• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
KAGERA REGIONAL WEBSITE

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government KAGERA REGIONAL WEBSITE

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Sections/Units
      • Sections
        • Management Monitoring and Ispection
        • Infrastructure
        • Education
          • Primary Education
          • Secondary Education
          • Adult Education
          • Higher Education
          • Sports
          • Youth
        • Health
          • Health
          • social welfare
        • Administration And HR
        • Planning & Coordination
          • Planning
          • Statistics
          • Community Development
          • TASAF
        • Economic and Production
          • Irrigation Farming
          • Commerce and Industries
          • Fishing
          • Livestock
          • Natural Resources, Tourism & Environment
          • Co operative
          • Agriculture
        • Investment Indusrty and Trade
      • Units
        • ICT
        • Legal Unit
        • Finance and Accounts
        • Internal Audit Unit
        • Procurement Unit
        • Government Communication
  • Districts
    • Bukoba
      • Bukoba Leaders
    • Biharamulo
      • Biharamulo Leaders
    • Karagwe
      • Karagwe Leaders
    • Kyerwa
      • Kyerwa Leaders
    • Missenyi
      • Missenyi Leaders
    • Muleba
      • Muleba Leaders
    • Ngara
      • Ngara Leaders
  • District Councils
    • Bukoba Municipal Council
    • Bukoba District Council
    • Biharamulo District Council
    • Karagwe District Council
    • Kyerwa District Council
    • Missenyi District Council
    • Muleba District Council
    • Ngara District Council
  • Investment Opportunities
    • Tourism Attractions
    • Farming Opportunities
    • Agricultural Opportunities
  • Services
    • Health Services
    • Education Services
    • Water Services
    • Agricultural Services
    • Farming Services
  • Publications
    • By Laws
    • Client Service Charter
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Forms
    • Guidelines
    • News Letter
  • Media Center
    • Videos
    • Press Release
    • Speeches
    • Photo Gallery

Mwananchi Bw. Alawi Kaboyo Akijitolea Damu Kuokoa Maisha ya Akinamama Wajawazito na Wananchi Wenye Uhuhitaji wa Damu Mkoani Kagera

Posted on: December 13th, 2017

Wadau Mkoani Kagera Wamuunga Mkono Mkuu wa Mkoa Upatikanaji wa Damu Katika Maadhimisho ya Wiki ya Ukusanyaji wa Damu

Wadau mbalimbali katika Mkoa wa Kagera wamuunga mkono Mkuu wa Mkoa Meja Jenerali Mstaafu Salum  M. Kijuu Katika  kuadhimisha  wiki ya kilele cha ukusanyaji wa damu kuanzia tarehe 11 hadi 15 Desemba 2017  kwa kuchangia bidhaa mbalimbali kama maji, soda, bisukuti na ‘Ream’ za Karatasi ili kusaidia kukusanya damu kwaajili ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Kagera.

Akitoa maelezo wakati Wadau hao wakikabidhi bidhaa hizo kwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera Desemba 13, 2017 Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Kagera Dk. John Mwombeki  alisema kwa siku nne kuanzia tarehe 11 hadi 15.12.2017 ulifanikiwa kukusanya ‘unit’  900 za damu kwa kila Wilaya kukusanya ‘unit’ 100.

Aidha, Dk. Mwombeki alisema kuwa kutokana na umuhimu wa damu katika hospitali na maisha ya wananchi kupitia Mkuu wa Mkoa Mhe. Kijuu waliwaomba wadau mbalimbali kuchangia bidhaa kama maji, soda, na bisukuti  ambavyo hutolewa kwa mwananchi ambaye hufika katika kituo kujitolea damu.

“Mkoa wa Kagera unakadiriwa kuwa na watu milioni 2.5 na kutokana takwimu za kisayansi  mahitaji ya damu unatakiwa kuwa na asilimia 1% hadi asilimia 2% za damu  kwa wananchi waliopo katika eneo lako kwa mana hiyo Mkoa wa Kagera unatakiwa kuwa na kiasi cha damu ‘unit’ 25,000 kwa mwaka kuweza kuwafikia wahitaji wa damu kama akina mama wajawazito, wananchi mbalimbali wanaopta ajali,” alifafanua Dk. Mwombeki.

Mkuu wa Mkoa Mhe. Kijuu akiwashukuru Wadau alisema amefurahishwa sana na kitendo chao cha kuitikia wito wake wakusaidia upatikanaji wa damu katika mkoa wa Kagera ili kuokoa maisha ya wananchi wanaotakiwa kupata huduma ya damu katika vituo mbalimbali vya kutolea huduma kwenye mkoa.

Mhe.Kijuu alitoa wito kwa wananchi kuendelea kufika katika vituo  vya kutolea damu ili kujitolea damu na alisistiza kuwa kutoa damu kuna nyingi kwanza mwananchi anayetoa damu anapatiwa kadi ambapo anakuwa mwanancha na siku akipata tatizo la kiafya akahitaji damu anasaidiwa haraka sana kwasababu ni mwanachama.

Vilevile Mhe. Kijuu alitoa wito kwa wananchi kujitolea damu ambapo alisema kuwa hiyo ni fursa mojawapo ya mwananchi kuijua afya yake kupitia kujitolea damuambapo damu hiyo hupimwa na mwananchi huyo kupewa majibu  na kumfanya kujilinda na magonjwa mbalimbali kama UKIMWI, Kisukari na mengineyo.

Wadau waliotoa bidhaa ni pamoja na Kampuni ya TANICA katoni 50 za maji, Benki ya CRDB walitoa katoni 20 za maji, Benki ya NMB walitoa ‘ream’ karatasi za limu katoni nne kwaajili ya kuchukulia takwimu za wananchi wanaofika kutoa damu , bisukuti katoni 5, soda katoni 25 na maji katoni 25

Maadhimisho ya kilele cha ukusanyaji damu huadhimishwa kitaifa kila mwaka wiki moja kabla ya Siku Kuu za mwisho wa mwaka. Mwaka 2016 mkoa wa Kagera uliweza kukusanya kiasi cha ‘unit’ 7,000 tu badala ya ‘unit’ 25,000, wito kwa wananchi ni kujitolea kutoa damu ili kuokoa maisha ya wahitaji ili angalau kwa mwaka huu 2017 mkoa uweze kufikia nusu ya mahitaji kuokoa maisha ya wananchi wengi zaidi.


Announcements

  • No records found
  • View All

Latest News

  • Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Kagera Yaridhia Jimbo la Uchaguzi la Nkenge Kuitwa Jimbo la Uchaguzi Missenyi

    March 17, 2025
  • Mkuu wa Mkoa wa Mwassa Awashukuru Wabunge Kupitisha Fedha za Miradi ya Mapinduzi ya Kiuchumi Kagera

    March 14, 2025
  • Viongozi wa Dini Wahimizwa Kudumisha Mshikamano Ili Kukuza Uchumi wa Mkoa wa Kagera – RC Mwassa

    March 14, 2025
  • TULIPE KODI-RC MWASSA

    October 07, 2023
  • View All

Video

KAGERA REGION DOCUMENTARY
More Videos

Quick Links

  • Taratibu za biashara ya ndani
  • Barabara Kuu na ndogo za Mkoa
  • Radio Stations in Kagera Region
  • Kagera Regional Commissioners Since Independence 1961
  • Matokeo ya Darasa la VII 2018, Wanafunzi 10 Bora, Shule 10 Bora, Watakaojiunga Kidato cha I, 2019
  • Kitabu cha Mwongozo wa Uwekezaji Kagera 2019
  • FOMU YA USAJILI WA WAFANYABIASAHARA NA WADAU WA MKOA WA KAGERA, ZIARA YA KUTEMBELEA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI NA KATI KWA LENGO LA KUTAFUTA FURSA ZA BIASHARA NA UWEKEZAJI NOVEMBER, 2019.

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • National Bureau of Statistics (NBS)
  • Government of Tanzania Website
  • Open Data Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kagera

    Postal Address: S.L.P 299 BUKOBA

    Telephone: 255 28 2220215/17

    Mobile:

    Email: ras.kagera@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service
    • Hakimiliki

Copyright ©2017 GWF . All rights reserved.