• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
KAGERA REGIONAL WEBSITE

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government KAGERA REGIONAL WEBSITE

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Sections/Units
      • Sections
        • Management Monitoring and Ispection
        • Infrastructure
        • Education
          • Primary Education
          • Secondary Education
          • Adult Education
          • Higher Education
          • Sports
          • Youth
        • Health
          • Health
          • social welfare
        • Administration And HR
        • Planning & Coordination
          • Planning
          • Statistics
          • Community Development
          • TASAF
        • Economic and Production
          • Irrigation Farming
          • Commerce and Industries
          • Fishing
          • Livestock
          • Natural Resources, Tourism & Environment
          • Co operative
          • Agriculture
        • Investment Indusrty and Trade
      • Units
        • ICT
        • Legal Unit
        • Finance and Accounts
        • Internal Audit Unit
        • Procurement Unit
        • Government Communication
  • Districts
    • Bukoba
      • Bukoba Leaders
    • Biharamulo
      • Biharamulo Leaders
    • Karagwe
      • Karagwe Leaders
    • Kyerwa
      • Kyerwa Leaders
    • Missenyi
      • Missenyi Leaders
    • Muleba
      • Muleba Leaders
    • Ngara
      • Ngara Leaders
  • District Councils
    • Bukoba Municipal Council
    • Bukoba District Council
    • Biharamulo District Council
    • Karagwe District Council
    • Kyerwa District Council
    • Missenyi District Council
    • Muleba District Council
    • Ngara District Council
  • Investment Opportunities
    • Tourism Attractions
    • Farming Opportunities
    • Agricultural Opportunities
  • Services
    • Health Services
    • Education Services
    • Water Services
    • Agricultural Services
    • Farming Services
  • Publications
    • By Laws
    • Client Service Charter
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Forms
    • Guidelines
    • News Letter
  • Media Center
    • Videos
    • Press Release
    • Speeches
    • Photo Gallery

Fursa za Uwekezaji Zachambuliwa Kisomi Kwenye Kongamano la Wiki la Uwekezaji Kagera Kuonesha Mwanga wa Kuelekea Katika Uchumi Mpya wa Mkoa

Posted on: August 15th, 2019

Baada ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa kuzindua rasmi Wiki ya Uwekezaji Kagera Agosti 14, 2019 akizindua pia Kongamano la Uwekezaji na kitabu cha Mwongozo wa Uwekezaji Kagera  leo Agosti 15, 219 wadau mbalimbali wa uwekezaji na wafanyabiashara katika kongamano walijadili fursa mbalimbali za uwekezaji kwa kuzichambua kwa undani zaidi.

Katika Kongamano hilo la Wiki ya Uwekezaji Kagera jumla ya mada nane ziliwasilishwa na wataalam kutoka Sekta mbalimbali za umma na Sekta binafsi kwa kuzichambua na kujadili kwa kina kupata mwelekeo wa uwekezaji hasa majadiliano yakilenga namna bora ya kuondoa vikwazo na kusonga mbele katika kuinua uchumi wa mkoa wa Kagera

Mada nane zilizowasilishwa na wasomi wabobezi na wajasiliamali wenye uzoefu mkubwa katika ujasiliamali na kuzichambua kwa undani kuonesha fursa zilipo na zinaweza kufikikaje ni pamoja na mada ya  Ujue Mkoa wa Kagera iliyowasilishwa na Askofu Msaidizi wa Jimbo Katoliki la Bukoba Method Kilaini ambaye ni mbobezi katika masuala ya historia ambapo aliuchambua mkoa wa Kagera kihistoria miaka ya nyuma na kwa sasa mkoa ulipo.

Mada nyinginezo ni; Mazingira ya jumla ya kibiashara na jukumu la mamlaka za kisheria katika kusaidia uwekezaji, Tatu; Mkoa wa kagera kama kitovu cha biashara katika nchi za Afrika Mashariki na Kati (Biashara za Mipakani), Nne, Kutumia fursa za uwekezaji Kagera katika sekta za kilimo, mifugo, uvuvi na Viwanda, Tano; Ni namna gani changamoto ya lishe katika mkoa wa Kagera inaweza kutumika kama fursa ya uwekezaji.
Aidha, mada nyingine zilizojadiliwa ni pamoja na; Ni namna gani fursa za utalii ambazo hazijatumika ipasavyo zinaweza kutumika katika uwekezaji kwenye mkoa wa Kagera, Saba; Nafasi ya huduma za kijamii kwa ukuaji wa uchumi wa mkoa wa Kagera. Mada ya mwisho ilikuwa ni huduma za kifedha kama kichocheo cha uwekezaji na ukuaji wa uchumi.
Mara baada ya mawasilisho ya mada tajwa hapo juu ikiwa ni pamoja na uchambuzi wa hali ya juu kuhusu mada hizo na washiriki kuchangia kwa kuonesha ni fursa gani zinapatika na zinafikikaje katika mkoa wa Kagera Wafanyabiasha kutoka nchi za Rwanda na Burundi walipata nafasi ya kukutana Wafanyabiashara wa Mkoa wa Kagera na kuwa na mazungumzo ya kibiashara (B2B Discution) kulingana na mtu kavutiwaje.
Baada ya Wiki ya Uwekezaji Kagera kufika mwisho uongozi wa Mkoa wa Kagera utakuwa na orodha ya jumla ya biashara ambazo wafanyabiashara kutoka nje ya nchi watakuwa wameingia makubaliano na wenzao kutoka nchi jirani ili kufanya ufuatiliaji na kuhakikisha fursa hizo zinafikika na kutumika.
Wiki ya Uwekezaji Kagera inatarajiwa Kufungwa rasmi tarehe 16/08/2019 lakini maoonesho ya bidhaa mbalimbali yatakuwa yanaendelea katika viwanja vya Gymkhana Manispaa ya Bukoba hadi tarehe 18/08/2019 na Wadau mbalimbali wa uwekezaji watapata fursa za kwenda kutembelea vivutio mbalimbali vya uwekezaji katika mkoa wa Kagera.
 

Announcements

  • No records found
  • View All

Latest News

  • Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Kagera Yaridhia Jimbo la Uchaguzi la Nkenge Kuitwa Jimbo la Uchaguzi Missenyi

    March 17, 2025
  • Mkuu wa Mkoa wa Mwassa Awashukuru Wabunge Kupitisha Fedha za Miradi ya Mapinduzi ya Kiuchumi Kagera

    March 14, 2025
  • Viongozi wa Dini Wahimizwa Kudumisha Mshikamano Ili Kukuza Uchumi wa Mkoa wa Kagera – RC Mwassa

    March 14, 2025
  • TULIPE KODI-RC MWASSA

    October 07, 2023
  • View All

Video

KAGERA REGION DOCUMENTARY
More Videos

Quick Links

  • Taratibu za biashara ya ndani
  • Barabara Kuu na ndogo za Mkoa
  • Radio Stations in Kagera Region
  • Kagera Regional Commissioners Since Independence 1961
  • Matokeo ya Darasa la VII 2018, Wanafunzi 10 Bora, Shule 10 Bora, Watakaojiunga Kidato cha I, 2019
  • Kitabu cha Mwongozo wa Uwekezaji Kagera 2019
  • FOMU YA USAJILI WA WAFANYABIASAHARA NA WADAU WA MKOA WA KAGERA, ZIARA YA KUTEMBELEA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI NA KATI KWA LENGO LA KUTAFUTA FURSA ZA BIASHARA NA UWEKEZAJI NOVEMBER, 2019.

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • National Bureau of Statistics (NBS)
  • Government of Tanzania Website
  • Open Data Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kagera

    Postal Address: S.L.P 299 BUKOBA

    Telephone: 255 28 2220215/17

    Mobile:

    Email: ras.kagera@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service
    • Hakimiliki

Copyright ©2017 GWF . All rights reserved.