• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
KAGERA REGIONAL WEBSITE

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government KAGERA REGIONAL WEBSITE

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Sections/Units
      • Sections
        • Management Monitoring and Ispection
        • Infrastructure
        • Education
          • Primary Education
          • Secondary Education
          • Adult Education
          • Higher Education
          • Sports
          • Youth
        • Health
          • Health
          • social welfare
        • Administration And HR
        • Planning & Coordination
          • Planning
          • Statistics
          • Community Development
          • TASAF
        • Economic and Production
          • Irrigation Farming
          • Commerce and Industries
          • Fishing
          • Livestock
          • Natural Resources, Tourism & Environment
          • Co operative
          • Agriculture
        • Investment Indusrty and Trade
      • Units
        • ICT
        • Legal Unit
        • Finance and Accounts
        • Internal Audit Unit
        • Procurement Unit
        • Government Communication
  • Districts
    • Bukoba
      • Bukoba Leaders
    • Biharamulo
      • Biharamulo Leaders
    • Karagwe
      • Karagwe Leaders
    • Kyerwa
      • Kyerwa Leaders
    • Missenyi
      • Missenyi Leaders
    • Muleba
      • Muleba Leaders
    • Ngara
      • Ngara Leaders
  • District Councils
    • Bukoba Municipal Council
    • Bukoba District Council
    • Biharamulo District Council
    • Karagwe District Council
    • Kyerwa District Council
    • Missenyi District Council
    • Muleba District Council
    • Ngara District Council
  • Investment Opportunities
    • Tourism Attractions
    • Farming Opportunities
    • Agricultural Opportunities
  • Services
    • Health Services
    • Education Services
    • Water Services
    • Agricultural Services
    • Farming Services
  • Publications
    • By Laws
    • Client Service Charter
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Forms
    • Guidelines
    • News Letter
  • Media Center
    • Videos
    • Press Release
    • Speeches
    • Photo Gallery

Mkuu wa Wilaya ya Missenyi Kanali Denice Mwila Kulia Akimkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Kyerwa Kanali Shaaban Lissu Mwenge wa Uhuru

Posted on: April 12th, 2018

Mwendelezo wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Mkoani Kagera Mwaka 2018

Mwenge wa Uhuru waendelea na mbio zake Mkoani Kagera ambapo tayari Mwenge huo umekimbizwa katika Halmashauri tano za Muleba, Bukoba, Bukoba Manispaa, Missenyi na Kyerwa kati ya Halmashauri nane za Mkoa wa Kagera, aidha, tayari miradi 44 yenye thamani ya shilingi 6,309,492,560.70 imetembelewa, kukaguliwa, kuzinduliwa na kuwekewa mawe ya msingi.

Miradi hiyo 44 ni kati ya miradi 65 ya mkoa mzima  wa Kagera itakayopitiwa na Mwenge Uhuru wa mwaka huu 2018. Thamani ya miradi hiyo 44 shilingi bilioni 6,309,492,560.70 ni kati ya shilingi bilioni 12,385,330,354 za miradi yote katika Mkoa kwenye Halmashauri za Wilaya.

Akito ujumbe wa Mwenge wa Uhuru mwaka huu 2018 Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa Charles F. Kabeho katika Halamashauri za Wilaya ambazo tayari zimepitiwa na Mwenge wa Uhuru aliwasistiza wananchi kuwekeza katika Elimu kwa watoto wao ili kuhakikisha watoto hao wanapata Elimu bora kwa manuaa ya taifa na mkoa wa Kagera hapo baadae.

“Serikali imetoa na inaendelea kutoa  fedha nyingi kuhakikisha wanafunzi wa darasa la kwanza hadi kidato cha nne wanasoma bure, lakini Serikali kutoa fedha hizo hakujazuia majukumu ya wazazi katika kuhakikisha watoto wao wanapata Elimu bora” Alisisitiza Kiongozi wa Mbio za mwenge 2018 Charles Kabeho.

Kiongozi huyo wa Mbio za Mwenge aliongeza kuwa wazazi wanatakiwa kuhakikisha watoto wao wanapata chakula shuleni kulingana na Waraka wa Serikali unavyoelekeza. Pia Wazazi wanatakiwa kuwanunulia watoto wao sare za shule, kuwalipia nauli za kwenda shule na kuhakikisha watoto wana vifaa vyote vya shule kama madaftari na kalamu.

Katika Hatua nyingine Kiongozi wa Mbio za Mwenge aliwasisitiza wananchi wa mkoa wa Kagera kuachana na upikaji wa gongo na kusisitiza kuwa gongo ni mojawapo ya dawa za kulevya ambazo hazistahili kutumika katika jamii.

Pongezi, pia aliupongeza mkoa kwa kupambana na utoro wa wanafunzi shuleni kwamba mkoa huu unajithidi kuhakikisha watoto wanahudhuria masomo yao shuleni lakini alisisitiza uongozi wa Mkoa kuongeza juhudi ili kufuta suala la utoro shuleni.

Mwenge wa Uhuru ulipokelewa Mkoani Kagera Aprili 8, 2018 na tayari umekimbizwa katika Halmashauri za Wilaya za Muleba, Bukoba, Bukoba Manispaa, Missenyi na Kyerwa. Aidha, Mwenge wa Uhuru unatarajiwa kukimbizwa katika Halmashur za Karagwe, Ngara na Biharamulo na utakabidhiwa Mkoa wa Kigoma tarehe 16 Aprili, 2018.

Announcements

  • No records found
  • View All

Latest News

  • Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Kagera Yaridhia Jimbo la Uchaguzi la Nkenge Kuitwa Jimbo la Uchaguzi Missenyi

    March 17, 2025
  • Mkuu wa Mkoa wa Mwassa Awashukuru Wabunge Kupitisha Fedha za Miradi ya Mapinduzi ya Kiuchumi Kagera

    March 14, 2025
  • Viongozi wa Dini Wahimizwa Kudumisha Mshikamano Ili Kukuza Uchumi wa Mkoa wa Kagera – RC Mwassa

    March 14, 2025
  • TULIPE KODI-RC MWASSA

    October 07, 2023
  • View All

Video

KAGERA REGION DOCUMENTARY
More Videos

Quick Links

  • Taratibu za biashara ya ndani
  • Barabara Kuu na ndogo za Mkoa
  • Radio Stations in Kagera Region
  • Kagera Regional Commissioners Since Independence 1961
  • Matokeo ya Darasa la VII 2018, Wanafunzi 10 Bora, Shule 10 Bora, Watakaojiunga Kidato cha I, 2019
  • Kitabu cha Mwongozo wa Uwekezaji Kagera 2019
  • FOMU YA USAJILI WA WAFANYABIASAHARA NA WADAU WA MKOA WA KAGERA, ZIARA YA KUTEMBELEA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI NA KATI KWA LENGO LA KUTAFUTA FURSA ZA BIASHARA NA UWEKEZAJI NOVEMBER, 2019.

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • National Bureau of Statistics (NBS)
  • Government of Tanzania Website
  • Open Data Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kagera

    Postal Address: S.L.P 299 BUKOBA

    Telephone: 255 28 2220215/17

    Mobile:

    Email: ras.kagera@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service
    • Hakimiliki

Copyright ©2017 GWF . All rights reserved.