• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
KAGERA REGIONAL WEBSITE

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government KAGERA REGIONAL WEBSITE

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Sections/Units
      • Sections
        • Management Monitoring and Ispection
        • Infrastructure
        • Education
          • Primary Education
          • Secondary Education
          • Adult Education
          • Higher Education
          • Sports
          • Youth
        • Health
          • Health
          • social welfare
        • Administration And HR
        • Planning & Coordination
          • Planning
          • Statistics
          • Community Development
          • TASAF
        • Economic and Production
          • Irrigation Farming
          • Commerce and Industries
          • Fishing
          • Livestock
          • Natural Resources, Tourism & Environment
          • Co operative
          • Agriculture
        • Investment Indusrty and Trade
      • Units
        • ICT
        • Legal Unit
        • Finance and Accounts
        • Internal Audit Unit
        • Procurement Unit
        • Government Communication
  • Districts
    • Bukoba
      • Bukoba Leaders
    • Biharamulo
      • Biharamulo Leaders
    • Karagwe
      • Karagwe Leaders
    • Kyerwa
      • Kyerwa Leaders
    • Missenyi
      • Missenyi Leaders
    • Muleba
      • Muleba Leaders
    • Ngara
      • Ngara Leaders
  • District Councils
    • Bukoba Municipal Council
    • Bukoba District Council
    • Biharamulo District Council
    • Karagwe District Council
    • Kyerwa District Council
    • Missenyi District Council
    • Muleba District Council
    • Ngara District Council
  • Investment Opportunities
    • Tourism Attractions
    • Farming Opportunities
    • Agricultural Opportunities
  • Services
    • Health Services
    • Education Services
    • Water Services
    • Agricultural Services
    • Farming Services
  • Publications
    • By Laws
    • Client Service Charter
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Forms
    • Guidelines
    • News Letter
  • Media Center
    • Videos
    • Press Release
    • Speeches
    • Photo Gallery

Mkoa wa Kagera Washiriki Katika Kikao Cha Kuboresha Usafirishaji wa Samaki Nje ya Nchi Kupitia Uwanja wa Ndege wa Mwanza

Posted on: June 2nd, 2020

Mkoa  wa Kagera washiriki katika kikao cha pamoja  cha kujadili mikakati ya usafirshaji samaki na mazao yake  nje ya nchi kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwanza ambapo kikao hicho  kilichofanyika Jijini Mwanza Juni 1, 2020 kilizishirikisha Wizara tatu za Viwanda na Biashara, Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano,  Mifugo na Uvuvi  pamoja na Mikoa ya Kagera Mwanza na Mara.

Waziri wa  Ujenzi , Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isack Kamwelwe  ambaye aliongoza kikao hicho wakati wa ufunguzi  alisema kuwa lengo la kikao ilikuwa ni  kuondoa vikwazo vyote kwa kushirikisha sekta zote zikiwemo Wizara na mikoa kuhakikisha Samaki na mazao yake kutoka Tanzania yafika kwenye masoko duniani kwa wakati.

Waziri Kamwelwe alisema kuwa wanufaika wakubwa katika usafirishaji wa samaki na mazao yake ni Mamlaka ya Viwanja vya Ndege, Mamlaka ya udhibiti wa Hali ya Hewa pamoja na Mamlaka ya Mapato Tanzania lakini ikiwa ni pamoja na kuongeza ajira kwa wavuvi na kutoa fursa kwa viwanda vya ndani kusindika na kusafirisha  mzigo wa kutosha kwenda nchi za Ulaya.

“Lengo kuu la kutaka kuboresha usafirishaji wa Samaki ni kutaka pia kuongeza bidhaa nyingine za mifugo na kilimo, mfano katika Safari nne ambazo Shirika la Rwanda na Ethiopia yamefanya imebainika kuwa mashirika hayo yanahitaji kiwango kikubwa cha mzigo aidha, mzigo huo uwe wa uhakika”. Alisisitiza Waziri Kamwelwe.

Katika upande wa wasafirishaji au wamiliki wa Viwanda wanaiomba Serikali kupunguza tozo za usafirishaji ili kushindana na washindani wengine katika biashara ya usafirishaji wa Samaki na mazao yake . Mkoa wa Kagera katika Kikao hicho uliwakilishwa na Mkuu wa Mkoa wa Kagera Brigedia Jenerali Marco E. Gaguti

Kikao hicho kilikubaliana kuchukua hatua  za haraka ili kuhakikisha Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa  Mwanza unatoa huduma bora hasa katika usafirishaji wa mizigo na makubaliano hayo ni kama ifuatavyo: Ujengwe uzio kuzunguka Uwanja wa Kimataifa wa Mwanza, Kuweka mpango Mkakati wa kuhakikisha tani 200 za samaki zinazozalishwa kila siku na viwanda vyote nchini zinasafirishwa kupitia uwanja wa Ndege wa Mwanza  badala ya tani 67 tu.

Aidha, wajumbe wa kikao hicho walikubaliana kupanua mnyororo wa thamani katika usafirishaji ili mashirika ya Ndege yapate mzigo wa kutosha hasa katika mazao ya kilimo na mifugo ambapo Wizara za Elimu, Mipango na fedha  pamoja na Kilimo zitashirikishwa katika vikao vijavyo ili kuhakikisha wanakuwa katika mpango mzima wa mnyororo wa thamani.

Mwisho kikosi kazi cha Makatibu Wakuu wa Wizara husika waliagizwa na Kikao kuanza kazi mara moja ili kuhakikisha makubaliano yote yanatekelezwa kwa wakati bila mkwamo wowote.

Announcements

  • No records found
  • View All

Latest News

  • Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Kagera Yaridhia Jimbo la Uchaguzi la Nkenge Kuitwa Jimbo la Uchaguzi Missenyi

    March 17, 2025
  • Mkuu wa Mkoa wa Mwassa Awashukuru Wabunge Kupitisha Fedha za Miradi ya Mapinduzi ya Kiuchumi Kagera

    March 14, 2025
  • Viongozi wa Dini Wahimizwa Kudumisha Mshikamano Ili Kukuza Uchumi wa Mkoa wa Kagera – RC Mwassa

    March 14, 2025
  • TULIPE KODI-RC MWASSA

    October 07, 2023
  • View All

Video

KAGERA REGION DOCUMENTARY
More Videos

Quick Links

  • Taratibu za biashara ya ndani
  • Barabara Kuu na ndogo za Mkoa
  • Radio Stations in Kagera Region
  • Kagera Regional Commissioners Since Independence 1961
  • Matokeo ya Darasa la VII 2018, Wanafunzi 10 Bora, Shule 10 Bora, Watakaojiunga Kidato cha I, 2019
  • Kitabu cha Mwongozo wa Uwekezaji Kagera 2019
  • FOMU YA USAJILI WA WAFANYABIASAHARA NA WADAU WA MKOA WA KAGERA, ZIARA YA KUTEMBELEA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI NA KATI KWA LENGO LA KUTAFUTA FURSA ZA BIASHARA NA UWEKEZAJI NOVEMBER, 2019.

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • National Bureau of Statistics (NBS)
  • Government of Tanzania Website
  • Open Data Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kagera

    Postal Address: S.L.P 299 BUKOBA

    Telephone: 255 28 2220215/17

    Mobile:

    Email: ras.kagera@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service
    • Hakimiliki

Copyright ©2017 GWF . All rights reserved.