• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
KAGERA REGIONAL WEBSITE

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government KAGERA REGIONAL WEBSITE

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Sections/Units
      • Sections
        • Management Monitoring and Ispection
        • Infrastructure
        • Education
          • Primary Education
          • Secondary Education
          • Adult Education
          • Higher Education
          • Sports
          • Youth
        • Health
          • Health
          • social welfare
        • Administration And HR
        • Planning & Coordination
          • Planning
          • Statistics
          • Community Development
          • TASAF
        • Economic and Production
          • Irrigation Farming
          • Commerce and Industries
          • Fishing
          • Livestock
          • Natural Resources, Tourism & Environment
          • Co operative
          • Agriculture
        • Investment Indusrty and Trade
      • Units
        • ICT
        • Legal Unit
        • Finance and Accounts
        • Internal Audit Unit
        • Procurement Unit
        • Government Communication
  • Districts
    • Bukoba
      • Bukoba Leaders
    • Biharamulo
      • Biharamulo Leaders
    • Karagwe
      • Karagwe Leaders
    • Kyerwa
      • Kyerwa Leaders
    • Missenyi
      • Missenyi Leaders
    • Muleba
      • Muleba Leaders
    • Ngara
      • Ngara Leaders
  • District Councils
    • Bukoba Municipal Council
    • Bukoba District Council
    • Biharamulo District Council
    • Karagwe District Council
    • Kyerwa District Council
    • Missenyi District Council
    • Muleba District Council
    • Ngara District Council
  • Investment Opportunities
    • Tourism Attractions
    • Farming Opportunities
    • Agricultural Opportunities
  • Services
    • Health Services
    • Education Services
    • Water Services
    • Agricultural Services
    • Farming Services
  • Publications
    • By Laws
    • Client Service Charter
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Forms
    • Guidelines
    • News Letter
  • Media Center
    • Videos
    • Press Release
    • Speeches
    • Photo Gallery

Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mhe. Wambali Akiwa na Ujumbe Wake Katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera Kumsalimia Mhe. Kijuu

Posted on: January 6th, 2018

Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Afanya Ziara Mkoani Kagera Kuona Utendaji wa Mahakama Kanda ya Bukoba

Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mhe. Ferdinand L. K. Wambali afanya ziara Mkoani Kagera kukagua mwenendo wa mashauri katika Mahakama kuona kama mashauri hayo yanaendeshwa kulingana malengo yaliyowekwa  ambapo Mhe. Wambali atatembele Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Bukoba, Mahakama ya Hakimu Mkazi, Mahakama za Wilaya za  Karagwe na Muleba pamoja na Mahakama za Mwanzo mbili katika Wilaya hizo.

Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mhe. Meja Jenerali Mstaafu Salum M. Kijuu akiongea na Jaji Kiongozi Mhe. Wambali alipowasili ofisini kwake kumsalimia leo January 6, 2018 alimweleza Mhe. Jaji Kiongozi kuwa katika Mkoa wa Kagera kuna changamoto katika Wilaya mbili za Kyerwa na Missenyi kutokuwa na Mahakama za Wilaya na kusababisha kesi nyingi kutoka katika Wilaya hizo kupelekwa Bukoba na Karagwe.

Mheshimiwa Wambali katika kueleza lengo kuu la ziara yake Mkoani Kagera alisema kuwa amekuja kuona kama Nguzo kuu tatu zilizowekwa na Mahakama katika utoaji wa haki zinasimamiwa kikamilifu katika Mkoa wa Kagera ambapo Nguzo ya kwanza ni Utawala Bora, Uajibikaji na Usimamizi wa Raslimali Watu.

Katika Nguzo hiyo ya kwanza Mhe. Wambali alisema kuwa Mahakama zinatakiwa kusikiliza kesi za wananchi na kutoa maamuzi kwa muda muafaka mfano Kesi katika Mahakama ya mwanzo haitakiwi kuzidi miezi sita bila kutolewa maamuzi, Mahakama ya Wilaya mwaka mmoja, na Mahakama Kuu na Mahakama ya Rufani miaka miwili.

Aidha, ukumu katika Mahakama ya Mwanzo inatakiwa kutolewa ndani ya siku 90, nakala ya hukumu inatakiwa kutolewa ndani ya siku 21 na mwenendo wa kesi unatakiwa kutolewa ndani ya siku 30.

Nguzo ya pili, ni kuboresha miundombinu ya Mahakama ili watumishi na wananchi waweze kutoa na  kupata huduma za Mahakama katika mazingira yanayoridhisha. Mhe. Wambali pia alimweleza Mkuu wa Mkoa kuwa Mahakama zinendelea kujengwa nchi nzima lakini kwa kutoa vipaumbele hasa katika maeneo yenye tatizo kubwa.

Nguzo ya tatu aliyoitaja Mhe. Wambali ni Mahakama kuimarisha imani ya wananchi juu ya Mahakama hasa watumishi katika Mahakama kuzingatia maadili na kuepukana na vitendo vya rushwa. Mhe. Wambali alisema hilo llinafanyika kupitia matangazo mbalimbali kama vipeperushi, kuwauliza wananchi juu ya huduma za Mahakama wakati wa maadhimisho ya Siku ya Sheria na Kuunda Kamati za Maadili ya Mahakama ambapo Mwenyekiti wake ni Mkuu wa Mkoa katika Mkoa husika.

Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mhe. Ferdinand L. K. Wambali amefika Mkoani Kagera tarehe 6 Januari, 2018 na anatarajia kuhitimisha ziara yake mkoani hapa tarehe 9 Januari, 2018 siku ya Jumanne.

Announcements

  • No records found
  • View All

Latest News

  • Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Kagera Yaridhia Jimbo la Uchaguzi la Nkenge Kuitwa Jimbo la Uchaguzi Missenyi

    March 17, 2025
  • Mkuu wa Mkoa wa Mwassa Awashukuru Wabunge Kupitisha Fedha za Miradi ya Mapinduzi ya Kiuchumi Kagera

    March 14, 2025
  • Viongozi wa Dini Wahimizwa Kudumisha Mshikamano Ili Kukuza Uchumi wa Mkoa wa Kagera – RC Mwassa

    March 14, 2025
  • TULIPE KODI-RC MWASSA

    October 07, 2023
  • View All

Video

KAGERA REGION DOCUMENTARY
More Videos

Quick Links

  • Taratibu za biashara ya ndani
  • Barabara Kuu na ndogo za Mkoa
  • Radio Stations in Kagera Region
  • Kagera Regional Commissioners Since Independence 1961
  • Matokeo ya Darasa la VII 2018, Wanafunzi 10 Bora, Shule 10 Bora, Watakaojiunga Kidato cha I, 2019
  • Kitabu cha Mwongozo wa Uwekezaji Kagera 2019
  • FOMU YA USAJILI WA WAFANYABIASAHARA NA WADAU WA MKOA WA KAGERA, ZIARA YA KUTEMBELEA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI NA KATI KWA LENGO LA KUTAFUTA FURSA ZA BIASHARA NA UWEKEZAJI NOVEMBER, 2019.

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • National Bureau of Statistics (NBS)
  • Government of Tanzania Website
  • Open Data Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kagera

    Postal Address: S.L.P 299 BUKOBA

    Telephone: 255 28 2220215/17

    Mobile:

    Email: ras.kagera@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service
    • Hakimiliki

Copyright ©2017 GWF . All rights reserved.