• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
KAGERA REGIONAL WEBSITE

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government KAGERA REGIONAL WEBSITE

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Sections/Units
      • Sections
        • Management Monitoring and Ispection
        • Infrastructure
        • Education
          • Primary Education
          • Secondary Education
          • Adult Education
          • Higher Education
          • Sports
          • Youth
        • Health
          • Health
          • social welfare
        • Administration And HR
        • Planning & Coordination
          • Planning
          • Statistics
          • Community Development
          • TASAF
        • Economic and Production
          • Irrigation Farming
          • Commerce and Industries
          • Fishing
          • Livestock
          • Natural Resources, Tourism & Environment
          • Co operative
          • Agriculture
        • Investment Indusrty and Trade
      • Units
        • ICT
        • Legal Unit
        • Finance and Accounts
        • Internal Audit Unit
        • Procurement Unit
        • Government Communication
  • Districts
    • Bukoba
      • Bukoba Leaders
    • Biharamulo
      • Biharamulo Leaders
    • Karagwe
      • Karagwe Leaders
    • Kyerwa
      • Kyerwa Leaders
    • Missenyi
      • Missenyi Leaders
    • Muleba
      • Muleba Leaders
    • Ngara
      • Ngara Leaders
  • District Councils
    • Bukoba Municipal Council
    • Bukoba District Council
    • Biharamulo District Council
    • Karagwe District Council
    • Kyerwa District Council
    • Missenyi District Council
    • Muleba District Council
    • Ngara District Council
  • Investment Opportunities
    • Tourism Attractions
    • Farming Opportunities
    • Agricultural Opportunities
  • Services
    • Health Services
    • Education Services
    • Water Services
    • Agricultural Services
    • Farming Services
  • Publications
    • By Laws
    • Client Service Charter
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Forms
    • Guidelines
    • News Letter
  • Media Center
    • Videos
    • Press Release
    • Speeches
    • Photo Gallery

Uongozi wa Mkoa wa Kagera Waweka Mikakati ya Kuthibiti Utoroshwaji wa Madini ya Bati Wilayani Kyerwa Kuuzwa Nchi Jirani

Posted on: February 4th, 2019

Mkoa wa Kagera waanza kuchukua hatua za dhati za usimamizi wa rasilimali madini zinazopatikana mkoani humo kwa kuweka mfumo thabiti wa kuhakikisha kila mdau aliyeko kwenye mnyororo wa thamani ya  madini na kuwajibika ipasavyo ili madini hayo  yawanufaishe wananchi na kuinua pato la mkoa na taifa kwa ujumla.

Hatua zinazoendelea kuchukuliwa ni pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Kagera Brigedia Jenerali Marco E. Gaguti kufanya ziara katika machimbo ya madini ya bati Nyaluzumbura Wilayani Kyerwa na kuzungumza na Wachimabaji Wadogo juu ya changamoto mbalimbali wanazokutana nazo katika uchimbaji na kufanya biashara ya madini.

Mkuu wa Mkoa Gaguti akieleza lengo la kutembelea machimbo hayo Februari 3, 2019  alisema kuwa baada ya kufanya kikao cha wadau wa madini cha Taifa chini ya Rais John Pombe Magufu Januari 22, 2019 Jijini Dar es Salaam iliazimiwa kuwa kila mkoa uhakikishe unasimamia kikamilifu rasilimali  madini na kuondoa kero na vikwazo  vyote vinavyopelekea madini kuuzwa kimagendo na nchi kukosa mapato.

Mkuu wa Mkoa Gaguti alitoa nafasi kwa Wachimbaji  Wadogo wa Mdini ya Bati kumweleza changamoto mbalimbali  wanazokumbana nazo katika uchimbaji na biashara ya madini ya Bati. Wachimbaji hao wadogo walimweleza Mkuu wa Mkoa kuwa changamoto kubwa ni bei ya madini ya bati  kuwa ndogo, Utoroshaji wa madini hayo na kuuuzwa nchi jirani, Mitaji midogo ya kununulia vifaa vya kisasa vya uchimbaji.

Mara baada ya kusikiliza changamoto hizo Mkuu wa Mkoa aliyeongozana na Kamati ya Ulinzi na Usalaama ya Mkoa aliwaeleza Wachimabji Wadogo kuwa changamoto hizo tayari mkoa umezitafutia ufumbuzi ambao kama wao watatoa ushirikiano zitaisha kwa muda mfupi na wataanza kuneemeka na uchimbaji wa madini hayo lakini pia mkoa utakuza pato lake aidha na taifa kwa ujumla.

“Tofauti na ilivyo sasa sisi Serikali ya Mkoa tumeamua kuanzisha mfumo sahihi katika sekta ya madini, tumeamua kuweka mfumo wenye utaratibu mzuri wa uchimbaji, pili mfumo wa kuyatunza madini ghafi ya bati baada ya kuchimbwa kabla ya kuuzwa, na mwisho ni mfumo sahihi wa kuuza mdini hayo na soko lake yakiwa yameongezewa thamani ndani ya Wilaya ya Kyerwa.” Alifafanua Mkuu wa Mkoa Gaguti.

Ili kuhakikisha Madini ya Bati hayatoroshwi na kuuzwa nchi jirani tayari Serikali imewapata wawekezaji wa kuongeza thamani madini ya bati ambapo tayari mmoja amejenga kiwanda cha kuongeza thamani madini hayo naye ni TANZAPLUS na kiwanda chake kipo Wilayani Kyerwa. Wa pili ni Africa Top Minerals Limited (ATM) ambaye anaendelea na mazungumzo na Serikali ili kuanza kuongeza thamani Madini ya Bati.

MAAGIZO

Mkuu wa Mkoa Gaguti alimwagiza Afisa Madini wa Mkoa wa Kagera  Mhandisi Lucas Mlekwa kuhakikisha anaanza utekelezaji wa kuanzisha maghara ya kuhifadhi madini ghafi mara baada ya kuchimbwa, pili kuwasimamia wachimbaji wadogo kujiunga katika vikundi ili watambuliwe na kupatiwa mikopo. Tatu ni kuhakikisha madini yote yatakayochimbwa Kyerwa yaongozewe thamani Wilayani hapo na soko lake liwe humo.

Maagizo hayo yanatakiwa kuwa yametekelezwa ifikapo mwishoni mwa mwezi Februari 2019 ili Waziri wa Madini aweze  kualikwa mwanzoni mwa Mwezi Machi 2019 kuzindua mfumo rasmi wa uchimbaji, uongezaji thamani na uuzaji wa Madini ya Bati Mkoani Kagera ambao utakuwa unawanufaisha wadau wote waliopo kwenye mnyororo wa thamani ya madini hayo.

Madini ya Bati Nyaluzumbura Wilayani Kyerwa yalianza kuchimbwa tangu mwaka 1924 na katika machimbo hayo kwa sasa yanachimbwa Madini ya Bati kwa wastani wa nusu tani (Kilo 500) kila mwezi na idadi ya Wachimbaji Wadogo katika mgodi huo ni 1,350.

Announcements

  • No records found
  • View All

Latest News

  • Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Kagera Yaridhia Jimbo la Uchaguzi la Nkenge Kuitwa Jimbo la Uchaguzi Missenyi

    March 17, 2025
  • Mkuu wa Mkoa wa Mwassa Awashukuru Wabunge Kupitisha Fedha za Miradi ya Mapinduzi ya Kiuchumi Kagera

    March 14, 2025
  • Viongozi wa Dini Wahimizwa Kudumisha Mshikamano Ili Kukuza Uchumi wa Mkoa wa Kagera – RC Mwassa

    March 14, 2025
  • TULIPE KODI-RC MWASSA

    October 07, 2023
  • View All

Video

KAGERA REGION DOCUMENTARY
More Videos

Quick Links

  • Taratibu za biashara ya ndani
  • Barabara Kuu na ndogo za Mkoa
  • Radio Stations in Kagera Region
  • Kagera Regional Commissioners Since Independence 1961
  • Matokeo ya Darasa la VII 2018, Wanafunzi 10 Bora, Shule 10 Bora, Watakaojiunga Kidato cha I, 2019
  • Kitabu cha Mwongozo wa Uwekezaji Kagera 2019
  • FOMU YA USAJILI WA WAFANYABIASAHARA NA WADAU WA MKOA WA KAGERA, ZIARA YA KUTEMBELEA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI NA KATI KWA LENGO LA KUTAFUTA FURSA ZA BIASHARA NA UWEKEZAJI NOVEMBER, 2019.

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • National Bureau of Statistics (NBS)
  • Government of Tanzania Website
  • Open Data Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kagera

    Postal Address: S.L.P 299 BUKOBA

    Telephone: 255 28 2220215/17

    Mobile:

    Email: ras.kagera@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service
    • Hakimiliki

Copyright ©2017 GWF . All rights reserved.