• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
KAGERA REGIONAL WEBSITE

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government KAGERA REGIONAL WEBSITE

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Sections/Units
      • Sections
        • Management Monitoring and Ispection
        • Infrastructure
        • Education
          • Primary Education
          • Secondary Education
          • Adult Education
          • Higher Education
          • Sports
          • Youth
        • Health
          • Health
          • social welfare
        • Administration And HR
        • Planning & Coordination
          • Planning
          • Statistics
          • Community Development
          • TASAF
        • Economic and Production
          • Irrigation Farming
          • Commerce and Industries
          • Fishing
          • Livestock
          • Natural Resources, Tourism & Environment
          • Co operative
          • Agriculture
        • Investment Indusrty and Trade
      • Units
        • ICT
        • Legal Unit
        • Finance and Accounts
        • Internal Audit Unit
        • Procurement Unit
        • Government Communication
  • Districts
    • Bukoba
      • Bukoba Leaders
    • Biharamulo
      • Biharamulo Leaders
    • Karagwe
      • Karagwe Leaders
    • Kyerwa
      • Kyerwa Leaders
    • Missenyi
      • Missenyi Leaders
    • Muleba
      • Muleba Leaders
    • Ngara
      • Ngara Leaders
  • District Councils
    • Bukoba Municipal Council
    • Bukoba District Council
    • Biharamulo District Council
    • Karagwe District Council
    • Kyerwa District Council
    • Missenyi District Council
    • Muleba District Council
    • Ngara District Council
  • Investment Opportunities
    • Tourism Attractions
    • Farming Opportunities
    • Agricultural Opportunities
  • Services
    • Health Services
    • Education Services
    • Water Services
    • Agricultural Services
    • Farming Services
  • Publications
    • By Laws
    • Client Service Charter
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Forms
    • Guidelines
    • News Letter
  • Media Center
    • Videos
    • Press Release
    • Speeches
    • Photo Gallery

Balozi wa Tanzania Nchini Rwanda Atembelea Mkoa Wa Kagera na Kuwahamasisha Wanakagera Kuchangamkia Fursa za Kiuchumi Nchini Rwanda

Posted on: June 27th, 2018

Balozi wa Tanzania Nchini Rwanda Mheshimiwa Ernest Mangu afanya ziara ya siku mbili Mkoani Kagera na kukutana na kufanya mazungumzo na uongozi wa Mkoa kuhusu kuchangamkia  fursa za kiuchumi nchini Rwanda kati ya wananchi wa Mkoa wa Kagera na nchi ya Rwanda.

Balozi Ernest Mangu akiwasili Mkoani Kagera kupitia mpaka wa Tanzania na Rwanda Rusumo Julai 25, 2018  na kupokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Kagera Salum M.  Kijuu aliweza kufanya mazungumzo na watumishi wa Kituo cha kutoa huduma kwa Pamoja cha Rusumo (OSBP) upande wa Tanzania na kuwaelekeza namna bora ya kuboresha huduma katika kituo hicho ili wananchi wa nchi mbili wanufaike zaidi.

Katika mpaka wa Rusumo Kituo cha kutoa huduma kwa pamoja (OSBP) kinahudumia magari 350 na watu 450 kwa siku ambapo Balozi Mangu alitaka kujua watu wanaohudumiwa kwa siku wengi wanatoka Tanzania kwenda Rwanda au kutoka Rwanda kuja Tanzania ili kama wengi wanatoka Rwanda kuja Tanzania ajue ni kwanini Watanzania hasa wa Mkoa wa Kagera hawachangamkii fursa za kibiashara nchini Rwanda.

Pia Balozi Mangu alitoa changamoto kwa uongozi wa Mkoa wa Kagera kuwa Rwanda kuna fursa nyingi za kiuchumi hasa biashara ambapo Wanyarwanda wengi wanapendelea kwenda Nchini Uganda Jijini Kampala kununua bidhaa  mbalimbali kutokana na bidhaa hizo nyingi kupatikana Jijini Dar es Salaam ambako ni mbali sana kutoka Kigali.

Ili kutatua changamoto hiyo na kuwavutia Wanyarwanda Wafanyabiashara wa Tanzania hasa wa Mkoa wa Kagera wanatakiwa kuanzisha maduka makubwa ya bidhaa mbaimbali za jumla katika mpaka wa Rusumo upande wa Tanzania ili kuwavutia Wafanyabiashara kutoka Rwanda ambapo Rusumo ni karibu sana kuliko Jijini Kampala nchini Uganda. “Rusumo inaweza kuwa Dar es Salaam ya Kigali na Wanyarwanda wakaishia hapa.” Alisisitiza Balozi Mangu.

“Wanyarwanda wanapenda sana mchele kutoka Kahama, wanapenda sana dagaa  na Samaki kutoka Ziwa Viktoria na si Kigali tu bali na nchi ya Kongo bidhaa hizo ni adimu sana jambo linalopelekea kuwa na soko kubwa lakini sijaona zikiuzwa kwa biashara rasmi bali kimagendomagendo tu, sasa hiyo ni fursa kwa Wafanyabiashara wa Kagera kufungua maghara makubwa hapa Rusumo ili biashara hiyo ifanyike hapa na kodi ilipwe na kunufaisha nchi zote mbili.” Alifafanua Balozi Mangu.

Katika hatua nyingine Balozi Mangu alikutana na Wafanyabiashara mjini Ngara na kusikiliza changamoto zao zinazowakwaza kufanya biashara na nchi ya Rwanda na kuhaidi kuzifanyia kazi ili pande zote mbili wananchi wake wanufaike kiuchumi kutokana na fursa ya kuwepo mpaka kati ya nchi hizo.

Naye Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Mstaafu Salum M. Kijuu alimuhaidi Balozi Mangu kuhakikisha anayafanyia kazi maelekezo yake yote ili kuhakikisha wananchi wa Mkoa wa Kagera hasa Wafanyabiashara wananufaike kiuchumi na fursa ya kuwepo mpaka wa Rusumo ambao unaziunganisha nchi za Rwanda na Tanzania.

Announcements

  • No records found
  • View All

Latest News

  • Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Kagera Yaridhia Jimbo la Uchaguzi la Nkenge Kuitwa Jimbo la Uchaguzi Missenyi

    March 17, 2025
  • Mkuu wa Mkoa wa Mwassa Awashukuru Wabunge Kupitisha Fedha za Miradi ya Mapinduzi ya Kiuchumi Kagera

    March 14, 2025
  • Viongozi wa Dini Wahimizwa Kudumisha Mshikamano Ili Kukuza Uchumi wa Mkoa wa Kagera – RC Mwassa

    March 14, 2025
  • TULIPE KODI-RC MWASSA

    October 07, 2023
  • View All

Video

KAGERA REGION DOCUMENTARY
More Videos

Quick Links

  • Taratibu za biashara ya ndani
  • Barabara Kuu na ndogo za Mkoa
  • Radio Stations in Kagera Region
  • Kagera Regional Commissioners Since Independence 1961
  • Matokeo ya Darasa la VII 2018, Wanafunzi 10 Bora, Shule 10 Bora, Watakaojiunga Kidato cha I, 2019
  • Kitabu cha Mwongozo wa Uwekezaji Kagera 2019
  • FOMU YA USAJILI WA WAFANYABIASAHARA NA WADAU WA MKOA WA KAGERA, ZIARA YA KUTEMBELEA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI NA KATI KWA LENGO LA KUTAFUTA FURSA ZA BIASHARA NA UWEKEZAJI NOVEMBER, 2019.

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • National Bureau of Statistics (NBS)
  • Government of Tanzania Website
  • Open Data Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kagera

    Postal Address: S.L.P 299 BUKOBA

    Telephone: 255 28 2220215/17

    Mobile:

    Email: ras.kagera@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service
    • Hakimiliki

Copyright ©2017 GWF . All rights reserved.