• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
KAGERA REGIONAL WEBSITE

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government KAGERA REGIONAL WEBSITE

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Sections/Units
      • Sections
        • Management Monitoring and Ispection
        • Infrastructure
        • Education
          • Primary Education
          • Secondary Education
          • Adult Education
          • Higher Education
          • Sports
          • Youth
        • Health
          • Health
          • social welfare
        • Administration And HR
        • Planning & Coordination
          • Planning
          • Statistics
          • Community Development
          • TASAF
        • Economic and Production
          • Irrigation Farming
          • Commerce and Industries
          • Fishing
          • Livestock
          • Natural Resources, Tourism & Environment
          • Co operative
          • Agriculture
        • Investment Indusrty and Trade
      • Units
        • ICT
        • Legal Unit
        • Finance and Accounts
        • Internal Audit Unit
        • Procurement Unit
        • Government Communication
  • Districts
    • Bukoba
      • Bukoba Leaders
    • Biharamulo
      • Biharamulo Leaders
    • Karagwe
      • Karagwe Leaders
    • Kyerwa
      • Kyerwa Leaders
    • Missenyi
      • Missenyi Leaders
    • Muleba
      • Muleba Leaders
    • Ngara
      • Ngara Leaders
  • District Councils
    • Bukoba Municipal Council
    • Bukoba District Council
    • Biharamulo District Council
    • Karagwe District Council
    • Kyerwa District Council
    • Missenyi District Council
    • Muleba District Council
    • Ngara District Council
  • Investment Opportunities
    • Tourism Attractions
    • Farming Opportunities
    • Agricultural Opportunities
  • Services
    • Health Services
    • Education Services
    • Water Services
    • Agricultural Services
    • Farming Services
  • Publications
    • By Laws
    • Client Service Charter
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Forms
    • Guidelines
    • News Letter
  • Media Center
    • Videos
    • Press Release
    • Speeches
    • Photo Gallery

Wahujumu Uchumi Mkoani Kagera Hawana Nafasi Zaidi ya Tani Kumi za Kahawa Zakamatwa Zikitoroshwa Kwenda Nchi Jirani

Posted on: September 1st, 2018

Mkoa wa Kagera waendelea juhdi za kupambana na wahujumu uchumi wanaosafirisha Kahawa kwa njia za magendo kwenda nchi jirani huku wakikwepa kulipa za kodi za Serikali zinazotumika kuleta maendeleo ya wananchi katika Mkoa.

Ni baada ya Jeshi la Polisi Mkoani hapa usiku wa kuamukia Agosti 31, 2018 kukamata Magari mawili aina ya FUSO yenye namba T 182 ARG na T 424 AMY yakiwa yamepakia Kahawa zilizokobolewa zaidi ya tani 10 katika Kijiji cha Katarabuga Kata Bwanjai yakiwa barabara kuu ya kuelekea Katoma hadi Kanyigo Wilayani Missenyi  mpakani mwa Tanzania na Uganda.

Akikagua Kahawa hizo zilizokamatwa Septemba Mosi, 2018 katika Kijiji cha Katarabuga Kata Bwanjai Mkuu wa Mkoa wa  Kagera Brigedia Marco E. Gaguti alilipongeza Jeshi la Polisi Mkoani Kagera kwa kutekeleza wajibu wake ipasavyo pamoja na ushirikiano kutoka kwa wananchi ambao kwa kiasi kikubwa walisaidia katika ukamatwaji wa Kahawa hizo.

Mkuu wa Mkoa Gaguti alisema kuwa katika Mkoa wa Kagera haitawezekana kuruhusu wahujumu uchumi kuendelea na vitendo vya biashara ya magendo na katika kuhakikisha hilo halifanyiki alisisititiza Kamati za Ulinzi na Usalama za Kata na Vijiji kuhakikisha zinatimiza wajibu wake ipasavyo kwa kuwashirikisha wananchi katika maeneo yao ili wawadhibiti watu kama hao.

“Katika Mkoa wetu mwaka huu 2018 tumelenga kukusanya tani 81,000 za Kahawa lakini kwa vitendo hivi vya utoroshaji Kahawa kimagendo bila kufuata utaratibu wa kulipa kodi hatuwezi kufikia lengo. Sisi Serikali ya Mkoa hatuwezi kurusu ardhi yetu itumike bure alafu mchana tunashangilia maendeleo ya nchi kumbe usiku kuna watu wanafanya biashara haramu tena kwa kutumia miundombinu yetu iliyogharamiwa na kodi za wananchi wakati wao wanakwepa kodi hizo, hiyo haikubaliki.” Alisisitiza Mhe Gaguti.

Naye Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera Augustne Olomi alisema kuwa Jeshi hilo linawashikilia watuhumiwa wanne kutokana na tukio hilo. Aidha, Kamanda Olomi alisema baada ya taratibu zote kukamilika Kahawa hizo zilizokamatwa zaidi ya tani 10 zitauzwa kwa njia ya mnada na fedha zikazopatikana zitaingizwa kwenye mfuko wa mapato ya Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi kwa ajili ya maendeleo ya wananchi.

Wananchi au wafanyabiashara ya Kahawa wanashauriwa kuachana na biashara ya magendo bali wauze Kahawa yao kwa mfumo sahihi uliowekwa na Serikali ili kodi husika zilipwe. Kama kuna mwanachi au mfanyabiashara anataka kuuza kahawa yake nje ya nchi ni shariti kufuata utaratibu uliopo na kulipa kodi zote za Serikali na ataruhusiwa kuuza Kahawa yake popote pale nje ya nchi.

Announcements

  • No records found
  • View All

Latest News

  • Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Kagera Yaridhia Jimbo la Uchaguzi la Nkenge Kuitwa Jimbo la Uchaguzi Missenyi

    March 17, 2025
  • Mkuu wa Mkoa wa Mwassa Awashukuru Wabunge Kupitisha Fedha za Miradi ya Mapinduzi ya Kiuchumi Kagera

    March 14, 2025
  • Viongozi wa Dini Wahimizwa Kudumisha Mshikamano Ili Kukuza Uchumi wa Mkoa wa Kagera – RC Mwassa

    March 14, 2025
  • TULIPE KODI-RC MWASSA

    October 07, 2023
  • View All

Video

KAGERA REGION DOCUMENTARY
More Videos

Quick Links

  • Taratibu za biashara ya ndani
  • Barabara Kuu na ndogo za Mkoa
  • Radio Stations in Kagera Region
  • Kagera Regional Commissioners Since Independence 1961
  • Matokeo ya Darasa la VII 2018, Wanafunzi 10 Bora, Shule 10 Bora, Watakaojiunga Kidato cha I, 2019
  • Kitabu cha Mwongozo wa Uwekezaji Kagera 2019
  • FOMU YA USAJILI WA WAFANYABIASAHARA NA WADAU WA MKOA WA KAGERA, ZIARA YA KUTEMBELEA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI NA KATI KWA LENGO LA KUTAFUTA FURSA ZA BIASHARA NA UWEKEZAJI NOVEMBER, 2019.

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • National Bureau of Statistics (NBS)
  • Government of Tanzania Website
  • Open Data Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kagera

    Postal Address: S.L.P 299 BUKOBA

    Telephone: 255 28 2220215/17

    Mobile:

    Email: ras.kagera@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service
    • Hakimiliki

Copyright ©2017 GWF . All rights reserved.