• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
KAGERA REGIONAL WEBSITE

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government KAGERA REGIONAL WEBSITE

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Sections/Units
      • Sections
        • Management Monitoring and Ispection
        • Infrastructure
        • Education
          • Primary Education
          • Secondary Education
          • Adult Education
          • Higher Education
          • Sports
          • Youth
        • Health
          • Health
          • social welfare
        • Administration And HR
        • Planning & Coordination
          • Planning
          • Statistics
          • Community Development
          • TASAF
        • Economic and Production
          • Irrigation Farming
          • Commerce and Industries
          • Fishing
          • Livestock
          • Natural Resources, Tourism & Environment
          • Co operative
          • Agriculture
        • Investment Indusrty and Trade
      • Units
        • ICT
        • Legal Unit
        • Finance and Accounts
        • Internal Audit Unit
        • Procurement Unit
        • Government Communication
  • Districts
    • Bukoba
      • Bukoba Leaders
    • Biharamulo
      • Biharamulo Leaders
    • Karagwe
      • Karagwe Leaders
    • Kyerwa
      • Kyerwa Leaders
    • Missenyi
      • Missenyi Leaders
    • Muleba
      • Muleba Leaders
    • Ngara
      • Ngara Leaders
  • District Councils
    • Bukoba Municipal Council
    • Bukoba District Council
    • Biharamulo District Council
    • Karagwe District Council
    • Kyerwa District Council
    • Missenyi District Council
    • Muleba District Council
    • Ngara District Council
  • Investment Opportunities
    • Tourism Attractions
    • Farming Opportunities
    • Agricultural Opportunities
  • Services
    • Health Services
    • Education Services
    • Water Services
    • Agricultural Services
    • Farming Services
  • Publications
    • By Laws
    • Client Service Charter
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Forms
    • Guidelines
    • News Letter
  • Media Center
    • Videos
    • Press Release
    • Speeches
    • Photo Gallery

Ng'ombe Ambaye Tayari Amepigwa Chapa Kama Utambulisho Katika Halmashauri ya Wilaya Bukoba

Posted on: November 4th, 2017

Waziri Luaga Mpina Ahamasisha Wafugaji Kagera  Ng’ombe Wao Kupigwa Chapa Kukomesha Uingizwaji wa Mifugo Toka Nje.

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Luaga Mpina afanya ziara ya siku mbili Mkoani Kagera kuhamasisha kasi ya upigaji chapa wa ng’ombe ili kutambua idadi ya mifugo hiyo ikiwa ni pamoja na  kukomesha wizi  wa ng’ombe pia na kukomesha uingizwaji wa ng’ombe hao  nchini kutoka nchi za  jirani.

Akiwa Mkoani hapa Waziri Mpina alishiriki katika zoezi la kupiga chapa ng’ombe katika Wilaya ya Bukoba Kijijini Kyema Kata Katerero ambapo mara baada ya kushiriki zoezi hilo akiongea na wafugaji walioleta ng’ombe wao kupigwa chapa katika zoezi hilo alisema,

“Lengo kuu la kupiga chapa ng’ombe ni  kuzuia wizi wa ng’ombe, kupata takwimu halisi za ng’ombe nchini ili kuisaidia Serikali kuweka mipango sahihi ya uendelezaji wa ufugaji nchini. Lakini pia kuhakikisha ng’ombe wa Tanzania wanakuwa na alama ambapo itasaidia kutambua ng’ombe kutoka nchi jirani wanaoingizwa kulishwa nchini kwetu. Aidha zoezi la kupiga chapa ng’ombe ni la nchi nzima ambapo mwisho wa zoezi hilo utakuwa tarehe 31.12.2017” Alisistiza Waziri Mpina.

Pia Waziri Mpina akiwa Mkoani Kagera alizitembelea Ranchi za Missenyi na Pori la Akiba la Burigi na kujionea jinsi mifugo kutoka nchi jirani ilivyoondolewa kutoka katika mapori hayo. Pia alishuhudia ng’ombe zaidi ya 6000 walioingizwa katika mapori hayo  kutoka nchi jirani waliokatawa mara baada ya Operesheni Ondoa Mifugo Kagera na kuagiza ng’ombe hao kupigwa mnada mara moja.

Waziri Luaga mpina katika ziara yake ya siku mbili Kagera alitembelea pia kiwanda cha kusindika minofu ya Samaki cha SUPREME PERCH kilichopo eneo la Nyamkazi Manispaa ya Bukoba ambapo uongozi wa kiwanda hicho ukitoa taarifa ulisema kuwa hadi sasa kiwanda hicho kina uwezo wa kusindika tani 60 za minofu ya samaki lakinikwasasa kinasindika tani 17 tu kutokana na uhaba wa Samaki.

Mara baada ya kupokea taarifa hiyo Waziri Mpina aliuagiza uongozi wa kiwanda hicho kuhakikisha ndani ya mwaka mmoja ujao kiwe kimefikia  angalau uzalishaji wa tani 25 na kufikia mwaka 2020 kizalishe tani zote 60 kwani Serikali inakwenda kuhakikisha inakomesha vitendo vyote vya uvuvi haramu katika Ziwa Victoria.

Vilevile Waziri mpina alitembelea shamba la mabwawa ya kufuga samaki katika eneo la Luhanga  Wilayani Muleba na kujionea ufugaji wa samaki wa kisasa na ambapo alisema kuwa Serikali itaendelea kuhamasisha wananchi kufuga samaki katika mabwawa ili kutoa nafasi ya kupumzisha ziwa ili samaki wazaliane kwa wingi.

Mwisho Waziri Luaga Mpina aliupongeza uongozi wa Mkoa wa Kagera kwa kufanya operesheni ondoa mifugo Kagera na kuhakikisha Ng’ombe wote kutoka nje ya nchi wameondolewa katika Mapori ya Akiba na hifadhi za Taifa. Waziri Mpina alifanya ziara ya siku mbili kuanzia tarehe  1 hadi 2 Novenba, 2017 na kumalizia ziara yake Wilayani Biharamulo ambapo aliondoka kuelekea Mkoani Kigoma.

Announcements

  • No records found
  • View All

Latest News

  • Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Kagera Yaridhia Jimbo la Uchaguzi la Nkenge Kuitwa Jimbo la Uchaguzi Missenyi

    March 17, 2025
  • Mkuu wa Mkoa wa Mwassa Awashukuru Wabunge Kupitisha Fedha za Miradi ya Mapinduzi ya Kiuchumi Kagera

    March 14, 2025
  • Viongozi wa Dini Wahimizwa Kudumisha Mshikamano Ili Kukuza Uchumi wa Mkoa wa Kagera – RC Mwassa

    March 14, 2025
  • TULIPE KODI-RC MWASSA

    October 07, 2023
  • View All

Video

KAGERA REGION DOCUMENTARY
More Videos

Quick Links

  • Taratibu za biashara ya ndani
  • Barabara Kuu na ndogo za Mkoa
  • Radio Stations in Kagera Region
  • Kagera Regional Commissioners Since Independence 1961
  • Matokeo ya Darasa la VII 2018, Wanafunzi 10 Bora, Shule 10 Bora, Watakaojiunga Kidato cha I, 2019
  • Kitabu cha Mwongozo wa Uwekezaji Kagera 2019
  • FOMU YA USAJILI WA WAFANYABIASAHARA NA WADAU WA MKOA WA KAGERA, ZIARA YA KUTEMBELEA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI NA KATI KWA LENGO LA KUTAFUTA FURSA ZA BIASHARA NA UWEKEZAJI NOVEMBER, 2019.

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • National Bureau of Statistics (NBS)
  • Government of Tanzania Website
  • Open Data Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kagera

    Postal Address: S.L.P 299 BUKOBA

    Telephone: 255 28 2220215/17

    Mobile:

    Email: ras.kagera@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service
    • Hakimiliki

Copyright ©2017 GWF . All rights reserved.