• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
KAGERA REGIONAL WEBSITE

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government KAGERA REGIONAL WEBSITE

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Sections/Units
      • Sections
        • Management Monitoring and Ispection
        • Infrastructure
        • Education
          • Primary Education
          • Secondary Education
          • Adult Education
          • Higher Education
          • Sports
          • Youth
        • Health
          • Health
          • social welfare
        • Administration And HR
        • Planning & Coordination
          • Planning
          • Statistics
          • Community Development
          • TASAF
        • Economic and Production
          • Irrigation Farming
          • Commerce and Industries
          • Fishing
          • Livestock
          • Natural Resources, Tourism & Environment
          • Co operative
          • Agriculture
        • Investment Indusrty and Trade
      • Units
        • ICT
        • Legal Unit
        • Finance and Accounts
        • Internal Audit Unit
        • Procurement Unit
        • Government Communication
  • Districts
    • Bukoba
      • Bukoba Leaders
    • Biharamulo
      • Biharamulo Leaders
    • Karagwe
      • Karagwe Leaders
    • Kyerwa
      • Kyerwa Leaders
    • Missenyi
      • Missenyi Leaders
    • Muleba
      • Muleba Leaders
    • Ngara
      • Ngara Leaders
  • District Councils
    • Bukoba Municipal Council
    • Bukoba District Council
    • Biharamulo District Council
    • Karagwe District Council
    • Kyerwa District Council
    • Missenyi District Council
    • Muleba District Council
    • Ngara District Council
  • Investment Opportunities
    • Tourism Attractions
    • Farming Opportunities
    • Agricultural Opportunities
  • Services
    • Health Services
    • Education Services
    • Water Services
    • Agricultural Services
    • Farming Services
  • Publications
    • By Laws
    • Client Service Charter
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Forms
    • Guidelines
    • News Letter
  • Media Center
    • Videos
    • Press Release
    • Speeches
    • Photo Gallery

Mwalimu Akiwa Darasani Anaendelea na Jukumu Lake la Ufundishaji Mkoani Kagera

Posted on: June 5th, 2018

Maagizo Sita ya Mkuu Wa Mkoa wa Kagera Kuurudisha Mkoa Katika Enzi za Nshomile

Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Mstaafu Salum M. Kijuu atoa maagizo makuu sita kuhakikisha kiwango cha Elimu kinaboreka zaidi na kuufanya mkoa huo unaongoza tena katika Sekta ya Elimu kama ulivyofahamika hapo awali ambapo uliitwa Mkoa wa “Nshomile” (Mkoa wa wasomi).

Maagizo hayo yalitolewa na Mhe. Kijuu katika kikao cha Wadau cha nusu mwaka cha kutathmini mwenendo wa Elimu Mkoani Kagera kilichofanyika Wilayani Muleba Juni 1, 2018 wakati matatizo makubwa yanayoikwamisha elimu ni pamoja na  utoro wa wanafunzi na mimba shuleni.

Katika kikao hicho Afisa Elimu Mkoa Bw. Aloyce Kamamba alitoa takwimu za mimba shuleni kwa miaka mitano kuanzia 2014 hadi mwaka huu 2018 ambapo jumla ya wananfunzi waliopata mimba kwa kipindi hicho  ni 231. Wanafunzi 41 Shule za Msingi na wanafunzi 190 Shule za Sekondari.

Aidha, Wadau wa Elimu katika kikao hicho walibainisha kuwa pamoja na sababu nyinginezo zinazowafanya wanafunzi wawe watoro shuleni lakini pia kuna tatizo la umbali kwa wanafunzi hao jambo linalowafanya wasafiri mwendo mrefu kuitafuta elimu mbali na makazi yao.

Baada ya kujadili kwa kina Mhe. Kijuu alitoa Maagizo Makuu sita ili kuhakikisha changamoto zote zinatatuliwa mara moja. Agizo la kwanza, Wakuu wa Wilaya kwa kushirikiana na Vyombo vya Ulinzi na Usalama wadhibiti utoro wa wanafunzi shuleni kwa kila Wilaya na Kuchukua hatua kwa wanafunzi watoro.

Pili, Wakuu wa Wilaya kwa kushirikiana na Wazazi waweke mpango madhubuti wa wanafunzi kupata chakula au uji shuleni ili waweze kumudu vyema masomo yao wakiwa wameshiba. Tatu, Wakuu wa Wilaya kwa kushirikisha wazazi na wadau wa Elimu kwenye Wilaya zao wajenge mabweni katika Shule za Sekondari ili wanafunzi wa kike waishi karibu na shule na kupunguza vishawishi njiani vinavyowafanya wapate mimba.

Nne, Vikao vya Wadau wa Elimu vifanyike kila Wilaya ili kujadili changamoto mbalimbali zinazoitatiza Sekta ya Elimu na utatuzi wa changamoto hizo ziwasilishwe kwenye kikao cha Wadau wa Elimu cha Mkoa. Tano, Madarasa ya Mitihani (Darasa la Nne na Saba Shule za Msingi,  Kidato cha Pili na Nne kwa Sekondari) yafanye mitihani ya mazoezi kila siku asubuhi ili wanafunzi wauzoee mtihani.

Mwisho, Mkuu Mkuu wa Mkoa Mhe. Kijuu alisisitiza kila Wilaya kufanya vikao vya  tathmini vya Wadau wa Elimu ili kuhakikisha wanafunzi wanafanya vizuri katika masomo yao na Mkoa wetu wa Kagera kurudi katika enzi zake za Nshomile.

Announcements

  • No records found
  • View All

Latest News

  • Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Kagera Yaridhia Jimbo la Uchaguzi la Nkenge Kuitwa Jimbo la Uchaguzi Missenyi

    March 17, 2025
  • Mkuu wa Mkoa wa Mwassa Awashukuru Wabunge Kupitisha Fedha za Miradi ya Mapinduzi ya Kiuchumi Kagera

    March 14, 2025
  • Viongozi wa Dini Wahimizwa Kudumisha Mshikamano Ili Kukuza Uchumi wa Mkoa wa Kagera – RC Mwassa

    March 14, 2025
  • TULIPE KODI-RC MWASSA

    October 07, 2023
  • View All

Video

KAGERA REGION DOCUMENTARY
More Videos

Quick Links

  • Taratibu za biashara ya ndani
  • Barabara Kuu na ndogo za Mkoa
  • Radio Stations in Kagera Region
  • Kagera Regional Commissioners Since Independence 1961
  • Matokeo ya Darasa la VII 2018, Wanafunzi 10 Bora, Shule 10 Bora, Watakaojiunga Kidato cha I, 2019
  • Kitabu cha Mwongozo wa Uwekezaji Kagera 2019
  • FOMU YA USAJILI WA WAFANYABIASAHARA NA WADAU WA MKOA WA KAGERA, ZIARA YA KUTEMBELEA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI NA KATI KWA LENGO LA KUTAFUTA FURSA ZA BIASHARA NA UWEKEZAJI NOVEMBER, 2019.

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • National Bureau of Statistics (NBS)
  • Government of Tanzania Website
  • Open Data Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kagera

    Postal Address: S.L.P 299 BUKOBA

    Telephone: 255 28 2220215/17

    Mobile:

    Email: ras.kagera@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service
    • Hakimiliki

Copyright ©2017 GWF . All rights reserved.