• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
KAGERA REGIONAL WEBSITE

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government KAGERA REGIONAL WEBSITE

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Sections/Units
      • Sections
        • Management Monitoring and Ispection
        • Infrastructure
        • Education
          • Primary Education
          • Secondary Education
          • Adult Education
          • Higher Education
          • Sports
          • Youth
        • Health
          • Health
          • social welfare
        • Administration And HR
        • Planning & Coordination
          • Planning
          • Statistics
          • Community Development
          • TASAF
        • Economic and Production
          • Irrigation Farming
          • Commerce and Industries
          • Fishing
          • Livestock
          • Natural Resources, Tourism & Environment
          • Co operative
          • Agriculture
        • Investment Indusrty and Trade
      • Units
        • ICT
        • Legal Unit
        • Finance and Accounts
        • Internal Audit Unit
        • Procurement Unit
        • Government Communication
  • Districts
    • Bukoba
      • Bukoba Leaders
    • Biharamulo
      • Biharamulo Leaders
    • Karagwe
      • Karagwe Leaders
    • Kyerwa
      • Kyerwa Leaders
    • Missenyi
      • Missenyi Leaders
    • Muleba
      • Muleba Leaders
    • Ngara
      • Ngara Leaders
  • District Councils
    • Bukoba Municipal Council
    • Bukoba District Council
    • Biharamulo District Council
    • Karagwe District Council
    • Kyerwa District Council
    • Missenyi District Council
    • Muleba District Council
    • Ngara District Council
  • Investment Opportunities
    • Tourism Attractions
    • Farming Opportunities
    • Agricultural Opportunities
  • Services
    • Health Services
    • Education Services
    • Water Services
    • Agricultural Services
    • Farming Services
  • Publications
    • By Laws
    • Client Service Charter
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Forms
    • Guidelines
    • News Letter
  • Media Center
    • Videos
    • Press Release
    • Speeches
    • Photo Gallery

Serikali Kupafanya Nyakanazi Biharamulo Kuwa Eneo la Kimkakati Katika Biashara ya Tanzania na Nchi Jirani – Waziri Mkuu Kassim Majaliwa

Posted on: September 18th, 2021

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Kassim Majaliwa Majaliwa  aanza rasmi ziara ya kikazi ya siku tano Mkoani Kagera akitarajia kutembele, kukagua, kuzindua au kuweka mawe ya msingi katika miradi kumi yenye thamani ya shilingi bilioni 927.3.

Mara baada ya kuwasili Mkoani Kagera Septemba 18, 2021 Wilayani Biharamulo katika eneo la Nyakanazi Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alikagua ujenzi wa mradi wa maegesho ya magari makubwa ya mizigo ynayosafirisha mizigo kutoka nchi jirani za Rwanda, Burundi na Congo DR ambapo mradi huo ukikamilika utagharimu takribani shilingi bilioni 2.6

Akiwa katika mradi huo na kukagua hatua ya utekelezaji wa mradi iliyofikiwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa hakuridhishwa na kasi ya Mkandarasi katika ujenzi kwani mradi ulitakiwa kuwa umekamilika mwezi Machi 2021 lakini hadi sasa mradi bado upo asilimia 47 tu ambapo Waziri Mkuu alitoa alimwagiza Mkuu wa Mkoa Kagera Meja Jenerali Charles Mbuge kusimamia kwa karibu mradi huo ukamilike ifikapo Novemba 23, 2021.

Aidha, akiongea na wananchi wa Nyakanazi Wilayani Biharamulo Waziri Mkuu Kassim majaliwa alisema kuwa Serikali inao mpango wa kulifanya eneo la Nyakanazi kuwa eneo la kimkakati kwa kuwa linapokea malori mengi ya mizigo kutoka Bandari ya Dar es Salaam kwenda nchi jirani  na kutoka nchi hizo kwenda Bandari ya Dar es Salaam na kukifanya eneo hilo kuwa kituo kikubwa cha biashara.

Pia Waziri Mkuu  aliuwagiza uongozi wa  Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo kulipangilia vizuri eneo la Nyakanazi na kulipima kwa kuwa ni eneo linalokaliwa na watu wengi na wananchi wanatakiwa kujenga kwa utaratibu na kuruhusu miundombinu mingine kupangiliwa vizuri ili kupanya Nyakanazi kuwa kitovu cha baiashara.

Katika hatua nyingine Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aliwahakikishia wananchi wa Nyakanazi kuwa Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan itajenga upya barabara ya Rusahunga Nyakahura Rusumo kwani barabara hiyo imeisha muda wake, ikiwa ni pamoja na barabara ya Nyakanazi Kibondo kilometa hamsini kukamilishwa ili Nyakanazi ifikikie kwa urahisi.

Katika namna ya kipekee wananchi wa Nyakahura Mzani Wilayani Biharamulo wamehaidiwa kujengewa shule mpya baada ya kuwasilisha kilio chao kwa Waziri Mkuu Kassimu Majaliwa aliposimama kuwasalimia katika eneo la Nyakahura mzani akielekea Wilayani Ngara  ambapo shule iliyopo sasa imezidiwa uwezo na kupelekea watoto kusoma kwa shida. Waziri Mkuu Kassimu Majaliwa ataendelea na ziara yake Mkoani kagera Wilayani Ngara Septemba 19, 2021.

Announcements

  • No records found
  • View All

Latest News

  • Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Kagera Yaridhia Jimbo la Uchaguzi la Nkenge Kuitwa Jimbo la Uchaguzi Missenyi

    March 17, 2025
  • Mkuu wa Mkoa wa Mwassa Awashukuru Wabunge Kupitisha Fedha za Miradi ya Mapinduzi ya Kiuchumi Kagera

    March 14, 2025
  • Viongozi wa Dini Wahimizwa Kudumisha Mshikamano Ili Kukuza Uchumi wa Mkoa wa Kagera – RC Mwassa

    March 14, 2025
  • TULIPE KODI-RC MWASSA

    October 07, 2023
  • View All

Video

KAGERA REGION DOCUMENTARY
More Videos

Quick Links

  • Taratibu za biashara ya ndani
  • Barabara Kuu na ndogo za Mkoa
  • Radio Stations in Kagera Region
  • Kagera Regional Commissioners Since Independence 1961
  • Matokeo ya Darasa la VII 2018, Wanafunzi 10 Bora, Shule 10 Bora, Watakaojiunga Kidato cha I, 2019
  • Kitabu cha Mwongozo wa Uwekezaji Kagera 2019
  • FOMU YA USAJILI WA WAFANYABIASAHARA NA WADAU WA MKOA WA KAGERA, ZIARA YA KUTEMBELEA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI NA KATI KWA LENGO LA KUTAFUTA FURSA ZA BIASHARA NA UWEKEZAJI NOVEMBER, 2019.

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • National Bureau of Statistics (NBS)
  • Government of Tanzania Website
  • Open Data Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kagera

    Postal Address: S.L.P 299 BUKOBA

    Telephone: 255 28 2220215/17

    Mobile:

    Email: ras.kagera@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service
    • Hakimiliki

Copyright ©2017 GWF . All rights reserved.