• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
KAGERA REGIONAL WEBSITE

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government KAGERA REGIONAL WEBSITE

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Sections/Units
      • Sections
        • Management Monitoring and Ispection
        • Infrastructure
        • Education
          • Primary Education
          • Secondary Education
          • Adult Education
          • Higher Education
          • Sports
          • Youth
        • Health
          • Health
          • social welfare
        • Administration And HR
        • Planning & Coordination
          • Planning
          • Statistics
          • Community Development
          • TASAF
        • Economic and Production
          • Irrigation Farming
          • Commerce and Industries
          • Fishing
          • Livestock
          • Natural Resources, Tourism & Environment
          • Co operative
          • Agriculture
        • Investment Indusrty and Trade
      • Units
        • ICT
        • Legal Unit
        • Finance and Accounts
        • Internal Audit Unit
        • Procurement Unit
        • Government Communication
  • Districts
    • Bukoba
      • Bukoba Leaders
    • Biharamulo
      • Biharamulo Leaders
    • Karagwe
      • Karagwe Leaders
    • Kyerwa
      • Kyerwa Leaders
    • Missenyi
      • Missenyi Leaders
    • Muleba
      • Muleba Leaders
    • Ngara
      • Ngara Leaders
  • District Councils
    • Bukoba Municipal Council
    • Bukoba District Council
    • Biharamulo District Council
    • Karagwe District Council
    • Kyerwa District Council
    • Missenyi District Council
    • Muleba District Council
    • Ngara District Council
  • Investment Opportunities
    • Tourism Attractions
    • Farming Opportunities
    • Agricultural Opportunities
  • Services
    • Health Services
    • Education Services
    • Water Services
    • Agricultural Services
    • Farming Services
  • Publications
    • By Laws
    • Client Service Charter
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Forms
    • Guidelines
    • News Letter
  • Media Center
    • Videos
    • Press Release
    • Speeches
    • Photo Gallery

Taasisi ya Best Dialogue Yaendesha Mafunzo ya Siku Mbili Kuondoa Mkwamo wa Biashara na Uwekezaji Mkoni Kagera

Posted on: July 27th, 2018

Mradi wa Uimarishaji Mazingira ya Biashara Tanzania (BEST Dialogue) kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam pamoja na Chemba ya Wafanyabiashara, Wakulima na Wenye Viwanda Tanzania (TCCIA) waendesha mafunzo ya siku mbili kwa viongozi wa Serikali na Sekta Binafsi katika Mkoa wa Kagera  ili kujadili namna bora ya kuboresha mazingira ya biashara kwa ushirikiano wa Serikali na Wadau wa biashara.

Mafunzo hayo kwa kiasi kikubwa yalilenga hasa kujadili kwa pamoja namna nzuri ya kuweka Mazingira bora ya Biashara na Ushawishi wa Sekta Binafsi katika kutekeleza miradi mbalimbali katika Mkoa wa Kagera na Tanzania kwa ujumla ili lengo la maendeleo liweze kufikiwa kwa pamoja.

Katika mafunzo hayo Viongozi wa Serikali pamoja na Wadau mbalimbali walifundishwa juu ya mfumo wa ushawishi na majadiliano kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi  ambapo sekta hizo mbili zilikumbushwa kushirikiana na kujadiliana mara kwa mara katika kuhakikisha biashara zinafanyika vizuri katika mazingira wezeshi.

Akiwasilisha mada ya kuweka mazingira mazuri ya biashara Dkt. Swabiri Khalid kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam alisema kuwa Sekta ya Umma inatakiwa kuweka mazingira mazuri ya biashara ili Sekta binafsi waweze kufanya biashara zao bila wasiwasi pia kama kuna changamoto zozote katika sekta hizo mbili ni vyema kukaa pamoja na kuzitatua changamoto hizo kwa pamaoja na uelewa wa mmoja.

Sekta ya Umma ambao ni Viogozi mbalimbali wa Serikali kwa kushirikiana na Sekta Binafsi katika mafunzo hayo walibainisha changamoto mbalimbali za kila Wilaya katika mkoa wa Kagera zinazokwamisha au kuweka mazingia yasiyokuwa rafiki katika biashara na kuweka mikakati ya kutatua changamoto hizo ili kuweka mazingira rafiki ya biashara.

Changamoto kubwa zilizobainishwa katika mafunzo hayo ni Sekta binafsi kuiona Sekta ya Umma kama adui yake badala ya kuiona rafiki na kushirikiana. Pili Wadau wa Sekta Binafsi walilalamikia kodi kuwa nyingi lakini Sekta ya Umma nao walilalamikia ukwepaji wa kodi kwa wafanyabiashara. Tatu, wafanyabiashara kutopendana na kushirikiana katika kutafuta fursa za biashara. Nne, migogoro mingi ya ardhi.

Katika kuweka mikakati ya kutatua changamoto hizo Sekta hizo mbili za Umma na Binafsi zinatakiwa kushirikiana kwa kufanya mikutano ya pamoja na kutafuta njia mbadala ya kutatua tatizo. Aidha, elimu kwa wafanyabiashara inatakiwa kutolewa ili waelimishwe juu ya biashara zao, fursa mpya pamoja na umuhimu wa kulipa kodi za Serikali.

Katibu Tawala wa Mkoa wa Kagera Bw. CP Diwani Athuman akitoa rai katika mafunzo hayo aliwaasa washiriki wa mafunzo, watumishi wa umma na wafanyabiashara Mkoani Kagera kubadilika kimtazamo ili kuchangamkia fursa nyingi zilizopo. Pili CP Athumani alisisitiza kuzitangaza fursa za uwekezeji katika mkoa kwa nguvu zote hasa kwa kutumia njia mbalimbali zikiwemo Tovuti ya Mkoa na Halmashauri za Wilaya .

Naye Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Mstaafu Salum M. Kijuu akifunga mafunzo hayo aliishukuru Taasisi ya BEST Dialogue kwa kuwezesha mafunzo kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi  na kusema kuwa mafunzo hayo yalichelewa sana kama yangelifanyika miaka miwili nyuma mkoa ungekuwa mbali kimaendeleo kwani wafanyabiashara wangekuwa wamechangamkia fursa bila vikwazo.

Mkuu wa Mkoa Kijuu aliziagiza Halmashauri zote za Wilaya Mkoani Kagera kufanya vikao vya kubainisha changamoto zinazoweka mkwamo wa mazingira mazuri ya biashara na kuzitafutia ufumbuzi Sekta ya Umma kwa kushirikiana na Sekta binafsi ili kuwa na uelewa wa pamoja.

Pia aliwaagiza  viongozi Chemba ya Wafanyabiashara, Wakulima na Wenye Viwanda  Tanzania (TCCIA) Mkoa wa Kagera kuandaa kikao cha wafanyabiashara Mkoani Kagera pamoja na Serikali ili kutatua changamoto mbalimbali zinazokwamisha biashara mkoani hapa.

Announcements

  • No records found
  • View All

Latest News

  • Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Kagera Yaridhia Jimbo la Uchaguzi la Nkenge Kuitwa Jimbo la Uchaguzi Missenyi

    March 17, 2025
  • Mkuu wa Mkoa wa Mwassa Awashukuru Wabunge Kupitisha Fedha za Miradi ya Mapinduzi ya Kiuchumi Kagera

    March 14, 2025
  • Viongozi wa Dini Wahimizwa Kudumisha Mshikamano Ili Kukuza Uchumi wa Mkoa wa Kagera – RC Mwassa

    March 14, 2025
  • TULIPE KODI-RC MWASSA

    October 07, 2023
  • View All

Video

KAGERA REGION DOCUMENTARY
More Videos

Quick Links

  • Taratibu za biashara ya ndani
  • Barabara Kuu na ndogo za Mkoa
  • Radio Stations in Kagera Region
  • Kagera Regional Commissioners Since Independence 1961
  • Matokeo ya Darasa la VII 2018, Wanafunzi 10 Bora, Shule 10 Bora, Watakaojiunga Kidato cha I, 2019
  • Kitabu cha Mwongozo wa Uwekezaji Kagera 2019
  • FOMU YA USAJILI WA WAFANYABIASAHARA NA WADAU WA MKOA WA KAGERA, ZIARA YA KUTEMBELEA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI NA KATI KWA LENGO LA KUTAFUTA FURSA ZA BIASHARA NA UWEKEZAJI NOVEMBER, 2019.

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • National Bureau of Statistics (NBS)
  • Government of Tanzania Website
  • Open Data Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kagera

    Postal Address: S.L.P 299 BUKOBA

    Telephone: 255 28 2220215/17

    Mobile:

    Email: ras.kagera@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service
    • Hakimiliki

Copyright ©2017 GWF . All rights reserved.