• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
KAGERA REGIONAL WEBSITE

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government KAGERA REGIONAL WEBSITE

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Sections/Units
      • Sections
        • Management Monitoring and Ispection
        • Infrastructure
        • Education
          • Primary Education
          • Secondary Education
          • Adult Education
          • Higher Education
          • Sports
          • Youth
        • Health
          • Health
          • social welfare
        • Administration And HR
        • Planning & Coordination
          • Planning
          • Statistics
          • Community Development
          • TASAF
        • Economic and Production
          • Irrigation Farming
          • Commerce and Industries
          • Fishing
          • Livestock
          • Natural Resources, Tourism & Environment
          • Co operative
          • Agriculture
        • Investment Indusrty and Trade
      • Units
        • ICT
        • Legal Unit
        • Finance and Accounts
        • Internal Audit Unit
        • Procurement Unit
        • Government Communication
  • Districts
    • Bukoba
      • Bukoba Leaders
    • Biharamulo
      • Biharamulo Leaders
    • Karagwe
      • Karagwe Leaders
    • Kyerwa
      • Kyerwa Leaders
    • Missenyi
      • Missenyi Leaders
    • Muleba
      • Muleba Leaders
    • Ngara
      • Ngara Leaders
  • District Councils
    • Bukoba Municipal Council
    • Bukoba District Council
    • Biharamulo District Council
    • Karagwe District Council
    • Kyerwa District Council
    • Missenyi District Council
    • Muleba District Council
    • Ngara District Council
  • Investment Opportunities
    • Tourism Attractions
    • Farming Opportunities
    • Agricultural Opportunities
  • Services
    • Health Services
    • Education Services
    • Water Services
    • Agricultural Services
    • Farming Services
  • Publications
    • By Laws
    • Client Service Charter
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Forms
    • Guidelines
    • News Letter
  • Media Center
    • Videos
    • Press Release
    • Speeches
    • Photo Gallery

Kikao cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa Kikiendelea Katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa kagera

Posted on: March 9th, 2018

Wananchi Waagizwa Kuwa na Ekari Moja na Zao la Chakula na Biashara na Kula Matunda Kuondoa Udumavu na Utapiamlo Mkoani Kagera

Wananchi Mkoani Kagera waagizwa kila mmoja kulima  ekari moja ya zao la chakula na zao la biashara ili kuhakikisha kuwa kila familia inakuwa na chakula chakutosha pia inakuwa na zao la biashara ili kila mwananchi aweze kujiingizia kipato kuondokana na umasikini.

Agizo hilo limetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Mstaafu Salum M. Kijuu katika kikao cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa (RCC) ambapo aliwaagiza Wakuu wa Wilaya wote wa Mkoa wa Kagera kuhakikisha wanasimamia agizo hilo katika Wilaya zao ili mkoa uzalishe chakula cha kutosha.

Mkuu wa Mkoa Kijuu katika kuhakikisha agizo lake linatekelezwa aliwasistiza Wakuu wa Wilaya kuhakikisha wanawasimamia watendaji walioko chini yao kuorodhesha kila mwananchi  mwenye uwezo wa kufanya kazi kwenye kaya ili ajulikane na kuonesha shamba lake la zao la chakula na biashara.

“Mkoa huu hautakiwi kuwa na umasikini kwasababu una hali nzuri ya hewa, misimu miwili ya mvua,  una ardhi yenye rutuba  na ya kutosha  kwa kilimo. Hakuna haja ya vijana kukimbili katika shughuli za bodaboda wakati kuna fursa ya kilimo, lazima tulisimamie hili kwa nguvu zote.” Alisistiza Mhe. Kijuu.

Aidha, Mhe. Kijuu alibainisha kuwa Mkoa wa Kagera kuna matunda mengi lakini wananchi  hawana tabia ya kula matunda na kupelekea watoto wengi kuwa na utapiamlo na udumavu ambapo alisisitiza juu ya Kampeini yake ya kupanda miche ya miti ya matunda na kila kaya kupanda miti mitano ya matunda na kuitunza.

Mwaka 2017/2018 Mkoa wa Kagera umeweka lengo la kuzalisha  tani 3,876,000 za mazao ya nafaka hadi kufikia mwezi Februari, 2018 mkoa tayari umezalisha tani 2,551,000 sawa na asilimia (65%) ya lengo la uzalishaji wa mazao ya nafaka.

Katika hatua nyingine kikao hicho cha Ushauri cha Mkoa wa Kagera kimeridhia na kuidhinisha kiasi cha shilingi 387,774,822,000/= kwa ajili ya miradi ya maendeleo na matumizi ya kawaida kwa mwaka wa fedha 2018/2018 ambapo matumizi ya kawaida zitatumika shilingi 294,664,409,000/=

Mishahara shilingi 274,351,117,000/= na matumizi mengineyo shilingi 20,313,292,000/=, shilingi 66,794,398,000/= ni kwaajili ya kutekeleza miradi ya maendeleo, na shilingi 17,316,015,000/= zitakusanywa kutoka vyanzo mbalimbali vya ndani ya mkoa  kwajili ya kugharimia shughuli za maendeleo na za kawaida

Announcements

  • No records found
  • View All

Latest News

  • Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Kagera Yaridhia Jimbo la Uchaguzi la Nkenge Kuitwa Jimbo la Uchaguzi Missenyi

    March 17, 2025
  • Mkuu wa Mkoa wa Mwassa Awashukuru Wabunge Kupitisha Fedha za Miradi ya Mapinduzi ya Kiuchumi Kagera

    March 14, 2025
  • Viongozi wa Dini Wahimizwa Kudumisha Mshikamano Ili Kukuza Uchumi wa Mkoa wa Kagera – RC Mwassa

    March 14, 2025
  • TULIPE KODI-RC MWASSA

    October 07, 2023
  • View All

Video

KAGERA REGION DOCUMENTARY
More Videos

Quick Links

  • Taratibu za biashara ya ndani
  • Barabara Kuu na ndogo za Mkoa
  • Radio Stations in Kagera Region
  • Kagera Regional Commissioners Since Independence 1961
  • Matokeo ya Darasa la VII 2018, Wanafunzi 10 Bora, Shule 10 Bora, Watakaojiunga Kidato cha I, 2019
  • Kitabu cha Mwongozo wa Uwekezaji Kagera 2019
  • FOMU YA USAJILI WA WAFANYABIASAHARA NA WADAU WA MKOA WA KAGERA, ZIARA YA KUTEMBELEA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI NA KATI KWA LENGO LA KUTAFUTA FURSA ZA BIASHARA NA UWEKEZAJI NOVEMBER, 2019.

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • National Bureau of Statistics (NBS)
  • Government of Tanzania Website
  • Open Data Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kagera

    Postal Address: S.L.P 299 BUKOBA

    Telephone: 255 28 2220215/17

    Mobile:

    Email: ras.kagera@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service
    • Hakimiliki

Copyright ©2017 GWF . All rights reserved.