• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
KAGERA REGIONAL WEBSITE

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government KAGERA REGIONAL WEBSITE

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Sections/Units
      • Sections
        • Management Monitoring and Ispection
        • Infrastructure
        • Education
          • Primary Education
          • Secondary Education
          • Adult Education
          • Higher Education
          • Sports
          • Youth
        • Health
          • Health
          • social welfare
        • Administration And HR
        • Planning & Coordination
          • Planning
          • Statistics
          • Community Development
          • TASAF
        • Economic and Production
          • Irrigation Farming
          • Commerce and Industries
          • Fishing
          • Livestock
          • Natural Resources, Tourism & Environment
          • Co operative
          • Agriculture
        • Investment Indusrty and Trade
      • Units
        • ICT
        • Legal Unit
        • Finance and Accounts
        • Internal Audit Unit
        • Procurement Unit
        • Government Communication
  • Districts
    • Bukoba
      • Bukoba Leaders
    • Biharamulo
      • Biharamulo Leaders
    • Karagwe
      • Karagwe Leaders
    • Kyerwa
      • Kyerwa Leaders
    • Missenyi
      • Missenyi Leaders
    • Muleba
      • Muleba Leaders
    • Ngara
      • Ngara Leaders
  • District Councils
    • Bukoba Municipal Council
    • Bukoba District Council
    • Biharamulo District Council
    • Karagwe District Council
    • Kyerwa District Council
    • Missenyi District Council
    • Muleba District Council
    • Ngara District Council
  • Investment Opportunities
    • Tourism Attractions
    • Farming Opportunities
    • Agricultural Opportunities
  • Services
    • Health Services
    • Education Services
    • Water Services
    • Agricultural Services
    • Farming Services
  • Publications
    • By Laws
    • Client Service Charter
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Forms
    • Guidelines
    • News Letter
  • Media Center
    • Videos
    • Press Release
    • Speeches
    • Photo Gallery

Barabara ya Kyaka Bugene Iliyozinduliwa Rasmi Novemba 07,2017 na Rais John Pombe Magufuli Wilayani Karagwe Mkoani Kagera

Posted on: November 7th, 2017

Rais Magufuli Azindua Rasmi Barabara ya Kyaka Bugene na Kuhaidi Kumalizia Kipande Kilichobaki Hadi Kasulo Ngara

Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amezindua rasmi barabara ya Kyaka Bugene yenye urefu wa kilometa 59.1 iliyojengwa kwa kiwango cha lami kwa gharama ya shilingi bilioni 81.597 fedha zilizogharamiwa kwa asilimia 100 na Serikali ya Tanzania.

Rais Magufuli kabla ya kuzindua barabara hiyo ya Kyaka Bugene inayoziunganisha Wilaya mbili za Missenyi na Karagwe akiongea na wananchi alisema kuwa Serikali itaendelea kujenga kipande kilichobaki hadi Kasulo Wilayani Ngara na Kukamilisha jumla ya kilometa 183.1

Akitoa Taarifa ya ujenzi wa barabara hiyo Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini TANROADS Bw.Patrick Mfugale alisema kuwa barabara hiyo imesimamiwa na Watanzania baada ya Kampuni  kutoka India iliyokuwa imepewa tenda ya  kusimamia kushindwa kazi na na Serikali kuamua kuifukuza kazi.

Aidha, Bw. Mfugale alisema Kampuni hiyo kama ingefanya kazi mpaka mwisho wa kukamilisha barabara hiyo ingelipwa shilingi bilioni 4 lakini baada ya kuisimamishwa kazi na kupewa Watanzania ambao wamesimamia mpaka barabara kukamilika wamelipwa shilingi milioni 500 tu na kuokoa shilingi bilioni 3.5

Katika hatua nyingine Rais Magufuli aliwahakikishia wananchi wa Wilaya ya Karagwe kuwa Serikali tayari imeiweka kwenye mpango  wa ujenzi barabara ya Omugakorongo Mulongo ili ijengwe kwa kiwango cha rami kusudi wananchi waweze kufanya biashara na nchi jiarani ya Uganda.

Rais Magufuli akiongelea kero za wananchi wa Wilaya ya Karagwe alisema anajua kuwa kero ya maji Karagwe ni ya muda mrefu, ambapo alisema kuwa serikali imeainisha  miji 17  na Karagwe ikiwemo na tayari Serikali imepata mkopo wa fedha Dola Milioni 500 kutoka nchi ya India na Wilaya ya Karagwe imetengewa Dola milioni 70 kwajili ya ujenzi wa mradi wa maji.

Pia Rais Magufuli alisema kuwa anajua kuwa Karagwe kuna Kero kubwa ya ardhi na kuwataka wananchi wote waliovamia vyanzo vya maji kuondoka mara moja na kuuagiza uongozi wa Mkoa kuhakikisha unasimamia kikamilifu na kuhakikisha unawatafutia maeneo mbadala ya kuishi.

“Jamani najua kuna sheria za mazingira lakini tukiamua kuzisimamia sheria hizo kwa karibu sana wananchi watakosa mahala pa kuishi, kama wananchi wanalima kandokando ya mito pengine wakati wa kiangazi wakitekeleza sera ya hapa kazi tu waacheni walime kwani hawazuii maji yaliyoletwa na Mungu kutirirka.” Alisistiza Rais Magufuli.

Rais Magufuli alitolea mfano wa kijana mmoja aliyetoa kero yake kwake wakati akisalimia wananchi eneo la Kyaka Wilayani Missenyi akielekea Wilayani Karagwe  kuwa kijana huyo alifukuzwa kando kando ya Mto Kagera wakati akilima mahindi yake. Rais Magufuli aliagiza kijana huyo kuendelea kulima na wananchi wengine isipokuwa watakaolima  kwenye vyanzo vya  maji ndiyo wachukuliwe hatua za kisheria.

Mwisho Rais Magufuli aliwapongeza Waandishi wa Habari kwa kazi kubwa wanayoifanya pia na vyombo vya habari kwa kufanya kazi kubwa ya kuwahaabarisha wananchi. Rais Magufulia ataendelea na ziara yake Wilayani Missenyi katika kiwanda cha Kagera Sukari kesho Novemba 8. 2017.

Announcements

  • No records found
  • View All

Latest News

  • Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Kagera Yaridhia Jimbo la Uchaguzi la Nkenge Kuitwa Jimbo la Uchaguzi Missenyi

    March 17, 2025
  • Mkuu wa Mkoa wa Mwassa Awashukuru Wabunge Kupitisha Fedha za Miradi ya Mapinduzi ya Kiuchumi Kagera

    March 14, 2025
  • Viongozi wa Dini Wahimizwa Kudumisha Mshikamano Ili Kukuza Uchumi wa Mkoa wa Kagera – RC Mwassa

    March 14, 2025
  • TULIPE KODI-RC MWASSA

    October 07, 2023
  • View All

Video

KAGERA REGION DOCUMENTARY
More Videos

Quick Links

  • Taratibu za biashara ya ndani
  • Barabara Kuu na ndogo za Mkoa
  • Radio Stations in Kagera Region
  • Kagera Regional Commissioners Since Independence 1961
  • Matokeo ya Darasa la VII 2018, Wanafunzi 10 Bora, Shule 10 Bora, Watakaojiunga Kidato cha I, 2019
  • Kitabu cha Mwongozo wa Uwekezaji Kagera 2019
  • FOMU YA USAJILI WA WAFANYABIASAHARA NA WADAU WA MKOA WA KAGERA, ZIARA YA KUTEMBELEA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI NA KATI KWA LENGO LA KUTAFUTA FURSA ZA BIASHARA NA UWEKEZAJI NOVEMBER, 2019.

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • National Bureau of Statistics (NBS)
  • Government of Tanzania Website
  • Open Data Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kagera

    Postal Address: S.L.P 299 BUKOBA

    Telephone: 255 28 2220215/17

    Mobile:

    Email: ras.kagera@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service
    • Hakimiliki

Copyright ©2017 GWF . All rights reserved.