• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
KAGERA REGIONAL WEBSITE

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government KAGERA REGIONAL WEBSITE

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Sections/Units
      • Sections
        • Management Monitoring and Ispection
        • Infrastructure
        • Education
          • Primary Education
          • Secondary Education
          • Adult Education
          • Higher Education
          • Sports
          • Youth
        • Health
          • Health
          • social welfare
        • Administration And HR
        • Planning & Coordination
          • Planning
          • Statistics
          • Community Development
          • TASAF
        • Economic and Production
          • Irrigation Farming
          • Commerce and Industries
          • Fishing
          • Livestock
          • Natural Resources, Tourism & Environment
          • Co operative
          • Agriculture
        • Investment Indusrty and Trade
      • Units
        • ICT
        • Legal Unit
        • Finance and Accounts
        • Internal Audit Unit
        • Procurement Unit
        • Government Communication
  • Districts
    • Bukoba
      • Bukoba Leaders
    • Biharamulo
      • Biharamulo Leaders
    • Karagwe
      • Karagwe Leaders
    • Kyerwa
      • Kyerwa Leaders
    • Missenyi
      • Missenyi Leaders
    • Muleba
      • Muleba Leaders
    • Ngara
      • Ngara Leaders
  • District Councils
    • Bukoba Municipal Council
    • Bukoba District Council
    • Biharamulo District Council
    • Karagwe District Council
    • Kyerwa District Council
    • Missenyi District Council
    • Muleba District Council
    • Ngara District Council
  • Investment Opportunities
    • Tourism Attractions
    • Farming Opportunities
    • Agricultural Opportunities
  • Services
    • Health Services
    • Education Services
    • Water Services
    • Agricultural Services
    • Farming Services
  • Publications
    • By Laws
    • Client Service Charter
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Forms
    • Guidelines
    • News Letter
  • Media Center
    • Videos
    • Press Release
    • Speeches
    • Photo Gallery

Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Nchini Awasili Mkoani Kagera Kwa Ziara ya Kikazi ya Siku Tatu Kutatua Changamoto Mbalimbali za Uhamiaji

Posted on: November 13th, 2019

Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Dkt. Anna Peter Makakala awasili Mkoani Kagera kwa ziara ya kikazi ya siku tatu mkoani hapa ambapo ziara yake itazihusisha Wilaya zote saba za Mkoa huo huku akishughulikia masuala mbaimbali yahusuyo Uhamiaji.

Akiongea na Waandishi wa Habari mara baada ya kupokelewa na Mkuu wa Mkoa ofisini kwake Dkt. Makakala alisema kuwa uwepo wa nchi jirani zinazopakana na Mkoa wa Kagera ni fursa kubwa  ya wananchi kufanya biashara na nchi hizo  mipakani lakini si fursa za uhamiaji haramu usiofuata sheria.

Dkt. Makakala akielezea namna Idara ya Uhamiaji walivyojipanga katika kipindi hiki cha uchaguzi hasa raia wasiokuwa Watanzania kushiriki katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa alisema kuwa kama ilivyo kwenye sheria ya uchaguzi pia uhamiaji wanayo sheria ya uraia kwajili ya kutoa elimu kwa wananchi ambao ni wapigakura na wagombea  kuhusu madhara ya wananchi wasio raia kupiga kura  au kuchaguliwa na wanaendelea kutoa elimu hiyo kwa wananchi.

Naye Mkuu wa Mkoa wa Kagera Brigedia Jenerali Marco E. Gaguti akielezea ujio wa Dkt. Makakala alisema amekuja kuongeza nguvu katika kazi ambayo imekuwa ikifanywa na uongozi wa mkoa kwa kushirikiana na Idara ya Uhamiaji kuondoa wahamiaji haramu pia kutoa elimu kwa wananchi kushirikiana na Serikali katika suala zima la uzalendo wa nchi yao.

“Katika kuhakikisha tunakomesha uhamiaji haramu sisi tumefanya kazi kubwa na Idara ya Uhamiaji imekuwa ya msaada mkubwa kwetu tumewabaini wengi na tumewarudisha makwao  kwa kufauata sheria, vilevile tulianzisha Mfumo wa Nyumba Kumi Bora za Usalama ili kuwajengea uwezo wananchi wenyewe kuhakikisha katika maeneo yao hakuna wahamiaji haramu  nahatua zinatakiwa kuchukuliwa kuanzia ngazi ya kaya. Alifafanua Mkuu wa Mkoa Gaguti.

Ikumbukwe kuwa  Novemba 8, 2019 Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mhe. Gaguti  akiwa katika Kijiji na  Kata ya Rutoro Wilayani Muleba alitoa onyo kali kwa wahamiaji haramu na wananchi Watanzania wanaowakaribisha wahamiaji hao kwa kuwasaidia  kupata vibali vya kuishi nchini kuwa mkono wa sheria utawafikia mahali popote watakapokuwa na  watarudishwa  kwao kama walivyoingia hata kama watakuwa wamechuma mali wataziacha zote hapa nchini.

Wito kwa wananchi wa Mkoa wa Kagera ni kutumia fursa za mipaka ya nchi jirani kufanya biashara ili kukuza uchumi wa mkoa wao lakini pia kuhakikisha kuwa hawawakaribishi watu wasiokuwa raia ambao hafuati sheria kutaka kuishi nchini, lakini pia kama kuna raia asiyekuwa Mtanzania na angependa kuishi nchini afuate taratibu na sheria za nchi ili aweze kuishi  kisheria hapa Tanzania.

Announcements

  • No records found
  • View All

Latest News

  • Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Kagera Yaridhia Jimbo la Uchaguzi la Nkenge Kuitwa Jimbo la Uchaguzi Missenyi

    March 17, 2025
  • Mkuu wa Mkoa wa Mwassa Awashukuru Wabunge Kupitisha Fedha za Miradi ya Mapinduzi ya Kiuchumi Kagera

    March 14, 2025
  • Viongozi wa Dini Wahimizwa Kudumisha Mshikamano Ili Kukuza Uchumi wa Mkoa wa Kagera – RC Mwassa

    March 14, 2025
  • TULIPE KODI-RC MWASSA

    October 07, 2023
  • View All

Video

KAGERA REGION DOCUMENTARY
More Videos

Quick Links

  • Taratibu za biashara ya ndani
  • Barabara Kuu na ndogo za Mkoa
  • Radio Stations in Kagera Region
  • Kagera Regional Commissioners Since Independence 1961
  • Matokeo ya Darasa la VII 2018, Wanafunzi 10 Bora, Shule 10 Bora, Watakaojiunga Kidato cha I, 2019
  • Kitabu cha Mwongozo wa Uwekezaji Kagera 2019
  • FOMU YA USAJILI WA WAFANYABIASAHARA NA WADAU WA MKOA WA KAGERA, ZIARA YA KUTEMBELEA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI NA KATI KWA LENGO LA KUTAFUTA FURSA ZA BIASHARA NA UWEKEZAJI NOVEMBER, 2019.

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • National Bureau of Statistics (NBS)
  • Government of Tanzania Website
  • Open Data Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kagera

    Postal Address: S.L.P 299 BUKOBA

    Telephone: 255 28 2220215/17

    Mobile:

    Email: ras.kagera@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service
    • Hakimiliki

Copyright ©2017 GWF . All rights reserved.