• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
KAGERA REGIONAL WEBSITE

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government KAGERA REGIONAL WEBSITE

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Sections/Units
      • Sections
        • Management Monitoring and Ispection
        • Infrastructure
        • Education
          • Primary Education
          • Secondary Education
          • Adult Education
          • Higher Education
          • Sports
          • Youth
        • Health
          • Health
          • social welfare
        • Administration And HR
        • Planning & Coordination
          • Planning
          • Statistics
          • Community Development
          • TASAF
        • Economic and Production
          • Irrigation Farming
          • Commerce and Industries
          • Fishing
          • Livestock
          • Natural Resources, Tourism & Environment
          • Co operative
          • Agriculture
        • Investment Indusrty and Trade
      • Units
        • ICT
        • Legal Unit
        • Finance and Accounts
        • Internal Audit Unit
        • Procurement Unit
        • Government Communication
  • Districts
    • Bukoba
      • Bukoba Leaders
    • Biharamulo
      • Biharamulo Leaders
    • Karagwe
      • Karagwe Leaders
    • Kyerwa
      • Kyerwa Leaders
    • Missenyi
      • Missenyi Leaders
    • Muleba
      • Muleba Leaders
    • Ngara
      • Ngara Leaders
  • District Councils
    • Bukoba Municipal Council
    • Bukoba District Council
    • Biharamulo District Council
    • Karagwe District Council
    • Kyerwa District Council
    • Missenyi District Council
    • Muleba District Council
    • Ngara District Council
  • Investment Opportunities
    • Tourism Attractions
    • Farming Opportunities
    • Agricultural Opportunities
  • Services
    • Health Services
    • Education Services
    • Water Services
    • Agricultural Services
    • Farming Services
  • Publications
    • By Laws
    • Client Service Charter
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Forms
    • Guidelines
    • News Letter
  • Media Center
    • Videos
    • Press Release
    • Speeches
    • Photo Gallery

Kampeini ya Msaada wa Kisheria Kwa Wananchi wa Kagera Yazinduliwa Rasmi Gymkhana Zaidi ya Wananchi 2000 Kuhudumiwa - RC Gaguti

Posted on: July 1st, 2019

Mkuu wa Mkoa wa Kagera Brigedia Jenerali Marco E. Gaguti azindua rasmi Kampeini ya siku tatu ya Msaada wa Kisheria kwa wananachi wenye kero au migogogro ya Ardhi, Mirathi, Kunyanyaswa kijinsia na kutelekezewa watoto kwa kusikilizwa na kutatuliwa kero zao.

Akizindua Kampeini hiyo Julai 1, 2019 Mkuu wa Mkoa Gaguti baada ya kutemblea ofisi za Wataalam kutoka idara mbalimbali zilizohamishiwa katika Viwanja vya Gymkhana Manispaa ya Bukoba alisema aliamua kufanya utatuzi wa kero za wananchi kwa pamoja kutokana na kero nyingi katika maeneo yaliyotajwa kufika mara kwa mara ofisini kwake kulalamika lakini ufumbuzi wa kero hizo unahitaji idara zaidi ya moja.

“Katika utatuzi huu wa kero za wananchi tukishirikiana na Shirika la MHOLA tumeamua kuleta msaada wa kisheria kwa wananchi kutatua kero za muda mrefu. Pia hapa tunao Wanasheria zaidi ya 15, tunao Maafisa wa Dawati la Jinsia na Upelelezi kutoka Jeshi la Polisi, Maafisa Kutoka TAKUKURU, Ustawi wa Jamii, Idara za Ardhi  pia Ofisi za Wakurugenzi wa Halmashauri za Bukoba na Manispaa ili kuhakikisha kero zote zinatatuliwa.” Alieleza Mhe. Gaguti  

Aidha, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa pia ilihamishiwa katika viwanja hivyo vya Gymkhana ili kero zinazoshindikana kwa watendaji wa ngazi mbalimbali na kutakiwa kusikilizwa moja kwa moja na Mkuu wa Mkoa mwenyewe ambapo Mhe. Gaguti alizisikiliza papo kwa hapo na kuzitolea ufumbuzi au kuelekeza utatuzi wake kwa mamlaka husika.

Hadi kufikia muda wa saa 7:00 mchana wakati Mkuu wa Mkoa Gaguti akiongea na Vyombo vya Habari tayari wananchi 140 walikuwa wamehudumiwa wanaume wakiwa 72, wanawake 68 na kati ya hao 140 wananchi 69 sawa na asilimia 49% walikuwa na kero za ardhi. Wananchi 46 sawa na asilimia 33% walikuwa na kero za Unyanyasaji wa kijinsia na kero nyingizo. Pia kwa upande wa malalamiko ya Mirathi wallijitokeza wananchi 25 sawa na asilimia 18%

Naye Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Gerazius Byakanwa alifika katika Viwanja vya Gymkhana kuona wananchi wa Mkoa wa Kagera wanavyopatiwa huduma za Msaada wa Kisheria chini ya uratibu wa Mkuu wa Mkoa na alitoa pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera namna kero za wananchi zinavyotatuliwa kwa mfumo wa kisasa na wenye ubunifu mkubwa kuliko ilivyokuwa zamani.

“Mtwara tunasikiliza kero za wananchi na kuzitatua lakini si kwa mfumo huu wa kukusanya idara zote husika na kuletwa pamoja kwa siku maalum ili kutatua kero hizo, siwezi kusema kuwa nitamuiga Mkuu wa Mkoa ila nimejifunza jambo kwake. Pia huko nyuma kero za wananchi zilikuwa hazisikilizwi ila kwasasa Serikali ipo karibu na wananchi wake ambao ni jambo jema.”  Alipongeza Mhe. Byakanwa.

Kampeini ya Msaada wa Kisheria kwa wananchi wa Mkoa wa Kagera imeanza Julai Mosi, 2019 na ni Kampeini ya siku tatu mfulrilizo ambapo wananchi zaidi ya 2000 wanatarajiwa kuhudumiwa pia Mkuu wa Mkoa Gaguti anaendelea kutoa wito kwa wananchi ambao wana kero wafike katika viwanja vya Gymkhana Manispaa ya Bukoba ili watatuliwe kero zao.

Announcements

  • No records found
  • View All

Latest News

  • Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Kagera Yaridhia Jimbo la Uchaguzi la Nkenge Kuitwa Jimbo la Uchaguzi Missenyi

    March 17, 2025
  • Mkuu wa Mkoa wa Mwassa Awashukuru Wabunge Kupitisha Fedha za Miradi ya Mapinduzi ya Kiuchumi Kagera

    March 14, 2025
  • Viongozi wa Dini Wahimizwa Kudumisha Mshikamano Ili Kukuza Uchumi wa Mkoa wa Kagera – RC Mwassa

    March 14, 2025
  • TULIPE KODI-RC MWASSA

    October 07, 2023
  • View All

Video

KAGERA REGION DOCUMENTARY
More Videos

Quick Links

  • Taratibu za biashara ya ndani
  • Barabara Kuu na ndogo za Mkoa
  • Radio Stations in Kagera Region
  • Kagera Regional Commissioners Since Independence 1961
  • Matokeo ya Darasa la VII 2018, Wanafunzi 10 Bora, Shule 10 Bora, Watakaojiunga Kidato cha I, 2019
  • Kitabu cha Mwongozo wa Uwekezaji Kagera 2019
  • FOMU YA USAJILI WA WAFANYABIASAHARA NA WADAU WA MKOA WA KAGERA, ZIARA YA KUTEMBELEA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI NA KATI KWA LENGO LA KUTAFUTA FURSA ZA BIASHARA NA UWEKEZAJI NOVEMBER, 2019.

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • National Bureau of Statistics (NBS)
  • Government of Tanzania Website
  • Open Data Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kagera

    Postal Address: S.L.P 299 BUKOBA

    Telephone: 255 28 2220215/17

    Mobile:

    Email: ras.kagera@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service
    • Hakimiliki

Copyright ©2017 GWF . All rights reserved.