• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
KAGERA REGIONAL WEBSITE

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government KAGERA REGIONAL WEBSITE

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Sections/Units
      • Sections
        • Management Monitoring and Ispection
        • Infrastructure
        • Education
          • Primary Education
          • Secondary Education
          • Adult Education
          • Higher Education
          • Sports
          • Youth
        • Health
          • Health
          • social welfare
        • Administration And HR
        • Planning & Coordination
          • Planning
          • Statistics
          • Community Development
          • TASAF
        • Economic and Production
          • Irrigation Farming
          • Commerce and Industries
          • Fishing
          • Livestock
          • Natural Resources, Tourism & Environment
          • Co operative
          • Agriculture
        • Investment Indusrty and Trade
      • Units
        • ICT
        • Legal Unit
        • Finance and Accounts
        • Internal Audit Unit
        • Procurement Unit
        • Government Communication
  • Districts
    • Bukoba
      • Bukoba Leaders
    • Biharamulo
      • Biharamulo Leaders
    • Karagwe
      • Karagwe Leaders
    • Kyerwa
      • Kyerwa Leaders
    • Missenyi
      • Missenyi Leaders
    • Muleba
      • Muleba Leaders
    • Ngara
      • Ngara Leaders
  • District Councils
    • Bukoba Municipal Council
    • Bukoba District Council
    • Biharamulo District Council
    • Karagwe District Council
    • Kyerwa District Council
    • Missenyi District Council
    • Muleba District Council
    • Ngara District Council
  • Investment Opportunities
    • Tourism Attractions
    • Farming Opportunities
    • Agricultural Opportunities
  • Services
    • Health Services
    • Education Services
    • Water Services
    • Agricultural Services
    • Farming Services
  • Publications
    • By Laws
    • Client Service Charter
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Forms
    • Guidelines
    • News Letter
  • Media Center
    • Videos
    • Press Release
    • Speeches
    • Photo Gallery

Kiwanda cha Kusindika Kahawa TANICA Kilichopo Manispaa ya Bukoba Mkoani Kagera

Posted on: November 21st, 2017

Mkoa wa Kagera Katika Kutekeleza Sera ya Serikali ya Awamu ya Tano ya Tanzania ya Viwanda

Mkoa wa Kagera ni miongoni mwa Mikoa yenye fursa nyingi na muhimu za uwekezaji kwa maendeleo ya ukuaji wa uchumi na ustawi wa kijamii. Mkoa unayo hali ya hewa nzuri, mvua za kutosha misimu miwili kwa mwaka, ardhi ya kutosha na yenye rutuba, vyanzo vya maji vya kutosha pamoja na fursa ya kijiografia ya kupakana na chini zote za Afrika Mashariki za Uganda, Rwanda, Burundi na Kenya kwa upande za Ziwa Victoria.

Mkoa wa Kagera unavyo viwanda vikubwa tisa (9), ambavyo mchango wake katika uchumi ni mkubwa kwenye ajira ya zaidi ya (1,050), mapato ya Serikali na huduma mbalimbali kijamii. Kagera Sugar ni kiwanda pekee cha Sukari katika Kanda ya Ziwa kilichopo Wilayani Missenyi na kinatoa ajira zaidi ya 5,000. Viwanda vya kuchakata minofu ya samaki vya Supreme Pearch Ltd kinachotoa ajira ya zaidi 300 kipo Nyamukazi Manispaa ya Bukoba, na Kagera Fish Co Ltd kinachotoa ajira ya zaidi 60 na kipo eneo la Kemondo Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba.

Viwanda vingine ni viwanda vya kusindika kahawa ambavyo ni Amir Hamza (T) Ltd kinachotoa ajira ya zaidi 70 kipo Manispaa ya Bukoba, TANICA kinachotoa ajira ya zaidi 120 kipo Kastamu Manispaa ya Bukoba, Olam (T) Ltd kinachotoa ajira ya zaidi 250 kipo Wilayani Missenyi, BUKOP Ltd kipo Manispaa ya Bukoba, Kiwanda cha Chai Kagera kinachotoa ajira ya zaidi 200 kilichopo Maruku Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba, na Kiwanda cha Maji cha Bunena kinachotoa ajira ya zaidi ya 50 na kipo Bunena Manispaa ya Bukoba.

Aidha, viwanda ambavyo ujenzi wake unaendelea ni pamoja na Kiwanda cha Maharage cha KADERES Plc Wilayani Karagwe, Kiwanda cha nyanya cha Victorius Edibles Ltd Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba, na Kiwanda cha Maji, Juisi na Mvinyo cha MAYAWA Manispaa ya Bukoba. Viwanda hivi vinatarajiwa kukamilika mapema mwaka 2018.

Mkoa wa Kagera tayari umeainisha na kutenga maeneo yenye ukubwa wa takribani hekta 57,000 kwa ajili ya uwekezaji na ujenzi wa viwanda. Vilevile, ili kuhakikisha fursa zilizopo zinatumika kikamilifu kwenye kila wilaya, uongozi wa mkoa umejiwekea Mkakati wa Wilaya Moja Bidhaa Moja Kiwanda Kimoja ili ndani ya muda mfupi kila wilaya walau iwe imejenga kiwanda kimoja kikubwa kwa kutumia rasirimali na fursa zilizopo kwa kushirikiana na Wadau wa sekta binafsi ambayo ndiyo injini ya uchumi.

Katika kuendelea kutekeleza Sera ya Serikali ya Awamu ya Tano ya Tanzania ya Viwanda mkoa wa Kagera una mikakati ya kuendelea kujenga viwanda ambapo tayari umepata  Wawekezaji Wanne (4) walioonesha nia ya kuwekeza katika ujenzi wa viwanda vikubwa kama ifuatavyo;

GESAP Agro Farming Kiwanda cha Maziwa (Missenyi), KADERES Plc kiwanda cha Kahawa na Novath Mzee Kiwanda cha Maji (Muleba), ujenzi umeanza). Ben Build Investment Ltd kiwanda cha vifaa vya ujenzi (Karagwe). Mkoa unazidi kuwahamasisha Wawekezaji wote wa ndani na nje ya Mkoa kuja Kagera kujenga na kuwekeza katika viwanda kwani mazingira ni mazuri na watapata ushirikiano mkubwa  kutoka kwenye uongozi wa Mkoa katika ngazi zote.

Announcements

  • No records found
  • View All

Latest News

  • Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Kagera Yaridhia Jimbo la Uchaguzi la Nkenge Kuitwa Jimbo la Uchaguzi Missenyi

    March 17, 2025
  • Mkuu wa Mkoa wa Mwassa Awashukuru Wabunge Kupitisha Fedha za Miradi ya Mapinduzi ya Kiuchumi Kagera

    March 14, 2025
  • Viongozi wa Dini Wahimizwa Kudumisha Mshikamano Ili Kukuza Uchumi wa Mkoa wa Kagera – RC Mwassa

    March 14, 2025
  • TULIPE KODI-RC MWASSA

    October 07, 2023
  • View All

Video

KAGERA REGION DOCUMENTARY
More Videos

Quick Links

  • Taratibu za biashara ya ndani
  • Barabara Kuu na ndogo za Mkoa
  • Radio Stations in Kagera Region
  • Kagera Regional Commissioners Since Independence 1961
  • Matokeo ya Darasa la VII 2018, Wanafunzi 10 Bora, Shule 10 Bora, Watakaojiunga Kidato cha I, 2019
  • Kitabu cha Mwongozo wa Uwekezaji Kagera 2019
  • FOMU YA USAJILI WA WAFANYABIASAHARA NA WADAU WA MKOA WA KAGERA, ZIARA YA KUTEMBELEA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI NA KATI KWA LENGO LA KUTAFUTA FURSA ZA BIASHARA NA UWEKEZAJI NOVEMBER, 2019.

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • National Bureau of Statistics (NBS)
  • Government of Tanzania Website
  • Open Data Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kagera

    Postal Address: S.L.P 299 BUKOBA

    Telephone: 255 28 2220215/17

    Mobile:

    Email: ras.kagera@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service
    • Hakimiliki

Copyright ©2017 GWF . All rights reserved.