• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
KAGERA REGIONAL WEBSITE

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government KAGERA REGIONAL WEBSITE

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Sections/Units
      • Sections
        • Management Monitoring and Ispection
        • Infrastructure
        • Education
          • Primary Education
          • Secondary Education
          • Adult Education
          • Higher Education
          • Sports
          • Youth
        • Health
          • Health
          • social welfare
        • Administration And HR
        • Planning & Coordination
          • Planning
          • Statistics
          • Community Development
          • TASAF
        • Economic and Production
          • Irrigation Farming
          • Commerce and Industries
          • Fishing
          • Livestock
          • Natural Resources, Tourism & Environment
          • Co operative
          • Agriculture
        • Investment Indusrty and Trade
      • Units
        • ICT
        • Legal Unit
        • Finance and Accounts
        • Internal Audit Unit
        • Procurement Unit
        • Government Communication
  • Districts
    • Bukoba
      • Bukoba Leaders
    • Biharamulo
      • Biharamulo Leaders
    • Karagwe
      • Karagwe Leaders
    • Kyerwa
      • Kyerwa Leaders
    • Missenyi
      • Missenyi Leaders
    • Muleba
      • Muleba Leaders
    • Ngara
      • Ngara Leaders
  • District Councils
    • Bukoba Municipal Council
    • Bukoba District Council
    • Biharamulo District Council
    • Karagwe District Council
    • Kyerwa District Council
    • Missenyi District Council
    • Muleba District Council
    • Ngara District Council
  • Investment Opportunities
    • Tourism Attractions
    • Farming Opportunities
    • Agricultural Opportunities
  • Services
    • Health Services
    • Education Services
    • Water Services
    • Agricultural Services
    • Farming Services
  • Publications
    • By Laws
    • Client Service Charter
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Forms
    • Guidelines
    • News Letter
  • Media Center
    • Videos
    • Press Release
    • Speeches
    • Photo Gallery

Wakuu wa Mikoa ya Kagera na Mtwara Watembelea Miradi Mikubwa Inayotekelezwa na Serikali ya Awamu ya Tano Mkoani Dar es Salaam.

Posted on: December 19th, 2020


Mkuu wa Mkoa wa Kagera Brigedia Jeneral Marco E. Gaguti na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe. Gelasius Byakanwa, wakiongoza timu za Vijana wa Bodaboda JPM Bodaboda Kagera 2020 na timu ya Bodaboda kutoka mkoani Mtwara  wafanya  ziara ya kutembelea na kujionea miradi mikubwa ya maendeleo inayotekelezwa na Serikali ya awamu ya tano chini ya Rais Dkt. John Magufuli kwenye Mkoa wa Dar es salaam.

Katika ziara hiyo iliyofanyika Desemba 13, 2020  Wakuu hao wa Mikoa na vijana  waendesha Bodaboda walitembelea Mradi wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa SGR na jengo la abiria la Tanzanite, Mradi wa Mabasi ya mwendokasi, Ujenzi wa stendi mpya ya Mabasi ya Mbezi Luis, Daraja la Juu Ubungo na Mradi wa kufua umeme wa Kinyerezi namba mbili.

Akizungumza wakati wa ziara hiyo Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe. Gelasius Byakanwa alisema waliamua kuwaleta vijana waendesha Bodaboda kwenye ziara hiyo ili waweze kujionea Mambo mazuri na makubwa yanayofanywa na Serikali ya Awamu ya Tano ili wawe mabalozi wazuri kwa wenzao.

Kwa upande wake Mkuu wa Mkoa wa Kagera Brigedia Jeneral Marco E. Gaguti aliipongeza Serikali kwa kazi kubwa na nzuri iliyofanyika katika utekelezaji wa miradi yenye lengo la kutatua kero kwa wananchi.

Aidha, Brigedia Jenerali Gaguti amesema mbali na ziara hiyo timu ya vijana wake JPM Bodaboda Kagera 2020  awali Desemba 12, 2020  walifanya shindano la Mpira wa miguu kati ya Timu ya Bodaboda Mtwara  kwa lengo la kujenga uzalendo kwa kundi hilo la vijana na kuwafanya kuwa mabalozi wazuri wa shughuli za Serikali.

Vile vile Wakuu hao wa Mikoa ya Kagera na Mtwara walisema kuwa wanatamani kuona mikoa yote Tanzania inawaunganisha vijana wa kundi hilo la Bodaboda ili washiriki kikamilifu katika sshughuli za ulinzi na usalama pia kupata elimu ya usalama barabarani, huduma ya kwanza katika shughuli zao na kuwezeshwa kwa mafunzo ya ujasiliamali  katika vikundi ili kupata  mikopo ya kuzalisha na kupata kipato nje ya kazi yao ya Bodaboda.

(Habari hii ni kwa Msaada wa Afisa Habari Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam)

Announcements

  • No records found
  • View All

Latest News

  • Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Kagera Yaridhia Jimbo la Uchaguzi la Nkenge Kuitwa Jimbo la Uchaguzi Missenyi

    March 17, 2025
  • Mkuu wa Mkoa wa Mwassa Awashukuru Wabunge Kupitisha Fedha za Miradi ya Mapinduzi ya Kiuchumi Kagera

    March 14, 2025
  • Viongozi wa Dini Wahimizwa Kudumisha Mshikamano Ili Kukuza Uchumi wa Mkoa wa Kagera – RC Mwassa

    March 14, 2025
  • TULIPE KODI-RC MWASSA

    October 07, 2023
  • View All

Video

KAGERA REGION DOCUMENTARY
More Videos

Quick Links

  • Taratibu za biashara ya ndani
  • Barabara Kuu na ndogo za Mkoa
  • Radio Stations in Kagera Region
  • Kagera Regional Commissioners Since Independence 1961
  • Matokeo ya Darasa la VII 2018, Wanafunzi 10 Bora, Shule 10 Bora, Watakaojiunga Kidato cha I, 2019
  • Kitabu cha Mwongozo wa Uwekezaji Kagera 2019
  • FOMU YA USAJILI WA WAFANYABIASAHARA NA WADAU WA MKOA WA KAGERA, ZIARA YA KUTEMBELEA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI NA KATI KWA LENGO LA KUTAFUTA FURSA ZA BIASHARA NA UWEKEZAJI NOVEMBER, 2019.

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • National Bureau of Statistics (NBS)
  • Government of Tanzania Website
  • Open Data Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kagera

    Postal Address: S.L.P 299 BUKOBA

    Telephone: 255 28 2220215/17

    Mobile:

    Email: ras.kagera@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service
    • Hakimiliki

Copyright ©2017 GWF . All rights reserved.