- Mwanzo
- Kuhusu Sisi
- Utawala
- Wilaya
- Halmashauri
- Fursa za Uwekezaji
- Huduma
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Mkoa wa Kagera unavivutio vingi vya utalii ikiwa ni pamoja na Mali kale, Mapori ya Akiba, misitu, uoto wa asili na fukwe za ziwa Victoria. Juhudi kubwa imeanza kufanyika kutangaza vivutio vya utalii ambapo Mamlaka ya uhifadhi wanyamapori kwa ushirikiano wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wanaandaa mkakati wa kuanza tangaza vivutio vilivyomo katka mapori ya akiba. Pia hatua za kutambua watalii wanaoingia katika Mkoa wa Kagera zimeanza kuchukuliwa kwa kuzielekeza Halmashauri kuainisha vivutio na idadi ya watalii wanaotembelea vivutio hivyo. Mkoa wa kagera unapakana na inchi zaidi ya mbili katika ukanda wa Afrika mashariki hivyo ni fursa katika sekta ya utalii.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kagera
Anwani: S.L.P 299 BUKOBA
Simu ya Mezani: 255 28 2220215/17
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ras.kagera@tamisemi.go.tz
Haki zote zimehifadhiwa