• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
KAGERA REGIONAL WEBSITE

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government KAGERA REGIONAL WEBSITE

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Sections/Units
      • Sections
        • Management Monitoring and Ispection
        • Infrastructure
        • Education
          • Primary Education
          • Secondary Education
          • Adult Education
          • Higher Education
          • Sports
          • Youth
        • Health
          • Health
          • social welfare
        • Administration And HR
        • Planning & Coordination
          • Planning
          • Statistics
          • Community Development
          • TASAF
        • Economic and Production
          • Irrigation Farming
          • Commerce and Industries
          • Fishing
          • Livestock
          • Natural Resources, Tourism & Environment
          • Co operative
          • Agriculture
        • Investment Indusrty and Trade
      • Units
        • ICT
        • Legal Unit
        • Finance and Accounts
        • Internal Audit Unit
        • Procurement Unit
        • Government Communication
  • Districts
    • Bukoba
      • Bukoba Leaders
    • Biharamulo
      • Biharamulo Leaders
    • Karagwe
      • Karagwe Leaders
    • Kyerwa
      • Kyerwa Leaders
    • Missenyi
      • Missenyi Leaders
    • Muleba
      • Muleba Leaders
    • Ngara
      • Ngara Leaders
  • District Councils
    • Bukoba Municipal Council
    • Bukoba District Council
    • Biharamulo District Council
    • Karagwe District Council
    • Kyerwa District Council
    • Missenyi District Council
    • Muleba District Council
    • Ngara District Council
  • Investment Opportunities
    • Tourism Attractions
    • Farming Opportunities
    • Agricultural Opportunities
  • Services
    • Health Services
    • Education Services
    • Water Services
    • Agricultural Services
    • Farming Services
  • Publications
    • By Laws
    • Client Service Charter
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Forms
    • Guidelines
    • News Letter
  • Media Center
    • Videos
    • Press Release
    • Speeches
    • Photo Gallery

Wasimamizi wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mkoani Kagera Wala Viapo na Kuonywa Kuwa Waadilifu Katika Majukumu Yao

Posted on: September 12th, 2019

Serikali Mkoani Kagera yajipanga vyema kuhakikisha uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 24, 2019 haukwamishwi kwa kikwazo chochote hasa maandalizi muhimu ambapo Wasimamizi wa Uchaguzi huo  Katika ngazi za Halmashauri za Wilaya nane wameapishwa na kula viapo kusimamia uchaguzi huo.

Wasimamizi hao nane walioteuliwa rasmi Septemba 11, 2019 na Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Seleman Jaffo na wakila viapo vya uaminifu, utii na uadilifu mbele ya Mhe. Flora Kaijage Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Wilaya Bukoba Septemba 12, 2019 na kuwa wasimamizi rasmi wa uchaguzi wa Serikali za mitaa Mkoa Kagera.

Kabla ya viapo hivyo Mwanasheria wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kagera Wakili Jovini Rutahinurwa aliwakumbusha wasimamizi wateule kuwa viapo hivyo vipo kwa mujibu wa kanuni za sheria ya uchaguzi wa viongozi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa ngazi za Vijiji, Vitongoji na Mitaa ya mwaka 2019

Kanuni hizo alizitaja Wakili Jovini kuwa ya kwanza ni Kifungu namba 44 kifungu kidogo cha 4 tangazo la Serikali namba 371 la mwaka 2019. Pili, Kifungu namba 46 kifungu kidogo cha 4 tangazo la Serikali namba 372 la mwaka 2019.Tatu, Kifungu namba 47 kifungu kidogo cha 4 tangazo la Serikali namba 373 la mwaka 2019. Nne, Kifungu namba 47 kifungu kidogo cha 4 tangazo la Serikali namba 374 la mwaka 2019 pamoja na Sheria ya Viapo na Matamko ya Kisheria  sura ya 34.

Naye Katibu Tawala wa Mkoa wa Kagera Profesa Faustin Kamuzora mara baada ya wasimamizi hao kula viapo vyao mbele ya Mhe. Flora Kaijage Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Wilaya Bukoba aliwapongeza na kuwakumbusha wajibu wao kuwa wameaminiwa na Serikali kwa kupitia mchujo mkali kwahiyo wanatakiwa kutekeleza majukumu yao kwa utii, uaminifu na uadilifu mkubwa kama walivyoapa.

Profesa Kamuzora aliwataka wasimamizi hao kusoma nyaraka na  miongozo yote kuhusu uchaguzi wa Serikali za Mitaa na kuyaelewa maeneo yao ya utawala  ili kuhakikisha hakuna mapingamizi yanayoweza kujitokeza. Pia alisistiza kuwa Serikali kuanzia ngazi ya wizara hado mkoa imefanya maandalizi ya kutosha kuhakikisha uchaguzi huo unafanyika kwa ufanisi mkubwa ukilinganisha na uchaguzi wa miaka iliyopita.

Aidha, Profesa Kamuzora alitoa angalizo kwa Viongozi wa Vyama vya Siasa kuhakikisha wanatoa wagombea wenye sifa hasa katika Wilaya za mipakani za Missenyi, Karagwe, Kyerwa na Ngara kuepusha wahamiaji haramu kugombea nafasi hizo. “Kama ikibainika Serikali itachukua hatua za kisheria kwa wahusika lakini rai yangu ni kwa wananchi kutoa taarifaau  pingamizi pale mhamiaji haramu atakapopitishwa kugombea  itakapotokea.” Alisisitiza Profesa Kamuzora

Katika hatua nyingine Profesa Kamuzora alisema kuwa Mkoa wa Kagera unatarajia kuadikisha wapiga kura wapatao 1,288,370 na vituo vya kupigia kura vikiwa ni 3,738 kwenye vijiji 662 na  Vitongoji 3,665 katika Kata 92 aidha,  zikiwa Tarafa 27.

Wasimamizi wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mkoani Kagera walioteuliwa na kuapishwa rasmi Septemba 12, 2019 ni Bw. Richard Masanilo Mihayo Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba, Bablyus  Lubingo Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba, Bw. Albert Mamimo Msemwa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi, Bw. Rajab Khasim Byoma Halmashauri ya Wilaya Karagwe.

Wengine ni Bw. John Mayuga Msafiri Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa, Bw. Lucas Haga Daudi Halmashauri ya Wilaya ya Ngara, Bw. Costantino Francis Msemwa Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo na Bi Essery Felician Pima Halmashauri ya Wilaya ya Muleba.

Announcements

  • No records found
  • View All

Latest News

  • Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Kagera Yaridhia Jimbo la Uchaguzi la Nkenge Kuitwa Jimbo la Uchaguzi Missenyi

    March 17, 2025
  • Mkuu wa Mkoa wa Mwassa Awashukuru Wabunge Kupitisha Fedha za Miradi ya Mapinduzi ya Kiuchumi Kagera

    March 14, 2025
  • Viongozi wa Dini Wahimizwa Kudumisha Mshikamano Ili Kukuza Uchumi wa Mkoa wa Kagera – RC Mwassa

    March 14, 2025
  • TULIPE KODI-RC MWASSA

    October 07, 2023
  • View All

Video

KAGERA REGION DOCUMENTARY
More Videos

Quick Links

  • Taratibu za biashara ya ndani
  • Barabara Kuu na ndogo za Mkoa
  • Radio Stations in Kagera Region
  • Kagera Regional Commissioners Since Independence 1961
  • Matokeo ya Darasa la VII 2018, Wanafunzi 10 Bora, Shule 10 Bora, Watakaojiunga Kidato cha I, 2019
  • Kitabu cha Mwongozo wa Uwekezaji Kagera 2019
  • FOMU YA USAJILI WA WAFANYABIASAHARA NA WADAU WA MKOA WA KAGERA, ZIARA YA KUTEMBELEA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI NA KATI KWA LENGO LA KUTAFUTA FURSA ZA BIASHARA NA UWEKEZAJI NOVEMBER, 2019.

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • National Bureau of Statistics (NBS)
  • Government of Tanzania Website
  • Open Data Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kagera

    Postal Address: S.L.P 299 BUKOBA

    Telephone: 255 28 2220215/17

    Mobile:

    Email: ras.kagera@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service
    • Hakimiliki

Copyright ©2017 GWF . All rights reserved.