• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
KAGERA REGIONAL WEBSITE

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government KAGERA REGIONAL WEBSITE

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Sections/Units
      • Sections
        • Management Monitoring and Ispection
        • Infrastructure
        • Education
          • Primary Education
          • Secondary Education
          • Adult Education
          • Higher Education
          • Sports
          • Youth
        • Health
          • Health
          • social welfare
        • Administration And HR
        • Planning & Coordination
          • Planning
          • Statistics
          • Community Development
          • TASAF
        • Economic and Production
          • Irrigation Farming
          • Commerce and Industries
          • Fishing
          • Livestock
          • Natural Resources, Tourism & Environment
          • Co operative
          • Agriculture
        • Investment Indusrty and Trade
      • Units
        • ICT
        • Legal Unit
        • Finance and Accounts
        • Internal Audit Unit
        • Procurement Unit
        • Government Communication
  • Districts
    • Bukoba
      • Bukoba Leaders
    • Biharamulo
      • Biharamulo Leaders
    • Karagwe
      • Karagwe Leaders
    • Kyerwa
      • Kyerwa Leaders
    • Missenyi
      • Missenyi Leaders
    • Muleba
      • Muleba Leaders
    • Ngara
      • Ngara Leaders
  • District Councils
    • Bukoba Municipal Council
    • Bukoba District Council
    • Biharamulo District Council
    • Karagwe District Council
    • Kyerwa District Council
    • Missenyi District Council
    • Muleba District Council
    • Ngara District Council
  • Investment Opportunities
    • Tourism Attractions
    • Farming Opportunities
    • Agricultural Opportunities
  • Services
    • Health Services
    • Education Services
    • Water Services
    • Agricultural Services
    • Farming Services
  • Publications
    • By Laws
    • Client Service Charter
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Forms
    • Guidelines
    • News Letter
  • Media Center
    • Videos
    • Press Release
    • Speeches
    • Photo Gallery

Uzinduzi wa Zoezi la Upuliziaji wa Dawa ya Ukoko Majumbani Mkoani Kagera

Posted on: February 15th, 2017
  • “Shiriki Kutokomeza Malaria Kabisa kwa Manufaa ya Jamii”
  • Hiyo ni kaulimbiu ya uzinduzi wa zoezi la upuliziaji wa dawa ya ukoko majumbani kwa ajili ya kuua mbu waenezao malaria katika Mkoa wa Kagera kwa mwaka 2017 zoezi lililozinduliwa leo tarehe 23 Januari, 2017 katika Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi eneo la Kyaka na Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Mstaafu Salum M. Kijuu.

  • Akizindua zoezi hilo Mkuu wa Mkoa alilishukuru shirika la TBT Associates kwa kuendendelea na juhudi za kunyunyizia dawa ya ukoko majumbani ili kupunguza tatizo la ugonjwa wa Malaria katika mkoa wa Kagera kwa muda wa miaka kumi sasa tangu mwaka 2007.

Aidha, Mhe. Kijuu alisema kuwa Kimkoa, kiwango cha maambukizi ya malaria kilikuwa 42% mwaka 2007. Baada ya utekelezaji yakinifu wa afua mbalimbali za kupambana na ugonjwa wa malaria ikiwemo, matumizi sahihi ya  vyandarua, unyunyiziaji wa dawa ya ukoko majumbani, kupima na kutoa tiba sahihi, pamoja na usafi wa mazingira kwa ajili kupunguza mazalia ya mbu, kiwango cha maambukizi kilishuka na kufikia 9% mwaka 2011.

Mwaka 2016, takribani wagonjwa 446,285 waliugua malaria. Asilimia 24.5% ya wagonjwa waliohudhulia katika vituo vya kutolea huduma za Afya katika Mkoa walikutwa na Malaria. Kwa Wilaya ya Missenyi wagonjwa wanaougua malaria wamepungua kwa asilimia 54% kwa mwaka 2016, kwa watoto chini ya miaka 5 wagonjwa wamepungua kwa asilimia 64% na kwa watu wazima asilimia 45%. Hii imechangiwa kwa kiasi kikubwa na upuliziaji wa dawa ya ukoko uliofanyika mwaka 2016. Alisistiza Mkuu wa Mkoa.

Aidha Mkuu wa Mkoa wa Kagera alitoa wito kwa wananchi wa Halmashauri za Wilaya za Bukoba (Vijini) Ngara na Missenyi kutoa ushirikiano kwa maafisa wanaohusika na zoezi hilo ili kila nyumba iliyopangiwa kunyuziwa dawa ya ukoko unyunyiziwe bila kipingamizi chochote ili kufanikisha lengo lililokusudiwa la kutokomeza ugonjwa wa Malaria.

Dk. Magesa Mratibu wa Mradi wa TBT Associate alisema kuwa zoezi la upuliziaji wa dawa ya ukoko mjumbani kwa mwaka 2017 inaanza rasmi tarehe 25.01.2017 kwa Halmashauri za Wilaya tatu Bukoba Ngara na Miseenyi na litadumu kwa siku 24 na litahitimishwa tarehe 21 Februari, 2017. Aidha, nyumba 163,299 zinatarajiwa kupuliziwa dawa hiyo na kikosi cha wapuliziaji 743.

Zoezi la upuliziaji wa dawa ya ukoko majumbani litavihusisha vyombo vya Ulinzi na Usalama ili kuhakikisha linafanikiwa vizuri kutokana na baadhi ya wananchi kuwa na mitazamo tofauti au imani potofu juu ya dawa ya ukoko na kupelekea kuwahamsisha wananchi kutotoa ushirikiano katika majumba yao yapuliziwe dawa hiyo.

Wito kwa wananchi wa Halmashuri za Wilaya za Bukoba, Ngara na Missenyi ni kutoa ushirikiano ili kila nyumba iweze kupuliziwa dawa ya ukoko ili kupambana na maambukizi ya ugonjwa wa malaria unaoenezwa na mbu. Kama zoezi hilo litafanikiwa kwa kiwango kikubwa ugonjwa wa malaria utatokomezwa na kuwaacha wananchi kufanya kazi zao bila madahara yoyote ya mwili yanayosababishwa na ugonjwa wa malaria

Announcements

  • No records found
  • View All

Latest News

  • Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Kagera Yaridhia Jimbo la Uchaguzi la Nkenge Kuitwa Jimbo la Uchaguzi Missenyi

    March 17, 2025
  • Mkuu wa Mkoa wa Mwassa Awashukuru Wabunge Kupitisha Fedha za Miradi ya Mapinduzi ya Kiuchumi Kagera

    March 14, 2025
  • Viongozi wa Dini Wahimizwa Kudumisha Mshikamano Ili Kukuza Uchumi wa Mkoa wa Kagera – RC Mwassa

    March 14, 2025
  • TULIPE KODI-RC MWASSA

    October 07, 2023
  • View All

Video

KAGERA REGION DOCUMENTARY
More Videos

Quick Links

  • Taratibu za biashara ya ndani
  • Barabara Kuu na ndogo za Mkoa
  • Radio Stations in Kagera Region
  • Kagera Regional Commissioners Since Independence 1961
  • Matokeo ya Darasa la VII 2018, Wanafunzi 10 Bora, Shule 10 Bora, Watakaojiunga Kidato cha I, 2019
  • Kitabu cha Mwongozo wa Uwekezaji Kagera 2019
  • FOMU YA USAJILI WA WAFANYABIASAHARA NA WADAU WA MKOA WA KAGERA, ZIARA YA KUTEMBELEA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI NA KATI KWA LENGO LA KUTAFUTA FURSA ZA BIASHARA NA UWEKEZAJI NOVEMBER, 2019.

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • National Bureau of Statistics (NBS)
  • Government of Tanzania Website
  • Open Data Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kagera

    Postal Address: S.L.P 299 BUKOBA

    Telephone: 255 28 2220215/17

    Mobile:

    Email: ras.kagera@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service
    • Hakimiliki

Copyright ©2017 GWF . All rights reserved.