• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
KAGERA REGIONAL WEBSITE

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government KAGERA REGIONAL WEBSITE

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Sections/Units
      • Sections
        • Management Monitoring and Ispection
        • Infrastructure
        • Education
          • Primary Education
          • Secondary Education
          • Adult Education
          • Higher Education
          • Sports
          • Youth
        • Health
          • Health
          • social welfare
        • Administration And HR
        • Planning & Coordination
          • Planning
          • Statistics
          • Community Development
          • TASAF
        • Economic and Production
          • Irrigation Farming
          • Commerce and Industries
          • Fishing
          • Livestock
          • Natural Resources, Tourism & Environment
          • Co operative
          • Agriculture
        • Investment Indusrty and Trade
      • Units
        • ICT
        • Legal Unit
        • Finance and Accounts
        • Internal Audit Unit
        • Procurement Unit
        • Government Communication
  • Districts
    • Bukoba
      • Bukoba Leaders
    • Biharamulo
      • Biharamulo Leaders
    • Karagwe
      • Karagwe Leaders
    • Kyerwa
      • Kyerwa Leaders
    • Missenyi
      • Missenyi Leaders
    • Muleba
      • Muleba Leaders
    • Ngara
      • Ngara Leaders
  • District Councils
    • Bukoba Municipal Council
    • Bukoba District Council
    • Biharamulo District Council
    • Karagwe District Council
    • Kyerwa District Council
    • Missenyi District Council
    • Muleba District Council
    • Ngara District Council
  • Investment Opportunities
    • Tourism Attractions
    • Farming Opportunities
    • Agricultural Opportunities
  • Services
    • Health Services
    • Education Services
    • Water Services
    • Agricultural Services
    • Farming Services
  • Publications
    • By Laws
    • Client Service Charter
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Forms
    • Guidelines
    • News Letter
  • Media Center
    • Videos
    • Press Release
    • Speeches
    • Photo Gallery

Wanafunzi wa Shule za Msingi Mkoani Kagera Wakipita Mbele ya Mgeni Rasmi Katibu Tawala wa Mkoa Kagera CP Diwani Athuman Wakati wa Kufunga Mashindano ya UMISHUMITA

Posted on: June 12th, 2018

Kambi ya Umishumita Mkoani Kagera Yaaswa Kuchagua Vipaji Halali na Si Mamluki Ili Kuleta Ushindani Kitaifa – CP Athumani

Katibu Tawala Mkoa wa Kagera CP Diwani Athuman ambaye ni Mwekiti wa Michezo Mkoani Kagera afunga rasmi mashindano ya UMISHUMITA ya mkoa kwa kutoa rai kwa wakufunzi na Walimu wa michezo kuhakikisha wanafuata vigezo vilivyotolewa na Serikali kuunda timu bora isiyokuwa na mamluki  itakayoshiriki mashindano hayo ngazi ya Kitaifa na kuleta ushindi.

Katibu Tawala CP Athumani alitoa rai hiyo chuoni Katoke Wilayani Muleba kwenye kambi ya mashindano ya Mkoa yaliyohusisha  shule za Msingi kutoka Halmashauri za Wilaya za Mkoa wa Kagera  ambapo mara baada ya kushindanishwa katika michezo mbalimbali inatakiwa kuundwa timu moja kila mchezo itakyowakilisha Mkoa katika Mashindano ya Kitaifa Jijini Mwanza.

Rai hiyo ilitolewa na Katibu Tawala wa Mkoa Juni 10, 2018 baada ya Afisa Michezo Mkoa Bw. Kepha Elias kueleza kuwa katika kambi hiyo wanakumbana na changamoto kubwa ya baadhi ya Halmashauri za wilaya kutaka kwenda tofauti na maelekezo ya Serikali ya kuzingatia umri wa watoto wanatakiwa kushiriki mashindano hayo lakini pia kuwahusisha Mamluki Wasiokuwa walimu kuendesha mashindano ya michezo hiyo

“Ndugu mgeni Rasmi kuna baadhi ya Halmashauri za Wilaya zinaleta watoto wasio na vigezo vya kushiriki mashindano ambapo umri ni miaka 14 lakini shule kwa kushirikiana na walimu wanawaleta watoto waliozidi umri huo, pia wanashirikisha walimu mamluki yaani walimu wasiostahili kufundisha michezo na kuwahalalisha kushiriki katika zoezi hili tofauti na maelekezo ya Serikali.” Alisisitiza Bw. Kepaha

Katibu Tawala CP Athumani alisisitiza sana kuwa mkoa haupo tayari kufanya kinyume na maelekezo ya Serikali bali Maelekezo na miongozo itazingatiwa kwa kufauata vigezo vilivyopo na kama ikitokea maelekezo hayo yamekiukwa atakikisha anamchukulia hatua yeyote atakaekuwa amehusika kwa njia moja au nyingine.

MAAGIZO

Mwekiti huyo wa Michezo Mkoani Kagera CP Diwani Athumani alitumia fursa hizo kuziagiza Halmashauri za Wilaya kwanza kuahakikisha Maandalizi ya Michezo ya UMISHUMITA katika ngazi za Wilaya yafanyike mapema sana ili kuhakikisha katika Ngazi ya mkoa wanaletwa watoto wanamichezo wenye vipaji haswa.

Pili ni kuhusu michango ya fedha kwa ngazi ya Mkoa, Kila Halmashauri ya Wilaya ihakikishe inatoa michango yake mapema ili maandalizi kwa ngazi ya mkoa ifanyike mapema kuliko ilivyokuwa mwaka huu kwani fedha hizo zinatolewa na Serikali kwahiyo hamna sababu ya ucheleweshwaji kutoka katika Halmashauri za Wilaya.

Tatu Kila Halmshauri ya Wilaya kuhakikisha kila wiki ya pili ya mwezi inashiriki kikamilifu katika michezo ambapo wananchi wote na watumishi wanatakiwa kushiriki katika mazoezi ili kuweka miili yao sawa na kujikinga na magonjwa yanayosababishwa na kutoafanya mazoezi , aidha watoto nao washirikishwe kwani wakijengewa utamaduni huo wa kufanya mazoezi wakiwa wadogo watauzoe na kuwa sehemu ya maisha yao.

Mwisho Mkuu wa chuo cha Ualimu Katoke akiishukuru Serikali ya Mkoa kufanyia kambi ya Michezo kwa Watoto wa Sekondari na Shule za Msingi  chuoni hapo alisema michezo hiyo imewapa changamoto ya kurekebisha mitaala yao na masomo ya michezo kuyapa umuhimi ili walimu wanaohitimu katika chuo hicho waweze kwenda kuwafundisha watoto michezo shuleni.

Announcements

  • No records found
  • View All

Latest News

  • Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Kagera Yaridhia Jimbo la Uchaguzi la Nkenge Kuitwa Jimbo la Uchaguzi Missenyi

    March 17, 2025
  • Mkuu wa Mkoa wa Mwassa Awashukuru Wabunge Kupitisha Fedha za Miradi ya Mapinduzi ya Kiuchumi Kagera

    March 14, 2025
  • Viongozi wa Dini Wahimizwa Kudumisha Mshikamano Ili Kukuza Uchumi wa Mkoa wa Kagera – RC Mwassa

    March 14, 2025
  • TULIPE KODI-RC MWASSA

    October 07, 2023
  • View All

Video

KAGERA REGION DOCUMENTARY
More Videos

Quick Links

  • Taratibu za biashara ya ndani
  • Barabara Kuu na ndogo za Mkoa
  • Radio Stations in Kagera Region
  • Kagera Regional Commissioners Since Independence 1961
  • Matokeo ya Darasa la VII 2018, Wanafunzi 10 Bora, Shule 10 Bora, Watakaojiunga Kidato cha I, 2019
  • Kitabu cha Mwongozo wa Uwekezaji Kagera 2019
  • FOMU YA USAJILI WA WAFANYABIASAHARA NA WADAU WA MKOA WA KAGERA, ZIARA YA KUTEMBELEA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI NA KATI KWA LENGO LA KUTAFUTA FURSA ZA BIASHARA NA UWEKEZAJI NOVEMBER, 2019.

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • National Bureau of Statistics (NBS)
  • Government of Tanzania Website
  • Open Data Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kagera

    Postal Address: S.L.P 299 BUKOBA

    Telephone: 255 28 2220215/17

    Mobile:

    Email: ras.kagera@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service
    • Hakimiliki

Copyright ©2017 GWF . All rights reserved.