• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
KAGERA REGIONAL WEBSITE

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government KAGERA REGIONAL WEBSITE

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Sections/Units
      • Sections
        • Management Monitoring and Ispection
        • Infrastructure
        • Education
          • Primary Education
          • Secondary Education
          • Adult Education
          • Higher Education
          • Sports
          • Youth
        • Health
          • Health
          • social welfare
        • Administration And HR
        • Planning & Coordination
          • Planning
          • Statistics
          • Community Development
          • TASAF
        • Economic and Production
          • Irrigation Farming
          • Commerce and Industries
          • Fishing
          • Livestock
          • Natural Resources, Tourism & Environment
          • Co operative
          • Agriculture
        • Investment Indusrty and Trade
      • Units
        • ICT
        • Legal Unit
        • Finance and Accounts
        • Internal Audit Unit
        • Procurement Unit
        • Government Communication
  • Districts
    • Bukoba
      • Bukoba Leaders
    • Biharamulo
      • Biharamulo Leaders
    • Karagwe
      • Karagwe Leaders
    • Kyerwa
      • Kyerwa Leaders
    • Missenyi
      • Missenyi Leaders
    • Muleba
      • Muleba Leaders
    • Ngara
      • Ngara Leaders
  • District Councils
    • Bukoba Municipal Council
    • Bukoba District Council
    • Biharamulo District Council
    • Karagwe District Council
    • Kyerwa District Council
    • Missenyi District Council
    • Muleba District Council
    • Ngara District Council
  • Investment Opportunities
    • Tourism Attractions
    • Farming Opportunities
    • Agricultural Opportunities
  • Services
    • Health Services
    • Education Services
    • Water Services
    • Agricultural Services
    • Farming Services
  • Publications
    • By Laws
    • Client Service Charter
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Forms
    • Guidelines
    • News Letter
  • Media Center
    • Videos
    • Press Release
    • Speeches
    • Photo Gallery

Tutaendelea Kuimarisha Ulinzi wa Mipaka ya Nchi Yetu Mkoa Sasa Tunachukua Hatua za Kuanza Kuchonga Barabara ya Kiusalama Kwetu– RC Gaguti

Posted on: February 28th, 2019

Mkoa wa Kagera waendelea kuweka mikakati madhubuti ya kuimarisha mipaka yake na nchi jirani hasa kulinda ili kukuza uchumi wa mkoa na Taifa kwa ujumla  lakini pia kuhakikisha wahamiaji haramu hawaingii wala kuingiza mifugo yao nchini bila kufuata taratibu kanuni na sheria za nchi.

Ni baada ya Brigedia Jenerali Marco E. Gaguti Mkuu wa Mkoa wa Kagera kutembelea na kukagua mipaka ya Tanzania na Uganda kuanzia Kakunyu hadi Mtukula Wilayani Missenyi ili kujionea changamoto mbalimbali  katika mpaka huo ili hatua ziendelee kuchukuliwa kuimarisha mpaka huo.

Akitembele na kukagua mpaka huo Februari 27, 2019 Mkuu wa Mkoa Gaguti na msafara wake walilazimika kuingia nchini Uganda na kurudi chini katika baadhi ya maeneo ili kuyafikia mawe ya mpaka yanayotenganisha  nchi mbili za Tanzania na Uganda kutokana na upande wa Tanzania kutokuwa na barabara ya usalama ya mpaka ambayo inatakiwa  kutoka Mtukula Wilayani Missenyi hadi Murongo Wilayani Kyerwa.

Mkuu wa Mkoa Gaguti baada ya kutembelea na kukagua mawe ya mpaka namba 27 (Kakunyu), 28 (Kalola) na jiwe namba 29 Bugango alisema kuwa pamoja na kuwa Serikali ina mpango wa kutenga fedha za kujenga barabara ya usalama kwa upande wa Tanzania kutoka Mtukula hadi Kakunyu lakini mkoa kwa kuona changamoto ya mpaka huo utaanza kuchonga barabara kidogokidogo ili kupunguza kero ya kuingia nchi jirani wakati doria na ukaguzi wa mpaka ukiendelea.

Katika hatua nyingine Mkuu wa Mkoa Gaguti alifanya mikutano ya hadahara na wananchi katika Vijiji vya Bugango, na Rwengiri Kata Kakunyu na kuwaeleza umuhimu wa kuwa wazalendo kulinda mipaka ya nchi yao na kutoa taarifa pale wanapogundua kuwa kuna wahamiaji haramu au watu kutoka nje ya nchi wameingia bila kufuata utaratibu na sheria za nchi.

Mkuu wa Mkoa aliwasisitiza wananchi kuhakikisha wanautumia vizuri mfumo wa nyumba kumi za kiusalama kuhakikisha wanawabaini wahamiaji haramu na kutoa taarifa kwa uongozi wa Serikali ili hatua za kisheria zichukuliwe kwa wahusika pia kutowaficha wahamiaji haramu katika nyumba zao jambo ambalo linaweza kuhatarisha usalama wa nchi.

“Nyinyi wananchi nawombezi sana kuwa wazalendo wa kwanza kwa kulinda mipaka ya nchi yenu, ulinzi wa mipaka ya nchi hautegemei Vyombo vya Ulinzi na Usalama peke yake  bali na wananchi tunatakiwa kuwa wazalendo wa hali ya juu kwa kutoisaliti  nchi yetu. Pia kama hatutotoa taarifa ya wahamiaji haramu ni kosa la jinai kufanya hivyo.” Aliwasisitiza wananchi Mkuu wa Mkoa Gaguti

Mwisho alivipongeza Vyombo vya Ulinzi na Usalama Wilayani Missenyi kwa kuendelea kuilinda mipaka ya nchi vizuri na kuendelea kuondoa wahamiaji haramu wanaoingia nchini bila kufuata sheria za nchi lakini pia na kuondoa mifungo inayoingizwa wilayani humo kinyemera ili kupatiwa marisho kutoka nchi jirani.

Announcements

  • No records found
  • View All

Latest News

  • Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Kagera Yaridhia Jimbo la Uchaguzi la Nkenge Kuitwa Jimbo la Uchaguzi Missenyi

    March 17, 2025
  • Mkuu wa Mkoa wa Mwassa Awashukuru Wabunge Kupitisha Fedha za Miradi ya Mapinduzi ya Kiuchumi Kagera

    March 14, 2025
  • Viongozi wa Dini Wahimizwa Kudumisha Mshikamano Ili Kukuza Uchumi wa Mkoa wa Kagera – RC Mwassa

    March 14, 2025
  • TULIPE KODI-RC MWASSA

    October 07, 2023
  • View All

Video

KAGERA REGION DOCUMENTARY
More Videos

Quick Links

  • Taratibu za biashara ya ndani
  • Barabara Kuu na ndogo za Mkoa
  • Radio Stations in Kagera Region
  • Kagera Regional Commissioners Since Independence 1961
  • Matokeo ya Darasa la VII 2018, Wanafunzi 10 Bora, Shule 10 Bora, Watakaojiunga Kidato cha I, 2019
  • Kitabu cha Mwongozo wa Uwekezaji Kagera 2019
  • FOMU YA USAJILI WA WAFANYABIASAHARA NA WADAU WA MKOA WA KAGERA, ZIARA YA KUTEMBELEA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI NA KATI KWA LENGO LA KUTAFUTA FURSA ZA BIASHARA NA UWEKEZAJI NOVEMBER, 2019.

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • National Bureau of Statistics (NBS)
  • Government of Tanzania Website
  • Open Data Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kagera

    Postal Address: S.L.P 299 BUKOBA

    Telephone: 255 28 2220215/17

    Mobile:

    Email: ras.kagera@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service
    • Hakimiliki

Copyright ©2017 GWF . All rights reserved.