• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
KAGERA REGIONAL WEBSITE

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na SerikaliI za Mitaa Mkoa wa Kagera

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Sehemu/Vitengo
      • Sehemu
        • Usimamizi Ufuatiliaji na Ukaguzi
        • Miundombinu
        • Elimu
          • Elimu ya Msingi
          • Elimu ya Sekondari
          • Elimu ya Watu Wazima
          • Elimu ya Juu
          • Michezo
          • Vijana
        • Afya
          • Afya
          • Ustawi wa Jamii
        • Utawala na Rasilimali Watu
        • Mipango na Uratibu
          • Mipango
          • Takwimu
          • Maendeleo ya Jamii
          • TASAF
        • Uchumi na Uzalishaji
          • Kilimo cha Umwagiliaji
          • Viwanda na Biashara
          • Uvuvi
          • Mifugo
          • Maliasili, Utalii na Mazingira
          • Ushirika
          • Kilimo
        • Uwekezaji Viwanda na Biashara
      • Vitengo
        • TEHAMA
        • Sheria
        • Fedha na Uhasibu
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Ugavi
        • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
  • Wilaya
    • Bukoba
      • Viongozi wa Bukoba
    • Biharamulo
      • Viongozi wa Biharamulo
    • Karagwe
      • Viongozi wa Karagwe
    • Kyerwa
      • Viongozi wa Kyerwa
    • Missenyi
      • Viongozi wa Missenyi
    • Muleba
      • Viongozi wa Muleba
    • Ngara
      • Viongozi wa Ngara
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Misseny
    • Halmashauri ya Wilaya ya Muleba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Ngara
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Fursa za Ufugaji
    • Fursa za Kilimo
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Ufugaji
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
    • Jarida
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali

Fedha na Uhasibu


CPA Pius Lazaro Mwakimenya 

Mhasibu Mkuu wa Mkoa


MAJUKUMU YA KITENGO CHA FEDHA NA UHASIBU NA JINSI KINAVYOTEKELEZA MAJUKUMU YAKE

Kitengo cha Fedha na Uhasibu katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera kinatekeleza Majukumu Makuu matano. Majukumu hayo matano yameainishwa na kufafanuliwa jinsi yanavyotekelezwa na Wataalam waliopo kwenye Kitengo cha Uhasibu na Fedha kama ifuatavyo:

Usimamizi wa Fedha:

Katika Usimamizi wa Fedha kitengo cha Fedha na Uhasibu kinawajibika kuandaa na kuidhinisha malipo mbalimba ya shughuli za kila siku za uendeshaji wa ofisi pamoja na shughuli za kutoa huduma kwa wananchi wa Mkoa wa Kagera. Aidha, kitengo hiki kinawajibika katika kuandaa na kuidhinisha malipo ya Mishahara ya Watumishi, kuwezesha makato mbalimbali yanayokubalika kisheria kutoka kwenye mishahara ya watumishi na kuyawasilisha kwenye mamlaka zinazohusika na makato hayo. Pia kutunza orodha na nyaraka za Watumishi wanaolipwa mishahara kwa ajili ya kumbukumbu za baadae.

Kuwezesha Malipo:

Katika Kitengo cha Fedha na Uhasibu tunawezesha malipo mbalimbali ya fedha kwa njia za kisasa ambazo ni za mtandao (yaani malipo yanafanyika kwa njia ya intaneti) ili kuondoa urasmu wa kuchelewesha malipo na kupelekea kukwamisha shughuli mbalimbali za Serikali, au kukwamisha malipo mbalimbali ya watumishi na malipo ya watoa huduma  wanaotoa huduma mbalimbali katika Serikali. Pia Kitengo kinawajibika kutunza daftari la hesabu kwa ajili ya kumbukumbu za kimahesabu, Kupeleka benki fedha taslimu na hundi benki.

Hesabu za Mwisho wa Mwaka:

Kitengo cha Fedha na Uhasibu kinawajibika kutayarisha Makadirio ya Bajeti na kudhibiti matumizi ya fedha pia  kuandaa taarifa ya matumizi ya robo mwaka, nusu mwaka na mwaka mzima kwa ajili ya kuiwasilisha kwa Mhasibu Mkuu wa Serikali. Kuandaa taarifa ya hesabu za mwisho wa mwaka na kuziwasilisha kwa Mhasibu Mkuu wa Serikali na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali. Aidha, Kujibu hoja zote za ukaguzi na maoni ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) pale anapokuwa amefanya ukaguzi wa fedha katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera.

Ukusanyaji Mapato:

Kitengo cha Fedha na Uhasibu pia kinawajibika katika ukusanyaji na usimamizi wa mapato ya Serikali kwa mujibu wa sheria na miongozo kwa baadhi ya mali za Serikali zinazosimamiwa na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera na mali hizo ni nyumba zinazomilikiwa na Katibu Tawala wa Mkoa wa Kagera.

Ukaguzi wa Awali:

Kitengo cha Fedha na Uhasibu katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera kinatekekeleza majukumu yake kwa weledi na kuzingatia sheria, kanuni na  na miongozo ya fedha ambapo kabla ya malipo hufanyika uhakiki wa nyaraka za malipo kuona kama nyaraka hizo zimezingatia taratibu za malipo ikiwa ni pamoja na kuidhinishwa. Aidha, kuhakikisha malipo yanayofanyika hayavuki bajeti ya kasma husika.

“Kagera: Kazi, Amani na Maendeleo”


Matangazo

  • No records found
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Kagera Yaridhia Jimbo la Uchaguzi la Nkenge Kuitwa Jimbo la Uchaguzi Missenyi

    March 17, 2025
  • Mkuu wa Mkoa wa Mwassa Awashukuru Wabunge Kupitisha Fedha za Miradi ya Mapinduzi ya Kiuchumi Kagera

    March 14, 2025
  • Viongozi wa Dini Wahimizwa Kudumisha Mshikamano Ili Kukuza Uchumi wa Mkoa wa Kagera – RC Mwassa

    March 14, 2025
  • TULIPE KODI-RC MWASSA

    October 07, 2023
  • Tazama zote

Video

KAGERA REGION DOCUMENTARY
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Taratibu za biashara ya ndani
  • Barabara Kuu na ndogo za Mkoa
  • Vituo vya Redio Katika Mkoa wa Kagera
  • Wakuu wa Mkoa wa Kagera Tangu Uhuru Mwaka 1961
  • Matokeo ya Darasa la VII 2018, Wanafunzi 10 Bora, Shule 10 Bora, Watakaojiunga Kidato cha I, 2019
  • Kitabu cha Mwongozo wa Uwekezaji Kagera 2019
  • FOMU YA USAJILI WA WAFANYABIASAHARA NA WADAU WA MKOA WA KAGERA, ZIARA YA KUTEMBELEA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI NA KATI KWA LENGO LA KUTAFUTA FURSA ZA BIASHARA NA UWEKEZAJI NOVEMBER, 2019.

Tovuti Mashuhuri

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Takwimu Huria

Wafuatiliaji Kimataifa

world map hits counter

Kaunta ya Wageni

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kagera

    Anwani: S.L.P 299 BUKOBA

    Simu ya Mezani: 255 28 2220215/17

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras.kagera@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma Zetu
    • Hakimiliki

Haki zote zimehifadhiwa