• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
KAGERA REGIONAL WEBSITE

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government KAGERA REGIONAL WEBSITE

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Sections/Units
      • Sections
        • Management Monitoring and Ispection
        • Infrastructure
        • Education
          • Primary Education
          • Secondary Education
          • Adult Education
          • Higher Education
          • Sports
          • Youth
        • Health
          • Health
          • social welfare
        • Administration And HR
        • Planning & Coordination
          • Planning
          • Statistics
          • Community Development
          • TASAF
        • Economic and Production
          • Irrigation Farming
          • Commerce and Industries
          • Fishing
          • Livestock
          • Natural Resources, Tourism & Environment
          • Co operative
          • Agriculture
        • Investment Indusrty and Trade
      • Units
        • ICT
        • Legal Unit
        • Finance and Accounts
        • Internal Audit Unit
        • Procurement Unit
        • Government Communication
  • Districts
    • Bukoba
      • Bukoba Leaders
    • Biharamulo
      • Biharamulo Leaders
    • Karagwe
      • Karagwe Leaders
    • Kyerwa
      • Kyerwa Leaders
    • Missenyi
      • Missenyi Leaders
    • Muleba
      • Muleba Leaders
    • Ngara
      • Ngara Leaders
  • District Councils
    • Bukoba Municipal Council
    • Bukoba District Council
    • Biharamulo District Council
    • Karagwe District Council
    • Kyerwa District Council
    • Missenyi District Council
    • Muleba District Council
    • Ngara District Council
  • Investment Opportunities
    • Tourism Attractions
    • Farming Opportunities
    • Agricultural Opportunities
  • Services
    • Health Services
    • Education Services
    • Water Services
    • Agricultural Services
    • Farming Services
  • Publications
    • By Laws
    • Client Service Charter
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Forms
    • Guidelines
    • News Letter
  • Media Center
    • Videos
    • Press Release
    • Speeches
    • Photo Gallery

Kiongozi wa Mbio za Mwenge Amour Hamad Amour Akizindua Ghara la Mazao Wilayani Biharamulo

Posted on: August 1st, 2017

Mwenge wa Uhuru Wapokelewa Mkoani Kagera na Umeanza Kuzindua Miradi Yenye Thamani ya Zaidi ya Shilingi Bilioni 20 

Mwenge wa Uhuru umepokelewa leo Agosti 1, 2017 Mkoani Kagera na Mkuu wa Mkoa Meja Jenerali Mstaafu Salum M. Kijuu kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Brigedia Emanuel Maganga katika Kijiji cha Kalenge mpakani mwa Kigoma na Kagera ambapo katika Mkoa wa Kagera Mwenge wa Uhuru unatarajia kupitia jumla ya miradi 66 yenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 20.

Katika miradi hiyo 66 Mwenge wa Uhuru utazindua miradi 36, utakagua miradi 10, utaweka mawe ya msingi katika miradi 20 aidha,  mchanganuo wa gharama za miradi hiyo 66 itakayopitiwa na Mwenge wa Uhuru Serikali kuu imechangia kiasi cha shilingi 5,054,041,775 sawa asilimia 25%.

 Halmashauri za Wilaya zimechangia  kiasi cha shilingi 499,782,895 sawa na asilimia 3% Aidha wananchi wamechangia shilingi 8,441,593,693 sawa na asilimia 46%  Wahisani wamechangia shilingi 5,178,273,867 sawa na asilimia 26%. 

Mwenge wa Uhuru mwaka huu umebeba kaulimbiu isemayo “Shiriki Kukuza Uchumi wa Viwanda kwa Maendeleo ya Nchi yetu.” Kauli mbiu hii inawahamasisha wananchi hususani wa Mkoa wa Kagera kushiriki kikamilifu katika shughuli za kuichumi ambazo zinatoa fursa za kuanzisha na kutumia viwanda katika kusindika mazao na bidhaa mbalimbali zinazopatikana katika mkoa wetu ili kukuza uchumi wetu kwa maendeleo ya Mkoa na Taifa letu kwa ujumla.

Mara baada ya kupokea Mwenge huo wa Uhuru Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mhe. Kijuu alimkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Biharamulo Mhe. Saada Malunde na Mwenge wa Uhuru ukaanza mara moja mbio zake wilayani humo za kukagua miradi ya maendelo ambapo moja ya miradi iliyokaguliwa na Kiongozi wa mbio za Mwenge Amour Hamad Amour ni kituo cha Afya cha Nemba  chenye thamani ya shilingi milioni 66.

Mwenge wa Uhuru ukiwa Mkoani Kagera Agosti 2, 2017 unatarajia kukabidhiwa Wilayani Ngara na kuendelea mbio zake Wilayani humo.

 

Announcements

  • No records found
  • View All

Latest News

  • Mwenge wa Uhuru Mwaka 2025 Kupitia Miradi Yenye Thamani ya Shilingi Bilioni 23.8

    September 07, 2025
  • Mwenge wa Uhuru Mwaka 2025 Kupitia Miradi Yenye Thamani ya Shilingi Bilioni 23.8

    September 07, 2025
  • Mamlaka ya Mapato Tanzania Mkoa wa Kagera Yafungu Dawati Maalu la Uwezeshaji Wafanyabiashara

    September 03, 2025
  • Nsekela Stadium Yazinduliwa Rasmi Kyerwa - Kagera

    August 29, 2025
  • View All

Video

KAGERA REGION DOCUMENTARY
More Videos

Quick Links

  • Taratibu za biashara ya ndani
  • Barabara Kuu na ndogo za Mkoa
  • Radio Stations in Kagera Region
  • Kagera Regional Commissioners Since Independence 1961
  • Matokeo ya Darasa la VII 2018, Wanafunzi 10 Bora, Shule 10 Bora, Watakaojiunga Kidato cha I, 2019
  • Kitabu cha Mwongozo wa Uwekezaji Kagera 2019
  • FOMU YA USAJILI WA WAFANYABIASAHARA NA WADAU WA MKOA WA KAGERA, ZIARA YA KUTEMBELEA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI NA KATI KWA LENGO LA KUTAFUTA FURSA ZA BIASHARA NA UWEKEZAJI NOVEMBER, 2019.

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • National Bureau of Statistics (NBS)
  • Government of Tanzania Website
  • Open Data Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kagera

    Postal Address: S.L.P 299 BUKOBA

    Telephone: 255 28 2220215/17

    Mobile:

    Email: ras.kagera@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service
    • Hakimiliki

Copyright ©2017 GWF . All rights reserved.