• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
KAGERA REGIONAL WEBSITE

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government KAGERA REGIONAL WEBSITE

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Sections/Units
      • Sections
        • Management Monitoring and Ispection
        • Infrastructure
        • Education
          • Primary Education
          • Secondary Education
          • Adult Education
          • Higher Education
          • Sports
          • Youth
        • Health
          • Health
          • social welfare
        • Administration And HR
        • Planning & Coordination
          • Planning
          • Statistics
          • Community Development
          • TASAF
        • Economic and Production
          • Irrigation Farming
          • Commerce and Industries
          • Fishing
          • Livestock
          • Natural Resources, Tourism & Environment
          • Co operative
          • Agriculture
        • Investment Indusrty and Trade
      • Units
        • ICT
        • Legal Unit
        • Finance and Accounts
        • Internal Audit Unit
        • Procurement Unit
        • Government Communication
  • Districts
    • Bukoba
      • Bukoba Leaders
    • Biharamulo
      • Biharamulo Leaders
    • Karagwe
      • Karagwe Leaders
    • Kyerwa
      • Kyerwa Leaders
    • Missenyi
      • Missenyi Leaders
    • Muleba
      • Muleba Leaders
    • Ngara
      • Ngara Leaders
  • District Councils
    • Bukoba Municipal Council
    • Bukoba District Council
    • Biharamulo District Council
    • Karagwe District Council
    • Kyerwa District Council
    • Missenyi District Council
    • Muleba District Council
    • Ngara District Council
  • Investment Opportunities
    • Tourism Attractions
    • Farming Opportunities
    • Agricultural Opportunities
  • Services
    • Health Services
    • Education Services
    • Water Services
    • Agricultural Services
    • Farming Services
  • Publications
    • By Laws
    • Client Service Charter
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Forms
    • Guidelines
    • News Letter
  • Media Center
    • Videos
    • Press Release
    • Speeches
    • Photo Gallery

Wadau wa Ushirika Wakisikiliza kwa Makini Ufunguzi wa Jukwaa la Wadau wa Ushirika Mkoani Kagera Julai 18, 2017.

Posted on: July 18th, 2017

Wanaushirika Kagera Wapewa Changamoto ya Kufufua Ushirika Ili Kukuza Uchumi wa Mkoa Kama Miaka ya Nyuma

Wadau wa Vyama vya Ushirika Mkoani Kagera wakumbushwa kuvifufua Vyama vya Ushirika ili kukuza uchumi pia kutumia fursa ya ushirika kuanzisha viwanda ili kuendana na Sera ya Serikali ya Awamu ya Tano ya uchumi wa viwanda

Rai hiyo ilitolewa na Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Mstaafu Salum M. Kijuu aliyewakilishwa na Mkuu wa Wilaya ya Bukoba Deodatus Kinawilo katika mkutano wa Jukwaa la Wadau wa Ushirika lililoandaliwa Mkoani Kagera na kuwakutanisha wadau wa Ushiriki ili kujadili fursa za Ushirika na kuona jinsi ya kutatua changamoto zinazovikumba Vyama vya Ushirika ambapo Jukwaa hilo lilifanyika katika Hoteli ya Bukoba Coop Julai 18, 2017.

Katika hotuba yake ya ufunguzi wa  Jukwaa hilo la Wadau wa Ushirika Mkoani kagera Mkuu wa Mkoa Kijuu alikemea tabia ya baadhi ya viongozi wa Vyama vya Ushikia kuacha mara moja tabia ya ubadhirifu kwenye manunuzi mazao hasa kahawa ili Ushirika uweze kukua na kuinua uchumi wa wananchi pamoja na Mkoa kwa ujumla kama ilivyokuwa miaka ya nyuma.

Pia aliwaagiza Maafisa Ushirika wote wa Mkoa wa Kagera kuhakikisha wanavisimamia Vyama vyote vya Ushirika hasa katika kutoa taarifa za mapato na matumizi na kudhibiti ubadhilifu katika vyama hivyo kwa kuzingatia sheria namba 6 ya mwaka 2013 pamoja na vi pengere vyake.

Aidha, Mkuu wa Mkoa Kijuu aliwaasa wanachama wote wa Vyama vya Ushirika Mkoani Kagera kuhakikisha wanawachagua viongozi wenye maadili na maono ya kuendeleza Ushirika na sio viongozi walafi, ikiwa mwaka huu 2017 ni mwaka wa uchaguzi wa viongozi kwa Vyama vya Ushirika mkoani Kagera.

Mkuu wa Mkoa pia alivitaka Vyama vikuu viwili vya Ushirika Mkoani Kagera ambavyo ni Kager Co-operative Union 1990 Limited (KCU 1990 Ltd) na Karagwe Development Co-operative Union Ltd (KDCU Ltd) kuangalia upya vitega uchumi vyake kama mashamba, magari, maghara na uwekezji mwingine ambao hauna hati za umiliki kwani vimekuwa vikisababisha migogoro kwa wadau wegine ambapo vinatakiwa kuingiza kipato katika vyama hivyo ila badala yake havizalishi chochote.

Katika hatua nyingine Mrajisi wa Vyama vya Ushirika Tanzania bara Bw. Tito B. Haule aliwaasa Wanaushirika wa Mkoa wa Kagera kuvisisimamia Vyama vyao vya Ushirika kwani wao ndio waamuzi wakuu na siyo Serikali bali Serikali ni msimamizi na mlezi wa Vyama hivyo.

Mkoa wa Kagera una jumla ya vyama vya ushirika 665, kati ya hivyo 393 vipo hai na 272 vimesinzia. Vyama vya Ushirika vya mazao (AMCOS) ni 230 na vina jumla ya wanachama 67,506 wenye jumla ya hisa 289,156. Pia Vyama vya Ushirika wa Akiba na mikopo (SACCOS) vina jumla ya wanachama 57,905 na vina Hisa za shilingi 1,517,369. Akiba za shilingi10,586,894  na Amana za shilingi 1,892,086.

Announcements

  • No records found
  • View All

Latest News

  • Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Kagera Yaridhia Jimbo la Uchaguzi la Nkenge Kuitwa Jimbo la Uchaguzi Missenyi

    March 17, 2025
  • Mkuu wa Mkoa wa Mwassa Awashukuru Wabunge Kupitisha Fedha za Miradi ya Mapinduzi ya Kiuchumi Kagera

    March 14, 2025
  • Viongozi wa Dini Wahimizwa Kudumisha Mshikamano Ili Kukuza Uchumi wa Mkoa wa Kagera – RC Mwassa

    March 14, 2025
  • TULIPE KODI-RC MWASSA

    October 07, 2023
  • View All

Video

KAGERA REGION DOCUMENTARY
More Videos

Quick Links

  • Taratibu za biashara ya ndani
  • Barabara Kuu na ndogo za Mkoa
  • Radio Stations in Kagera Region
  • Kagera Regional Commissioners Since Independence 1961
  • Matokeo ya Darasa la VII 2018, Wanafunzi 10 Bora, Shule 10 Bora, Watakaojiunga Kidato cha I, 2019
  • Kitabu cha Mwongozo wa Uwekezaji Kagera 2019
  • FOMU YA USAJILI WA WAFANYABIASAHARA NA WADAU WA MKOA WA KAGERA, ZIARA YA KUTEMBELEA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI NA KATI KWA LENGO LA KUTAFUTA FURSA ZA BIASHARA NA UWEKEZAJI NOVEMBER, 2019.

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • National Bureau of Statistics (NBS)
  • Government of Tanzania Website
  • Open Data Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kagera

    Postal Address: S.L.P 299 BUKOBA

    Telephone: 255 28 2220215/17

    Mobile:

    Email: ras.kagera@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service
    • Hakimiliki

Copyright ©2017 GWF . All rights reserved.