• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
KAGERA REGIONAL WEBSITE

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government KAGERA REGIONAL WEBSITE

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Sections/Units
      • Sections
        • Management Monitoring and Ispection
        • Infrastructure
        • Education
          • Primary Education
          • Secondary Education
          • Adult Education
          • Higher Education
          • Sports
          • Youth
        • Health
          • Health
          • social welfare
        • Administration And HR
        • Planning & Coordination
          • Planning
          • Statistics
          • Community Development
          • TASAF
        • Economic and Production
          • Irrigation Farming
          • Commerce and Industries
          • Fishing
          • Livestock
          • Natural Resources, Tourism & Environment
          • Co operative
          • Agriculture
        • Investment Indusrty and Trade
      • Units
        • ICT
        • Legal Unit
        • Finance and Accounts
        • Internal Audit Unit
        • Procurement Unit
        • Government Communication
  • Districts
    • Bukoba
      • Bukoba Leaders
    • Biharamulo
      • Biharamulo Leaders
    • Karagwe
      • Karagwe Leaders
    • Kyerwa
      • Kyerwa Leaders
    • Missenyi
      • Missenyi Leaders
    • Muleba
      • Muleba Leaders
    • Ngara
      • Ngara Leaders
  • District Councils
    • Bukoba Municipal Council
    • Bukoba District Council
    • Biharamulo District Council
    • Karagwe District Council
    • Kyerwa District Council
    • Missenyi District Council
    • Muleba District Council
    • Ngara District Council
  • Investment Opportunities
    • Tourism Attractions
    • Farming Opportunities
    • Agricultural Opportunities
  • Services
    • Health Services
    • Education Services
    • Water Services
    • Agricultural Services
    • Farming Services
  • Publications
    • By Laws
    • Client Service Charter
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Forms
    • Guidelines
    • News Letter
  • Media Center
    • Videos
    • Press Release
    • Speeches
    • Photo Gallery

Profesa Ndalichako Katikati Akiwa na Mbunge wa Nkenge Balozi D. Kamala (Kulia) Wakitembelea Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Gera Wilayani Missenyi.

Posted on: February 15th, 2018

Waziri Ndalichako Akiwa Mkoani Kagera Aagiza Maafisa Elimu Nchini Kudahili Wanafunzi Kulingana na  Uwezo Wa Miundombinu ya Shule

Waziara wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako katika ziara yake ya siku mbili Mkoani Kagera kuanzia Februari 13 hadi 14, 2018 alitembelea, kukagua na kupokea  miradi mbalimbali ya Elimu  ikiwa ni pamoja na kutembelea baadhi ya shule za Sekondari na kuonge na wanafunzi wa shule hizo.

Wilayani Muleba Katika siku yake ya kwanza Mkoani Kagera Prof. Ndalichako alitembelea na kukagua miundombinu ya Chuo cha Ualimu Katoke Wilayani Muleba ambapo katika chuo hicho ambacho miundombinu yake imechoka na alihaidi kuwa kitatengewa bajeti ya ukarabati kuanzia bajeti ya mwaka 2018/2019 ili kikarabatiwe.

Shule ya Sekondari Profesa Joyce Ndalichako, Prof. Ndalichako pia alifika katika shule hiyo iliyopewa jina lake ili kujionea ujenzi wa shule ambayo fedha zake zilitolewa na Serikali, Katika Shule hiyo Prof. Ndalichako aliridhika na viwango vya ujenzi wa shule hiyo na kuwapongeza wananchi kushirikiana na Serikali katika kujenga Shule hiyo.

Prof. Ndalichako aliwahasa wanafunzi kujitahidi katika masomo yao ili wasimwangushe kwani shule hiyo inaitwa jina lake. Pia alihaidi kutoa shilingi milioni 50 kwa ajili ya kujenga Maabara na shilingi milioni 3 kwajili ya kununulia vitabu ili wanafunzi wa shule hiyo waweze kupata elimu stahiki.

Shule ya Sekondari Prof. Anna Tibaijuka Muleba mjini, katika ziara yake pia Prof. Ndalichako pia lipata wasaa wa kuitembelea Shule hiyo ambayo bado ina changamoto ya miundombinu kama madarasa pamoja samani za viti na meza kwa ajili ya wanafunzi .

Agizo;  Baada ya kuona msongamano wa wanafunzi katika shule hiyo Prof. Ndalichako alitoa Agizo kwa Maafisa Elimu Mikoa na Wilaya Nchini kuacha tabia ya kudahili wanafaunzi  juu ya uwezo wa miundombinu katika shule husika. Maafisa Elimu Mikoa na Wilaya popote nitakapokuta wamedahili watoto kuzidi uwezo wa miundombinu iliyopo watawajibika wao wenyewe, Alisistiza Prof. Ndalichako.

Prof. Ndalichako alisema kuwa ni ajabu kuona shule haina madarasa ya kutosha alafu Maafisa Elimu wanawapeleka wanafunzi wengi katika shule hiyo ambayo haiwezi kuwamudu wanafunzi hao kwa wakati mmoja. Katika hatua nyingine Prof. Ndalichako alihaidi kutoa  mabati 100 ili kumalizia chumba cha darasa ambalo ujenzi wake unaendelea.

Wilayani Missenyi Siku hiyo hiyo akiwa Wilayani Missenyi Prof. Ndalichako alitembelea Chuo cha Maendelea ya Wananchi Gera na kujionea ukarabati wa Chuo hicho ambapo Serikali ilitoa Shilingi Milioni 75 ili kukarabati baadhi ya majengo. Prof. Ndalichako hakuridhishwa na kiwango cha ukarabati uliofanywa na VETA Kagera  katika chuo hicho kwani haundani na thamani ya fedha iliyotolewa.

Waziri Ndalichako aliwakemea VETA nchini kuwa  wamekuwa wakifanya kazi zao chini ya kiwango na alisema kuwa atatuma ukaguzi maalum katika Chuo hicho ili kukagua kazi iliyofanyika na kama ikigundulika kuwa kuna uchakachuzi VETA  Kagera watalazimika kukiarabati chuo hicho kwa gharama zao wenyewe, pia ukaguzi huo maalum utapitia na shughuli zao za kawaida kwani ilionekana kuwa wamekuwa wakifanya madudu.

Announcements

  • No records found
  • View All

Latest News

  • Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Kagera Yaridhia Jimbo la Uchaguzi la Nkenge Kuitwa Jimbo la Uchaguzi Missenyi

    March 17, 2025
  • Mkuu wa Mkoa wa Mwassa Awashukuru Wabunge Kupitisha Fedha za Miradi ya Mapinduzi ya Kiuchumi Kagera

    March 14, 2025
  • Viongozi wa Dini Wahimizwa Kudumisha Mshikamano Ili Kukuza Uchumi wa Mkoa wa Kagera – RC Mwassa

    March 14, 2025
  • TULIPE KODI-RC MWASSA

    October 07, 2023
  • View All

Video

KAGERA REGION DOCUMENTARY
More Videos

Quick Links

  • Taratibu za biashara ya ndani
  • Barabara Kuu na ndogo za Mkoa
  • Radio Stations in Kagera Region
  • Kagera Regional Commissioners Since Independence 1961
  • Matokeo ya Darasa la VII 2018, Wanafunzi 10 Bora, Shule 10 Bora, Watakaojiunga Kidato cha I, 2019
  • Kitabu cha Mwongozo wa Uwekezaji Kagera 2019
  • FOMU YA USAJILI WA WAFANYABIASAHARA NA WADAU WA MKOA WA KAGERA, ZIARA YA KUTEMBELEA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI NA KATI KWA LENGO LA KUTAFUTA FURSA ZA BIASHARA NA UWEKEZAJI NOVEMBER, 2019.

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • National Bureau of Statistics (NBS)
  • Government of Tanzania Website
  • Open Data Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kagera

    Postal Address: S.L.P 299 BUKOBA

    Telephone: 255 28 2220215/17

    Mobile:

    Email: ras.kagera@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service
    • Hakimiliki

Copyright ©2017 GWF . All rights reserved.