• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
KAGERA REGIONAL WEBSITE

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na SerikaliI za Mitaa Mkoa wa Kagera

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Sehemu/Vitengo
      • Sehemu
        • Usimamizi Ufuatiliaji na Ukaguzi
        • Miundombinu
        • Elimu
          • Elimu ya Msingi
          • Elimu ya Sekondari
          • Elimu ya Watu Wazima
          • Elimu ya Juu
          • Michezo
          • Vijana
        • Afya
          • Afya
          • Ustawi wa Jamii
        • Utawala na Rasilimali Watu
        • Mipango na Uratibu
          • Mipango
          • Takwimu
          • Maendeleo ya Jamii
          • TASAF
        • Uchumi na Uzalishaji
          • Kilimo cha Umwagiliaji
          • Viwanda na Biashara
          • Uvuvi
          • Mifugo
          • Maliasili, Utalii na Mazingira
          • Ushirika
          • Kilimo
        • Uwekezaji Viwanda na Biashara
      • Vitengo
        • TEHAMA
        • Sheria
        • Fedha na Uhasibu
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Ugavi
        • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
  • Wilaya
    • Bukoba
      • Viongozi wa Bukoba
    • Biharamulo
      • Viongozi wa Biharamulo
    • Karagwe
      • Viongozi wa Karagwe
    • Kyerwa
      • Viongozi wa Kyerwa
    • Missenyi
      • Viongozi wa Missenyi
    • Muleba
      • Viongozi wa Muleba
    • Ngara
      • Viongozi wa Ngara
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Misseny
    • Halmashauri ya Wilaya ya Muleba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Ngara
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Fursa za Ufugaji
    • Fursa za Kilimo
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Ufugaji
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
    • Jarida
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali

Huduma za Elimu

Mkoa wa Kagera Utoa Huduma zifuatazo Katika Sekta ya Elimu:

  • Kuidhinisha uhamisho wa wanafunzi Elimu ya Msingi na Sekondari.
  • kufuatilia uendeshaji na usimamizi wa shule za Msingi na Sekondari za Serikali na binafsi kama zinafuata Sera ya Elimu na Ufundi.
  • Kuratibu ukusanyaji, uunganishaji, uchambuzi na kutafsiri takwimu mbalimbali za elimu katika Mkoa
  • Kusimamia Mitihani ya Utimilifu na ya Kitaifa Katika Mkoa
  • Kusimamia usajili wa wanafunzi Madarasa ya Awali, Kwanza na Kidato cha kwanza katika Mkoa.
  • Kuhimiza utoaji wa Motisha kwa walimu na shule zinazofanya vizuri katika Mitihani mbalimbali ya Kitaifa
  • Kusimamia uendeshaji wa elimu ya watu wazima katika Mkoa
  • Kusimamia mitihani ya Elimu ya Msingi, Sekondari na Vyuo vya Ualimu katika Mkoa
  • Kufanya ufuatiliaji wa utekelezaji wa taarifa za kaguzi za shule
  • Kuratibu upangaji wa walimu kwenye shule za Msingi na Sekonadari katika mkoa 


ELIMU MKOANI KAGERA KWA KIPINDI CHA MIAKA MINNE 2021 HADI 2024

Kwa  upande  wa  sekta  ya  elimu  kwa kipindi cha miaka minne  Mkoa  umepokea jumla ya shilingi Bilioni 115.4 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya ujenzi wa miundombinu ya elimu na uendeshaji wa Elimu msingi  bila  malipo. Miradi ya Ujenzi na ukarabati kama ifuatavyo:

  • Ujenzi wa vyumba vya madarasa  1,687 katika shule za msingi na Sekondari
  • Ujenzi wa matundu ya vyoo 2,975 katika shule za msingi, sekondari na shule shikizi
  • Ukarabti wa shule kongwe
  • Ujenzi wa shule mpya 12 za msingi
  • Ujenzi wa shule mpya 19 za sekondari
  • Ujenzi wa mabweni katika shule maalumu
  • Ujenzi wa nyumba za watumishi.

Kutokana  na  mapokezi  ya  fedha  kwa  ajili  ya  kujenga/kukarabati miundombinu ya elimu, Mkoa umepata mafanikio yafuatayo:

a)      Kuongezeka kwa idadi ya Shule za Msingi za Serikali kutoka shule 933 novemba 2020 hadi 976 Septemba 2024 ikiwa ni ongezeko la shule 43 sawa na asilimia 46.09

b)      Kuongezeka kwa idadi ya Shule za Sekondari kutoka shule 203 novemba, 2020 hadi 245 Septemba, 2024 sawa na ongezeko la shule 42 sawa na asilimia 20.69

c)      Kuongezeka kwa vyumba vya madarasa katika shule za msingi za Serikali kutoka vyumba 1606 novemba,2020 na hadi 7610 Septemba, 2024 ikiwa ni ongezeko la vyumba 6,004 sawa na asilimia 373.84

d)      Kuongezeka kwa vyumba vya madarasa katika shule  za sekondari za Serikali kutoka vyumba 3322 novemba, 2020 hadi 4340 Septemba, 2024 ikiwa ni ongezeko la   vyumba 1018 sawa na asilimia 30.64

e)      Kuwepo kwa mwitikio mkubwa wa wazazi katika kuandikisha watoto wenye umri wa kwenda shule. Kwa mwaka 2024 uandikishaji wa wanafunzi darasa la kwanza ulivuka lengo hadi kufikia asilimia 107.55

f)       Kuongezeka kwa idadi ya walimu katika shule za msingi kutoka walimu 8199 novemba, 2020 hadi 9475 Septemba, 2024 ikiwa ni ongezeko la walimu 1276 sawa na asilimia 15.56

g)      Kuongezeka kwa idadi ya walimu katika shule  za  sekondari kutoka walimu 2384 novemba 2020 hadi 2790 Septemba, 2024 ikiwa ni ongezeko la walimu 406 sawa na asilimia 17.03

  • Kuboreshwa kwa kituo cha utambuzi wa Watoto Wenye Mahitaji

Maalum cha Mkoa wa Kagera.

Matangazo

  • No records found
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Kagera Yaridhia Jimbo la Uchaguzi la Nkenge Kuitwa Jimbo la Uchaguzi Missenyi

    March 17, 2025
  • Mkuu wa Mkoa wa Mwassa Awashukuru Wabunge Kupitisha Fedha za Miradi ya Mapinduzi ya Kiuchumi Kagera

    March 14, 2025
  • Viongozi wa Dini Wahimizwa Kudumisha Mshikamano Ili Kukuza Uchumi wa Mkoa wa Kagera – RC Mwassa

    March 14, 2025
  • TULIPE KODI-RC MWASSA

    October 07, 2023
  • Tazama zote

Video

KAGERA REGION DOCUMENTARY
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Taratibu za biashara ya ndani
  • Barabara Kuu na ndogo za Mkoa
  • Vituo vya Redio Katika Mkoa wa Kagera
  • Wakuu wa Mkoa wa Kagera Tangu Uhuru Mwaka 1961
  • Matokeo ya Darasa la VII 2018, Wanafunzi 10 Bora, Shule 10 Bora, Watakaojiunga Kidato cha I, 2019
  • Kitabu cha Mwongozo wa Uwekezaji Kagera 2019
  • FOMU YA USAJILI WA WAFANYABIASAHARA NA WADAU WA MKOA WA KAGERA, ZIARA YA KUTEMBELEA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI NA KATI KWA LENGO LA KUTAFUTA FURSA ZA BIASHARA NA UWEKEZAJI NOVEMBER, 2019.

Tovuti Mashuhuri

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Takwimu Huria

Wafuatiliaji Kimataifa

world map hits counter

Kaunta ya Wageni

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kagera

    Anwani: S.L.P 299 BUKOBA

    Simu ya Mezani: 255 28 2220215/17

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras.kagera@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma Zetu
    • Hakimiliki

Haki zote zimehifadhiwa