
|
3 |
28 |
31 |
1 |
- |
1 |
Bukoba DC
|
23 |
23 |
46 |
-- |
- |
- |
Bukoba MC
|
0 |
9 |
9 |
- |
- |
- |
Missenyi
|
31 |
29 |
60 |
4 |
1 |
5 |
Muleba
|
27 |
80 |
107 |
- |
1 |
1 |
Karagwe
|
11 |
15 |
26 |
1 |
- |
1 |
Kyerwa
|
10 |
19 |
29 |
- |
1 |
1 |
Ngara
|
24 |
20 |
44 |
2 |
- |
2 |
Jumla |
129 |
223 |
352 |
8 |
3 |
11 |
Hali ya Taaluma Elimu ya Msingi na Sekondari
Hali ya Taaluma na ufaulu wa wanafunzi katika Mitihani ya Kitaifa ni ya kuridhisha. Viwango vya ufaulu vimekuwa vikiongezeka, isipokuwa kwa matokeo ya Upimaji wa Darasa la Nne mwaka 2020, matokeo yake yameshuka kwa 1.5% ikilinganishwa na ufaulu wa Mwaka 2019. Mwaka 2019 ufaulu wa wanafunzi wa Darasa la Nne Ulikuwa ni 97.97% ambapo Mkoa ulishika nafasi ya pili kitaifa, Mwaka 2020 ufaulu ulikuwa ni 95.42% na mwaka 2021 ufaulu ulikuwa 87.8%.
Mkoa, umeongeza jitihada za ufuatiliaji na usimamizi madhubuti ili kuinua ufaulu wa wanafunzi wa darasa la nne ambao matokeo ya mwaka uliopita yalishuka kwa 2.55% kutoka 97.97% ya mwaka 2019 hadi 95.42% mwaka 2020. Kwa matokeo ya darasa la saba kiwango cha ufaulu wa wanafunzi kimeongezeka mwaka 2020 ilinganishwa na ufaulu wa mwaka 2019. Mwaka 2019 ufaulu wa wanafunzi hao ulikuwa ni 88% ambapo mwaka 2020 ufaulu ulikuwa ni 88.28% hivyo kuwepo kwa ongezeko la 0.28% za ufaulu zaidi ya Mwaka 2019. Kwa mwaka 2021 ufaulu ulikuwa 82.74%
Kwa upande wa matokeo ya kidato cha pili, kidato cha nne na sita, ufaulu umeongezeka mwaka 2020 ikilinganishwa na kiwango cha ufaulu mwaka 2019. Hivyo, kuwepo kwa ongezeko la ufaulu wa wanafunzi kwa 3% zaidi ikilinganishwa na ufaulu wa 89% mwaka 2019. Katika matokeo hayo, Halmashauri ya Ngara ilishika nafasi ya tatu kitaifa.
Matokeo ya Kidato cha nne mwaka 2020 nayo kiwango chake cha ufaulu kimeongezeka kutoka 88.27% hadi 90.33 hivyo kuwepo kwa ongezeko la ufaulu kwa 2.06%.
Mtihani wa kuhitimu kidato cha sita, ufaulu wa wanafunzi katika mitihani hiyo ni cha kuridhisha upo kwa kiwango cha 99% kila mwaka. Kwa mwaka 2021 ufaulu ulikuwa 99.67% na Mwaka huu 2020 ufaulu ni 100%.
Malengo ya Kitaaluma
Miongoni mwa malengo ambayo Mkoa na Halmashauri imejiwekea kwa mwaka huu wa 2022/2023 ni pamoja na haya yafuatayo: -
Kuhakikisha kuwa Mitihani/ Upimaji wa darasa la nne, darasa la saba na kidato cha pili, wanafunzi (Watahiniwa) watakaosajiliwa kufanya Mitihani hiyo wote wanafaulu kwa 100%.
Kuhakikisha kuwa watahiniwa wa kidato cha nne wanafaulu kwa kiwango cha daraja la I-III kwa 80%.
Kuhakikisha wanafunzi wa kidato cha sita wote wanafaulu kwa 100% kwa kiwango cha daraja la I – III
Mikakati ya Kuinua Taaluma kwa Mwaka 2021/2022
Mkoa unahimiza uwajibikaji kwa walimu na watendaji wa elimu katika ngazi zote za shule/ Kata na Halmashauri.(Mihtasari ya masomo).
Mkoa unaendelea kukisisitiza walimu kukamilisha mada za masomo kwa wakati na kufanya mrejeo wa mada ngumu kwa wanafunzi.
Kufanya mazoezi na majaribio ya mara kwa mara kwa wanafunzi. Majaribio ya kishule, Kata, Halmashauri na majaribio ya Kimkoa kwa lengo la kujenga umahiri kwa wanafunzi.
Uhimizaji wa walimu kuzingatia miongozo ya utunzi wa mitihani inayotelewa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) wakati wa kuandaa majaribio ya kishule, kata, Halmashauri na Mkoa.
Kuzishauri shule, na Halmashauri kutoa motisha kwa shule, walimu na wanafunzi wanaofanya vizuri.
Kuhimiza wazazi kuchangia chakula cha wanafunzi katika shule za msingi na sekondari.
Kuhakikisha malengo ya kitaaluma ya mkoa yanatekelezwa katika ngazi zote, kwa walimu wa masomo, ngazi ya shule, Kata, Halmashauri na Mkoa.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kagera
Anwani: S.L.P 299 BUKOBA
Simu ya Mezani: 255 28 2220215/17
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ras.kagera@tamisemi.go.tz
Haki zote zimehifadhiwa