• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
KAGERA REGIONAL WEBSITE

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government KAGERA REGIONAL WEBSITE

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Sections/Units
      • Sections
        • Management Monitoring and Ispection
        • Infrastructure
        • Education
          • Primary Education
          • Secondary Education
          • Adult Education
          • Higher Education
          • Sports
          • Youth
        • Health
          • Health
          • social welfare
        • Administration And HR
        • Planning & Coordination
          • Planning
          • Statistics
          • Community Development
          • TASAF
        • Economic and Production
          • Irrigation Farming
          • Commerce and Industries
          • Fishing
          • Livestock
          • Natural Resources, Tourism & Environment
          • Co operative
          • Agriculture
        • Investment Indusrty and Trade
      • Units
        • ICT
        • Legal Unit
        • Finance and Accounts
        • Internal Audit Unit
        • Procurement Unit
        • Government Communication
  • Districts
    • Bukoba
      • Bukoba Leaders
    • Biharamulo
      • Biharamulo Leaders
    • Karagwe
      • Karagwe Leaders
    • Kyerwa
      • Kyerwa Leaders
    • Missenyi
      • Missenyi Leaders
    • Muleba
      • Muleba Leaders
    • Ngara
      • Ngara Leaders
  • District Councils
    • Bukoba Municipal Council
    • Bukoba District Council
    • Biharamulo District Council
    • Karagwe District Council
    • Kyerwa District Council
    • Missenyi District Council
    • Muleba District Council
    • Ngara District Council
  • Investment Opportunities
    • Tourism Attractions
    • Farming Opportunities
    • Agricultural Opportunities
  • Services
    • Health Services
    • Education Services
    • Water Services
    • Agricultural Services
    • Farming Services
  • Publications
    • By Laws
    • Client Service Charter
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Forms
    • Guidelines
    • News Letter
  • Media Center
    • Videos
    • Press Release
    • Speeches
    • Photo Gallery

Mmea wa Pamba Ukiwa Shambani Umestawi

Posted on: October 23rd, 2017

Serikali Mkoani Kagera Yaweka Mikakati Thabiti ya Kufufua Zao la Pamba Wilayani Biharamulo na Muleba

Mkoa wa Kagera waweka mikakati ya kuhakikisha kuwa zao la pamba linafufuliwa upya na kupewa kipaumbele kama zao la biashara kwa wakulima na kuhakikisha kuwa zao hilo linalimwa kwa kiwango kikubwa hasa katika Halmashauri za Wilaya za Biharamulo na Muleba zilizokuwa zinalima zao hilo hapo awali.

Katika kuhakikisha zao la pamba Mkoani Kagera linafufuliwa upya Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali  Mstaafu Salum M. Kijuu aliwatembelea Wakaulima katika Wilaya za Biharamulo na Muleba na kuzindua ugawaji wa mbegu bora za pamba kwa wakulima Katika Halmashauri ya Wilaya ya Muleba kwa ajili ya msimu huu wa mwaka 2017/2018.

Mkuu wa Mkoa Kijuu  akiwa katika Wilaya ya Biharamulo Kata ya Nyamigogo Tarafa Nyarubungo na Wilayani Muleba katika Kata ya Nyakabango Tarafa ya Kimwani alikutana na wananchi na wakulima wa zao la pamba na kuwahamasisha wananchi hao kuanza tena kulipa kipaumbele zao la pamba kama zao biashara.

“Serikali ya Awamu ya Tano imejipanga kuhakikiksha kuwa zao la pamba linafufuliwa upya, aidha Serikali inaliangalia na kulipa kipaumbele zao la pamba kama zao mojawapo kuu la biashara ambalo kama likipewa kipaumbele na kuangaliwa kwa ukaribu litaweza kuinua pato la Taifa na wananchi kwa ujumla ambao ni wakulima wetu.”  Alisistiza Mhe. Kijuu.

Mkuu wa Mkoa aliwatoa wasiwasi wananchi juu ya upatikanaji wa masoko na kusema kuwa sasa Serikali imeanzisha viwanda pia na kuhakikisha kuwa viwanda vyote vya pamba vinafufuliwa ili viweze kufanya kazi na pamba kupata soko la kutosha.” Jukumu lenu ninyi wakulima mnatakiwa kulima kwanguvu sana sasa zao la Pamba.”Alisistiza Mhe. Kijuu

Mikakati ya Mkoa kuhakikisha  zao la Pamba linafufuliwa.

Mkuu wa mkoa wa Mkoa aliziagiza Halmashauri  za Wilaya za Biharamulo na Muleba kuhakikisha zinawapatia mbegu bora wakulima wa zao la pamba kwa utaratibu wa kuwakopesha mbegu hizo katika msimu huu wa 2017/2018 na kuanza kujipanga vizuri zaidi kwa msimu wa mwaka 2018/2019.

Halmashauri za Wilaya za Biharamulo Muleba na kupitia Maafisa Ushirika wahakikishe wanaimarisha vikundi vya AMCOS kwa ajili ya kuviweka tayari katika kushughulikia mchakato wa kulifufua zao la pamba.

Maafisa Kilimo, Watendaji na Wataalamu waliopo wawe na mashmba darasa au mashamba ya mfano hasa katika ngazi za Vijiji na Kata. Aidha,  Maafisa Watendaji wa Kata na Vijiji watumike kuhamasisha wakulima maeneo ambayo wataalamu wa kilimo hawapo.

Akihitimisha ziara yake aliyoifanya katika Halmashauri za Wilaya za Biharamulo na Muleba tarehe 18 hadi 19 Oktoba, 2017 Mhe.  Kijuu pia aliwakumbusha wananchi na viongozi wa ngazi zote katika Mkoa kuhakikisha kila kaya inakuwa na ekari ya zao moja la biashara hususani Pamba na ekari moja ya zao la chakula kwaajili ya kujikinga na janga la njaa lakini pia wanannchi hususani wakulima kujiingizia kipato kwa zao la biashara.

Announcements

  • No records found
  • View All

Latest News

  • Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Kagera Yaridhia Jimbo la Uchaguzi la Nkenge Kuitwa Jimbo la Uchaguzi Missenyi

    March 17, 2025
  • Mkuu wa Mkoa wa Mwassa Awashukuru Wabunge Kupitisha Fedha za Miradi ya Mapinduzi ya Kiuchumi Kagera

    March 14, 2025
  • Viongozi wa Dini Wahimizwa Kudumisha Mshikamano Ili Kukuza Uchumi wa Mkoa wa Kagera – RC Mwassa

    March 14, 2025
  • TULIPE KODI-RC MWASSA

    October 07, 2023
  • View All

Video

KAGERA REGION DOCUMENTARY
More Videos

Quick Links

  • Taratibu za biashara ya ndani
  • Barabara Kuu na ndogo za Mkoa
  • Radio Stations in Kagera Region
  • Kagera Regional Commissioners Since Independence 1961
  • Matokeo ya Darasa la VII 2018, Wanafunzi 10 Bora, Shule 10 Bora, Watakaojiunga Kidato cha I, 2019
  • Kitabu cha Mwongozo wa Uwekezaji Kagera 2019
  • FOMU YA USAJILI WA WAFANYABIASAHARA NA WADAU WA MKOA WA KAGERA, ZIARA YA KUTEMBELEA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI NA KATI KWA LENGO LA KUTAFUTA FURSA ZA BIASHARA NA UWEKEZAJI NOVEMBER, 2019.

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • National Bureau of Statistics (NBS)
  • Government of Tanzania Website
  • Open Data Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kagera

    Postal Address: S.L.P 299 BUKOBA

    Telephone: 255 28 2220215/17

    Mobile:

    Email: ras.kagera@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service
    • Hakimiliki

Copyright ©2017 GWF . All rights reserved.