• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
KAGERA REGIONAL WEBSITE

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government KAGERA REGIONAL WEBSITE

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Sections/Units
      • Sections
        • Management Monitoring and Ispection
        • Infrastructure
        • Education
          • Primary Education
          • Secondary Education
          • Adult Education
          • Higher Education
          • Sports
          • Youth
        • Health
          • Health
          • social welfare
        • Administration And HR
        • Planning & Coordination
          • Planning
          • Statistics
          • Community Development
          • TASAF
        • Economic and Production
          • Irrigation Farming
          • Commerce and Industries
          • Fishing
          • Livestock
          • Natural Resources, Tourism & Environment
          • Co operative
          • Agriculture
        • Investment Indusrty and Trade
      • Units
        • ICT
        • Legal Unit
        • Finance and Accounts
        • Internal Audit Unit
        • Procurement Unit
        • Government Communication
  • Districts
    • Bukoba
      • Bukoba Leaders
    • Biharamulo
      • Biharamulo Leaders
    • Karagwe
      • Karagwe Leaders
    • Kyerwa
      • Kyerwa Leaders
    • Missenyi
      • Missenyi Leaders
    • Muleba
      • Muleba Leaders
    • Ngara
      • Ngara Leaders
  • District Councils
    • Bukoba Municipal Council
    • Bukoba District Council
    • Biharamulo District Council
    • Karagwe District Council
    • Kyerwa District Council
    • Missenyi District Council
    • Muleba District Council
    • Ngara District Council
  • Investment Opportunities
    • Tourism Attractions
    • Farming Opportunities
    • Agricultural Opportunities
  • Services
    • Health Services
    • Education Services
    • Water Services
    • Agricultural Services
    • Farming Services
  • Publications
    • By Laws
    • Client Service Charter
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Forms
    • Guidelines
    • News Letter
  • Media Center
    • Videos
    • Press Release
    • Speeches
    • Photo Gallery

Mkoa wa Kagera Wapokea Magari Matano Kusaidi Kufanikisha Zoezi la Sensa ya Watu na Makazi

Posted on: August 24th, 2022

Ikiwa ni siku ya pili Agosti 24, 2022 tangu kuanza kwa zoezi la kuhesabu watu, la Sensa ya Watu na Makazi, Mkoa wa Kagera umepokea magari matano kutoka Ofisi ya Takwimu ya Taifa kwa ajili ya kusaidia katika zoezi hilo kwa kurahisisha kufika kwa urahisi na kwa wakatimaeneo yenye changamoto

Akizungumza mara baada ya kupokea magari hayo, Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Mhe. Albert Chalamila alimshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan kwa kuona umuhimu na kupokea hitaji la Wanakagera kuhusu uhaba wa magari katika kukabiliana na changamoto zinazoweza kujitokeza wakati wa zoezi la Sensa na kuupa kipaumbele Mkoa wa Kagera kwa kutoa magari hayo matano yanayokwenda kwenye Wilaya kwa ajili ya shughuli za ufuatiliaji wa zoezi hilo

“Tumeomba magari haya ili zoezi la sensa lisikwame pale inapotokea changamoto katika Halmashauri, tunazo Halmashauri nane na Wilaya saba,leo tunakabidhi magari haya matano ambayo yatakwenda kwenye Wilaya kufanya kazi ya ufuatiliaji ili Mkoa wetu upate takwimu sahihi kuhusiana na Watu na Makazi itakayowezesha kupanga mipango sahihi ya Maendeleo”, alieleza Mhe. Chalamila

Mkuu wa Mkoa Mheshmiiwa Chalamila aliendelea kueleza kuwa siku ya Agosti 23, 2022 wananchi walionesha mwitikio mzuri kuhusu kuhesabiwa aidha, rai kwa wale ambao wanafanya mizaha kwenye mitandao ya kijamii kuwa zoezi hilo si zoezi la utani bali ni  zoezi lenye manufaa makubwa kwa Taifa la Tanzania kupata takwimu sahihi. Pia alisisitiza wananchi kuendelea  kujitokeza kuhesabiwa kwani inawezekana Mkoa wa Kagera hauna miundombinu ya kijamii mizuri kutokana na kutokuwa na takwimu sahihi ,hivyo kwa kuhesabiwa Serikali inaenda kupata takwimu sahihi na kuleta maendeleo yanayostahili Kagera.

Kwa upande wake Katibu Tawala wa Mkoa wa Kagera, Ndg. Toba Nguvila alieleza kuwa kutokana na jografia ya Mkoa wa Kagera, yapo baadhi ya maeneo ni magumu kufikika kirahisi. Hivyo magari yaliyotolewa yatasaidia kufikaka kirahisi na kwa wakati. Pia alimshukuru Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuliona hitaji hilo ambalo liliwasilishwa na Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa kuomba magari 15 kwa ajili ya kusaidia kwenye zoezi la Sensa ya Watu na Makazi ili zoezi hilo liweze kufanikiwa kwa ufanisi.

Announcements

  • No records found
  • View All

Latest News

  • Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Kagera Yaridhia Jimbo la Uchaguzi la Nkenge Kuitwa Jimbo la Uchaguzi Missenyi

    March 17, 2025
  • Mkuu wa Mkoa wa Mwassa Awashukuru Wabunge Kupitisha Fedha za Miradi ya Mapinduzi ya Kiuchumi Kagera

    March 14, 2025
  • Viongozi wa Dini Wahimizwa Kudumisha Mshikamano Ili Kukuza Uchumi wa Mkoa wa Kagera – RC Mwassa

    March 14, 2025
  • TULIPE KODI-RC MWASSA

    October 07, 2023
  • View All

Video

KAGERA REGION DOCUMENTARY
More Videos

Quick Links

  • Taratibu za biashara ya ndani
  • Barabara Kuu na ndogo za Mkoa
  • Radio Stations in Kagera Region
  • Kagera Regional Commissioners Since Independence 1961
  • Matokeo ya Darasa la VII 2018, Wanafunzi 10 Bora, Shule 10 Bora, Watakaojiunga Kidato cha I, 2019
  • Kitabu cha Mwongozo wa Uwekezaji Kagera 2019
  • FOMU YA USAJILI WA WAFANYABIASAHARA NA WADAU WA MKOA WA KAGERA, ZIARA YA KUTEMBELEA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI NA KATI KWA LENGO LA KUTAFUTA FURSA ZA BIASHARA NA UWEKEZAJI NOVEMBER, 2019.

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • National Bureau of Statistics (NBS)
  • Government of Tanzania Website
  • Open Data Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kagera

    Postal Address: S.L.P 299 BUKOBA

    Telephone: 255 28 2220215/17

    Mobile:

    Email: ras.kagera@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service
    • Hakimiliki

Copyright ©2017 GWF . All rights reserved.